Je, uchaguzi unaofanyika leo huko Dodoma utatupatia vijana hawa?

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487
Kuhusu aina ya vijana aliotaka kuona, Mwalimu Nyerere alisema: “Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini; si vijana waoga, akina “ndiyo bwana mkubwa; vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa.”Alisema Mwalimu: “Ni kazi bure kwetu, na kwa kweli ni ubatili mtupu, kuwa na Taifa lenye “silaha” za kisasa lakini vijana wake ni waoga.”Wanajamvi, kwa maneno haya ya baba wa taifa, bado ndani ya CCM tunatumaini la kupata vijana wa style hii?Nawasilisha.Chanzo: Raia Mwema 19 Octobar 2012
 
jeuri ya pesa na jina la mzazi wako ndio vitakavyoamua.:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:ccm.
 
Hilo kwa sasa haliwezi kutokea ndani ya ccm ya ya wenye kumwaga mapesa kusaka uongozi.Ukitarajia mdimu kuzaa chungwa utahitaji miaka milioni kadhaa ili uruhusu evolution kutokea. CCM ya sasa inahitaji mutation ili iweze kurudi kwenye mstari.
 
Back
Top Bottom