Baada ya Kiongozi wa UAMSHO kupatikana, SMZ yapiga marufuku Vipindi vyao vya Radio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Kiongozi wa UAMSHO kupatikana, SMZ yapiga marufuku Vipindi vyao vya Radio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, Oct 19, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hii ni habari ya muda mfupi uliopita.

  SMZ imepiga marufuku vipindi vya Uamsho vilivyokuwa vinatangazwa na Sauti ya Tanzania Zanziba a pia katika Radio nyingine zote. Mods kama Hii barua haitaonekana vema mtanisaidia kuikuza isomeke.

  [​IMG]
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Walikuwa wapi muda wote. Kwa hiyo walikuwa wanakubaliana na waliokuwa wanayafanya hapo nyuma!!
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  serikali zetu zinafuga zenyewe vidonda halafu zinakuja utafuta wa kumtupia mzigo. SMZ imeshiriki kuikuza UAMSHO kwa kuwapa Airtime leo hii wanaipata matunda yake sasa
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  ccm oyeee
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sultan Jakaya amerejea leo kutoka uarabuni.
   
 6. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Padri Slaa naye huyo ROMA kwa baba mtakatifu
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo huyo kiongozi wao alijificha wapi?
   
 8. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Amesma alikuwa wapi? Meno na kucha ziko salama?
   
 9. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Nadhani wameufyata tu!wamemuachia wa nini?au washasahau kuna askari mtu kachinjwa?
   
 10. C

  Concrete JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hapana. Dr. Slaa yuko kanda ya ziwa kwenye kampeni za marudio ya uchaguzi za madiwani.
   
 11. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  anatakiwa afikishwe mahakamani kwa kusababisha mauaji ya hao wote waliofariki. Unless kama serikali inamuogopa
   
 12. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Tuliwashauri sana hapa JF kuwa wafungie hizi redio za uchochezi, wakatupuuza ONA SASA WANAJARIBU KUTATUA TATIZO JIPYA KWA KUTUMIA NJIA YA ZAMANI.
   
 13. C

  Concrete JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Yeye anadai alikamatwa na wanausalama, ila kuna tetesi zinadai alikuwa kwa ''Bi. mdogo'' akiondoa stress.
   
 14. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Wanatatua matatizo ambayo wameyaanzisha, wakayakuza na kuyasambaza wao wenyewe. Sasa wanashindwa kuyatatua
   
 15. C

  Concrete JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ni mzima wa afya kabisa, anadai alikuwa mikononi mwa wanausalama akihojiwa!!!
   
 16. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  eti anakenua meno na ndevu zinameremeta!!!!!!
  hiv anajua kuwa ulimboka mpaka leo hawezi kula/ kutafuna wala kucheka? anakunywa uji/ supu tu huyo ndo alitekwa sio huyo na sanaa zake
   
 17. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  bado kale ka redio ketu ka uchochezi, iman!
   
 18. theHAVARD_product

  theHAVARD_product JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 292
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Nategemea pia Radio Imani itapewa onyo au kama si kufungwa,na Mihadhara yote yenye uchochezi kuPigwa Marufuku! Heko SMZ
   
 19. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wakuu hivi hili linaihusu na radio Imaan?
   
 20. T

  Top Cat Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anajisaidia haja kubwa (waungwana mmenielewa)  modz mkinifungia na hii mtalaaniwa
   
Loading...