Bang'ata: Chadema yazidi kuitimulia vumbi CCM

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
photo.JPG Chadema inaendeleza mchakamchaka huko Arumeru Magharibi zidi ya chama cha Mabwepande hii ni moja ya picha ya mikutano ya kati mitaa ya Bang'ata, mashambulizi yanaongozwa na Kamanda Nasari...
 

Attachments

  • photo1.JPG
    photo1.JPG
    619.8 KB · Views: 110
Hili jimbo linapaswa kukombolewa, ole medee hakuna anachofanya.
 
Crashwise Mgombea wa CDM Bw. Erick Mollel Kamanda kijana msomi wanabang`ata wanatakiwa wasifanye makosa kupoteza vijana wasomi kama Erick. tunasubiri kutangazwa washindi:msela:
 
jimbo lina masai wengi inabidi tumtumie ole milya kuwaconvice masai wajiunge na CHADEMA.
 
Tupo pamoja wana wa bangata, sasi, ndoombo, singisi, midawe. Hakuna kufanya kosa
 
jimbo lina masai wengi inabidi tumtumie ole milya kuwaconvice masai wajiunge na CHADEMA.

Timu ya kampeni iliyotupatia ushindi wa kishindo wa Nassary iliongozwa na Mchungaji Natse akisaidiwa na Vicent Nyerere ambao si wamsai lakini ccm walikiona cha moto.

Kwakuwa mashambulizi huko yanaongozwa na homeboy mwenyewe Nassary sina shaka kwamba lazima moto uwawakie ccm kwa mara nyingine. Millya anaweza akawepo katika kuchagiza tu lakini sio kuwa winning factor.
 
Wana Arumeru magharibi wanatakiwa kumkataa shetani ( magamba ) pamoja na kazi zake zote . CCM wameinajisi nchi. Hawatufai. Tushirikiane kuitokomeza.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom