M4C Mbona kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C Mbona kimya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OLEWAO, Oct 23, 2012.

 1. O

  OLEWAO Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wadau,

  Naomba kujulishwa, M4C imesitishwa kwa muda ama CDM wamenywea kwa policcm? Maana baada ya kifo cha D.Mwangosi walisema wageendelea na ratiba kama walivyokuwa wamepanga. Kumetokea nini?
  Naomba wana CDM waliomo humu Jamvini (akina Makene, M.P.Aweda n.k) watujuze wadau. Naomba kuwasilisha.
  M4C daima!
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Mkuu wangu kama wewe ni mfuatiliaji mzuri utagundua makamanda wamejipanga mikoani kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani utakaofanyika Jumapili.
   
 3. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 812
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Kuwa mtulivu, hata hiyo kuiwazia tuu M4C ni dalili yosha kuwa M4C inaendelea. Isingekuwa inaendelea usingeiwazia. We are busy strategizing, lazima twende na hali halisi. M4C inaendelea kwa namna unavyojua wewe na pia kwa namna usivyojua. Lengo hapa ni kuwaelewesha watanzania wajitambue ili waing'oe ccm madarakani. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu lengo letu linatimia.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  No Apology
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,304
  Likes Received: 4,747
  Trophy Points: 280
  tunasubiri uchaguzi wa madiwani 29 uishe kwanza. mia
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,936
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  180km/h ................
   
 7. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,787
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mkuu unaishi sayari ipi??
   
 8. Frank King

  Frank King JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 1,128
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  ulitaka waje mpaka ulipo wakuhutubie?AMA!
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,699
  Likes Received: 28,621
  Trophy Points: 280
  M4C haina msamaha.
  Subiri baada ya tarehe 29 mwezi huu utaona shuhuli ilivyo tete.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 10. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,554
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  aiseeee babaangu chadema wapo vijijini wanatowa elimu kwa vizeee vya ccm
   
Loading...