Mnyika ambana Kikwete nyumbani kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika ambana Kikwete nyumbani kwake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Serayamajimbo, Oct 23, 2012.

 1. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA John Mnyika amembana Rais Jakaya Kikwete nyumbani kwake Bagamoyo kuhusu utekelezaji wa ahadi za CCM za maisha bora kwa kila mtanzania, wanawake kuwezeshwa na ajira kwa vijana.

  Mnyika alifanya hivyo wakati akimnadi mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA katika kata ya Magomeni kwenye halmashauri ya Bagamoyo ambapo alisema kwamba badala ya maisha bora wananchi wana maisha magumu kutokana na kasi ya mfumuko wa bei huku ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wa kike na wa kiume ukizidi kuongezeka.

  Mnyika amewaomba wananchi kuchagua CHADEMA ili kazi ya kupambana na ufisadi na kutetea rasilimali za taifa kwa sera mbadala iendelee katika halmashauri hiyo ya Bagamoyo yenye tuhuma mbalimbali ambayo madiwani wake wote ni wa CCM.

  Mara baada ya mkutano huo wananchi walimsindikiza Mnyika kwa miguu toka kata hiyo ya Magomeni mpaka ofisi za chama hicho za wilaya umbali mrefu kutoka mkutano uliopita ambapo mratibu wa kampeni za CHADEMA katika kata hiyo alitahadharisha rushwa iliyoanza kusambazwa na CCM katika kata hiyo.
  serayamajimbo
   
 2. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hongera mnyika wetu hakika Wewe jembe
   
 3. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Duh! Bagamoyo! Sina hakika saana mpaka nione mwenyewe.
   
 4. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  ....
  ...  Huyu kijana anaakili sana, aina hii ya vijana ndiyo tunaweza kupata viongozi bora!!!!


  Siyo kijana anawaza uraisi tu kila siku uraisi tu!!!!


  Ukururutu kwenye ubongo hadi usoni!!!  ...


  ..


  ....
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sugu alisema jamaa ana hekalu pale msoga.
   
 6. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Hivi yule MGOMBEA wa URAIS kutoka LEKADU TIGITE yuko wapi...au yupo ziarani na MAMA MAKINDA.
   
 7. h

  hans79 JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Akikusikia mwenyewe atakumudhir shauri yako.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ukisoma michango mingine ya Pro-Chadema JF unabaki kucheka tu, hivi Mnyika ana uwezo gani wa kumbana Jk, wameshindwa viongozi wake Dr Slaa na Mbowe, Mnyika ndio ataweza endeleeni kujifariji na kujiliwadha.
   
 9. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  umeandika nini sasa..
  Lakini sishangai,uamsho ndivo mlivo
  ushabiki umewajaa sana..
   
 10. h

  hans79 JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mfano Name of Mr Dhaifu.
   
 11. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Nina hakika kama haya anayoyafanya Mnyika yangefanyika Mwalimu akiwa hai lazima angefanya kila linalowezekana ampeleke hata HAVARD ili kukipika kichwa zaidi. Hili ni jembe bwana tuache uongo. Kazana bwana mdogo tupo nyuma yako.
   
 12. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280


  pro-chadema = pro-uamsho
  ndio maana viongozi na wafuasi wao huishia rumande..
   
 13. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mnyika kaende kuwaelezea vizuri wanabwagamoyo udhaifu wa baba Mwanaisha...
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  JK ana nini mbona alimuita Dhaifu na hakumfanya kitu acha ulimbukeni wewe gamba. Vipi ijumaa mnalianzisha wapi?
   
 15. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu vipi uchaguzi wa UWT... hukubaki unacheka.., angalia usije ugua ugonjwa wa chekelea.
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkichukua kata hiyo hiyo ndiyo itakuwa salamu tosha vinginevyo tujipange zaidi.
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi Bagamoyo ni pale alipozaliwa yule mtoto ambaye kichwa chake ni nazi akawa rais ritz hata mtoto wangu anaweza kujenga hoja ya kumtoa kikwete ikulu.

  Kwanini Chadema itumie nguvu kubwa kwa ajili huyo kichwa cha nazi kikwete.
   
 18. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huu sasa ni ukosefu wa adabu. Imagine cdm wapate madiwani 3 kwenye nyumbani kwa Mkware si itazidi kudhiirika kuwa jamaa ni dhaifu.? CDM elekezeni nguvu huko Tanga, Dodoma na Singida ambako bado ni ngome ya ccm hizi kampeni za Ikulu ziwe za mwisho mwisho, heshima kitu cha bure.
   
 19. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  God bless u Mnyika. mara zote napokusikiliza naona kitu furani cha muhimu
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Jembeeeeeeeeeee.......Asante Mnyika kijana mfano kwa vijana wote CDM
   
Loading...