Dr. Slaa kuunguruma Kakola [Bulyanhulu] leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa kuunguruma Kakola [Bulyanhulu] leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Determine, Oct 22, 2012.

 1. D

  Determine JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Baada ya jana kufanya mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Bugarama, leo anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara pale KAKOLA, mji uliojaa wachimbaji wa madini, ukitembea katika mitaa yote ya Kakola Bendera zinazopeperushwa ni za CDM tu, inaonekana hii ni ngome ya Chadema.

  Nina wiki moja hapa[nimekuja kufanya kazi na BGML] lakn naweza kuripoti kwa uhakika kuwa CCM imekufa kabisa mioyoni mwa wachimbaji. Hususani wale wanaotoka ktk machmbo madogo madogo kama vile Nyangarata, Nyakagwe, n.k , hawa ni wachimbaji watanzania ambao wanatumia vifaa kama Vile MOKO, SULULU n.k,

  Hawa wamekuwa na hofu sana na Serikali ya CCM, Wengi wao wanaamini CCM inataka kuwanyang'anya eneo lao ambalo limegundulika juzi hapa [ Nyangarata] na linatoa madini pengne kuliko hata mgodi wa Bulyanhulu GoldB mining Limited[BGML] ukiongea nao kwa karibu wanadai kuwa Riz Moko tayari kashanunua machimbo yote ya Nyangarata , na anampango wa kuja na leseni inayoonesha kuwa eneo hlo analimiliki kisheria na Badaye Ataleta FFU kuwafukuza wachmbaji, wao wachmbaji [ wako kma Laki 6 hv kutoka karibu mikoa yote ya Tz] wanasema ikitokea Akaja kweli huo ndo utakuwa mwisho wa dunia..

  Jana nikiwa ktk pitapita zangu hapa kakola jioni, nikamsikia mchimbaji mmoja aliyekuwa amebeba Moko mfukoni na kiroba mkononi akisema wamejiandaa kufa na kupona kulinda machmbo yao waliyagundua hv karibun Nyangarata. Wengi wao niliozungumza nao jana, walisema,

  Leo ktk mkutano wa Dkt wamejiandaa kwenda kumsikiliza Dkt Slaa, lengo lao ni kutaka kusikia kutoka kwake Nini msimamo wake na CDM juu ya wao kutaka kunyang'anywa eneo lililogundulika kuwa na madini mengi pengne kuliko hata mgodi wa BGML..nitaendelea kuwajuza lakn sio kwa live updates, make naingia shift ya mchana ktk mgodi wa Bulyanhulu Gold Mining Limited[BGML].

  Hvyo sitaweza kurusha tukio live, lakn nitajitahdi pamoja na ugeni wangu ktk mji huu kutafuta habari zitakazokuwa zimejili nikitoka job jioni
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana.Namkumbusha pia Doctor azungumzie wizi uliofanywa wa kuzuia wafanyakazi kuchukua hela yao NSSF eti mpaka mtu afikishe miaka 60
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Asante mkuu for your well organized and articulated piece. Tunasubri update.
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,064
  Likes Received: 3,247
  Trophy Points: 280
  Poa mkuu Determine. Usisahau kurudha na picha kabisa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,082
  Trophy Points: 280
  Imekaa vema, piga kazi Dr slaa, watz tunakutegemea.
   
 6. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Binafsi nipo hapa, nilikuwa niondoke kurudi chuo lakini nimeahirisha kwa sababu ya kazi kubwa iliyopo. Jana kaunguruma bugarama, asubuhi hii atakuwa ilogi, mchana yupo hapa kakola...katika hali isiyo ya kawaida dokta slaa jana jioni alikataa kuendelea kukaa kwenye guest aliyoandaliwa, wadadisi wanasema kulikuwa na habari za siri kuhusu usalama wake, inasemekana aliondoka usiku kwenda kahama mjini, na leo asubuhi atarudi
   
 7. n

  ngozimbili JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 826
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Kuna wilaya ya nyang'hwale jirani kabisa na kwa kweli kabla mgodi haujagenishwa ulikuwa unamilikiwa na wananchi wengi kutoka wilaya hiyo mpya kilomita 22 tu toka bulyanhulu kwenda makao makuu ya wilaya hiyo mpya.viongozi wa cdm kakora(bulyanhulu) wanaelewa uhusiano maalum kati yao na wilaya hiyo mpya AMBAYO KULIKO HATA KAKORA INAHITAJI SANA KUKOMBOLEWA KWA KUWA IMETENGWA SANA NA UPINZANI MPAKA WANANCHI WAMEKATA TAMAA.
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  asante mkuu Determine andelea kutujuza....
   
 9. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tumuombee afya pia mh dr slaa adumu kwa lengo la ukombozi tu mambo ya kifamilia hayatuhusu wala mambo ya mama rose kamili kusaliti harakati yasimfedheheshe hata kidogo ni mbinu za serikali dhalimu ya ccm tu
   
 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  mkuu vipi upepo wa cdm kwenye huo uchaguzi wa diwani hapo bugarama
   
 11. m

  mwangwa Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bravo dr slaa had kieleweke babu
   
 12. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kazi yake inatambuliwa duniani na mbinguni.
   
 13. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  safi sana kamanda Slaa...
   
 14. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Vijana wenzangu, kweli ni furaha kubwa kutembelewa Dr. Slaa kwenye vijiji vyetu hata mimi ningependa aje kijijini kwetu, lakini kama wote tutakuwa na mtazamo wa kumsubiri Dr. Slaa au kiongozi yoyote wa kitaifa wa Chadema afike kijijini kwetu ndo tufanya harakati tutajicheleweshea ukombozi wetu wenyewe. Hebu tuchukue hatua ya kuwa mobilize watu wetu na kuwapanga, na kuwaweka tayari kwa mabadiliko. Akija Dr Slaa sawa, asipokuja bado siyo kisingizio cha kutokuleta mabadiliko kwenye maeneo yetu!
   
 15. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kata ya bugarama imekwenda na chadema,naona ccm wameahirisha kampeni,kila wanakopita ni zomeazomea tu,jana akina mama wa ccm wametawanyikia barabarani wakalumbana wakaanza kuzomeana wao wenyewe,hivi kuna haja gani ya kupiga kampeni kama kila mtu anakuzome?
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunakushukuru sana kwa Feedback makini.
   
 17. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  My presidaa Dr Slaa,tuko pamoja.
   
 18. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280


  ILE KESI YAKE YA MADAI YA UNYUMBA HAJAIMALIZA BADO ANAENDELEA NA KUTANGA TANGA,SASA ANATARAJIA KUINGIAN NA NANI AWE FIRST LADY WAKE??KWELI SLAA ANAZEEKA VIBAYA SANA
  :der::der:
   
 19. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,064
  Likes Received: 3,247
  Trophy Points: 280
  Hata kule Arumeru mlitumia gia hiyo kwa Nasari. First lady wa nini Ikulu? Au unataka atakaye irithi WAMMA?

  By the way, migomba ina rangi gani? Bange je?
   
 20. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280


  BANDIKA BANDIKA,,
  SISI TWABANDUA
  CHADEMONSTRATIONS ARE NOT FIT TO LEAD..
  :peep::hurt:
   
Loading...