Ukweli ni kwamba kuna viongozi wa juu kwenye serikali ya Zanzibar ambao kwa kushirikiana na Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania wanahusika moja kwa mja kwenye machafuko ya Zanzibar kuanzia...
Watu wanazungumza sana kuhusu huyu mzee..kabla ya yeye kuwepo CHADEMA Njombe ilikuwaje? Mbowe amehangaika na CDM miaka 20 sasa yeye mwaka tu anaona hakuna mafao? Kweli tunapokea watu wa ajabu
Mbunge wa Iringa Mjini na Waziri kivuli wa Maliasili na Utalii akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam ambapo amemtaka Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Ndg Watanzania wenzangu, kwa masikitiko makubwa sana nawasihi tuungane sasa kupinga wizi huu wa pesa na kodi zetu kwa kutumia kisingizio cha mbio za mwenge wa huru.
Nimekuwa nikijaribu kufuatilia...
Thomas Nyimbo atangaza kujiondoa CHADEMA
na Waandishi wetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeendelea kukiburuza Chama cha Mapinduzi (CCM) katika siasa, ambapo kwenye...
Baada ya kumaliza kuhutubia watu wasiozidi 70, Nape alisikika akisema tofauti yangu na Mzee Slaa ambaye hajawahi kuwa hata katibu kata na hawezi kuwaruhusu kuuliza maswali,kwa sababu hawezi...
Naibu katibu mkuu wa cuf ndg. Julius Mtatiro amesema pamoja na mbinu za wapinzani wenzentu jana kusambaza vipeperushi kuwa eti mgombea wa cuf amejitoa ktk kinyang'anyiro cha udiwani utaofanyika...
Wana jamvi kuna jambo la kushangaza limetokea leo.JK ktk ziara yake mkoani Kilimanjaro,leo alipita pia wilayani same.Wilaya hii kidogo imejitenga na umbali ulipo kwenda mji mkubwa wa karibu si wa...
Habari zanu wanajamvi,
Kwanza niwashukuru wanajamvi wote wanapost habari zinazoonyesha wazi kukerwa kwao na vitendo vya rushwa.
kwa siku za karibuni malalamiko dhidi ya vitendo vya rushwa...
There has been good news from Africa lately but it has been rather one-dimensional about its high levels of economic growth, an envy of most other countries of the world. Similarly good news...
Habari zilizogaaa kila kona sasa hivi unguja kuwa Sheikh Farid wa Uamsho ametekwa na watu wasiojulikana na hadi sasa hajulikani yuko wapi.
Mengi tuthabarishana. Ila kwa sasa hali ni tee maana...
Waziri aagiza maafisa habari kujibu mapigo serikali ikipigwa madongo
Na Joseph Ishengoma, Morogoro
Mwananchi
SERIKALI imewaagiza maafisa habari elimu na mawasiliano wa wizara na idara za...
Picha hii inamuonesha Kamanda Manawa Bukwimba. Ni mmoja kati ya vijana wenye ndoto za kuiona Tanzania ikistawi katika mfumo wa Demokrasia ya Vyama Vingi. Ni mwana-Chadema. Aliumia mguu kwenye...
Wananchi wa jimbo la Gairo mkoani Morogoro wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi sambamba na ahadi zake alizotoa mwaka 2008 katika jimbo hilo, ikiwemo ya kuifanya Gairo...
Kampeni za uchaguzi mdogo Mpwapwa mjini zimehitimishwa huku Chadema ikiwa imekusanya umati mkubwa sana wa watu wake kwa waume, wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee. Mkutano huo uliongozwa na mbuge...
mods naomba ubadilishe heading isomeke Live updates: Dr Slaa kuunguruma Ziba Igunga leo.
majira ya saa saba mchana kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu
mkuu wa Chadema Dr Slaa...
Wakati WATANZANIA wanazidi kufunguka na kujitafakari, sasa wazee wa Bagamoyo wameona nuru ya CHADEMA na kuikaribia huku kukiwa na kundi kubwa la vijana hasa madriver boda boda ambao sasa wanasema...
Hapa Kakola:
Mkuu wa Mkoa, RPC na OCD wanaonekana kutumia nafasi zao kushawishi wananchi kuichagua CCM katika kata ya Bugalama. CHADEMA ina nguvu sana katika kata hii.
Katibu wa CCM wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.