Yaliyojiri kwenye kuhitimisha kampeni jana mpwapwa mjini na yanayoendelea sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyojiri kwenye kuhitimisha kampeni jana mpwapwa mjini na yanayoendelea sasa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Masterproud, Oct 28, 2012.

 1. M

  Masterproud JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kampeni za uchaguzi mdogo Mpwapwa mjini zimehitimishwa huku Chadema ikiwa imekusanya umati mkubwa sana wa watu wake kwa waume, wakubwa kwa wadogo, vijana kwa wazee. Mkutano huo uliongozwa na mbuge machachari J.Mnyika ambapo alimnadi Mgombea anayeitwa BAHARIA.
  Katika kampeni hizo Mnyika aligusia mengi sn zikiwemo propaganda walizozitoa CCM juu ya mgombea wa chadema kwamba: hakuoa, hanauzoefu, hana pesa, umri mdogo, nk
  katika kujibu hayo Mnyika alisema Hata yeye hajaoa lakini watu wanaona anayoyafanya ukilinganisha na waliooa. Pili aliuliza je hao waliopa wasipokuwepo bungeni ama hapo wilayani kwa ugonjwa nk wake zao wanakuja. kuwawakilisha wananchi? Kuhusu uzoefu amesema hakuna anayepata uzoefu akiwa nje. Hata mgombea wa CCM hana uzoefu kwa vile hakuwahi kuwa diwani. Alisema mgombea baharia anaelimu nzuri na ameandaliwa vizuri kwani alikuwepo ktk harakati za kulinyakua jimbo la ubungo na anauzoefu mzuri ktk harakati za kupigania haki za wananchi, sio sawa na wa CCM ambao alisema wanauzoefu wa kuiba kura, mali za wananchi na kukiita kuwa ni Chama Cha Magamba.
  Baada ya kampeni hizo Mnyika aliongoza msafara hadi kwenye tawi la Chadema. Msafara uliluwa ni mkubwa haijapata tokea. Pia kuliendeshwa harambee kuwachangia mawakala chakula ili wasiweze toka nje. Kiasi cha zaidi ya Laki 4 na ushee kilichangwa. Mkutano wa CCM ulikwisha mapema, kimnyakimnya. Watu wameonesha kuwa na ari ya mageuzi Mpwapwa ambapo miaka yote ni CCM pekee ndio ililuwa ikiongoza. Nimeambatisha picha chini hapa kwa matukio mbalimbali.
  Kwa upande mwingine wa Ccm kampeni ziliongozwa na Mbunge wa Mpwapwa ambaye pia ni Naibu waziri wa Viwanda na Biashara ndugu Teu. Binafsi Teu ameeleza kushtushwa sn na kasi ya upinzani Mpwapwa Hakutarajia kabisa kuona upinzani umekuwa kiasi hicho ukizingatia kwamba yeye 2010 alipita bila kupingwa.
   
 2. M

  Masterproud JF-Expert Member

  #2

 3. T

  Tabby JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,882
  Likes Received: 5,477
  Trophy Points: 280
  Mungu tusaidie wana wa Tanzania!. Ikumbuke nchi yetu Mungu.
   
 4. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  picha iko wapi mkuu?
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mkuu asante sana kwa taarifa nzuri. Sasa anza kutupa matokeo.
   
 6. a

  ambagae JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kuwa chadema Kiongozi lazima uwe hujaoa nadhani. Maana Mmoja aliwahikusema kuwa Watz waliozaliwa Kabla ya Uhuru hawawezi kuiletea Maendeleo Nchi hii
   
 7. a

  ambagae JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kaona aibu kuweka Picha maana itakuwa tofauti na alivyolemba kwa maneno, Kwani mtu mzima anaogopa aibu.
   
 8. M

  Masterproud JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Picha zipo nyingi tu ila naona mtandao pia upodown kidogo. muda si mrefu nitazipost msihofu
   
 9. M

  Masterproud JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Matokeo kamili bado. Nimekuja leo Mpwapwa . Hivi sasa nipo hapa makao makuu ya wilaya mpwapwa karibu na halmashauri yao
   
 10. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  daah pamoja kwamba walichiwawa ng'ombe dah safi sana!
   
Loading...