Chadema waifanyia hila cuf.....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema waifanyia hila cuf.....?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EL MAGNIFICAL, Oct 28, 2012.

 1. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naibu katibu mkuu wa cuf ndg. Julius Mtatiro amesema pamoja na mbinu za wapinzani wenzentu jana kusambaza vipeperushi kuwa eti mgombea wa cuf amejitoa ktk kinyang'anyiro cha udiwani utaofanyika hivi punde ili wanabagamoyo wamchague mgombea wao wa cdm, bwana Mtatiro pia amewaomba wana bagamoyo waendelee na msimamo wao thabiti na wamchague mgombea wa cuf. Akiendelea kudadavua Naibu katibu mkuu wa cuf kuwa ikiwa wapinzani wenzao wataendelea kushughulika namna hii basi ccm wataondoka lini madarakani ? Alitegemea mchezo huo mchafu wangefanya ccm kuhofia upinzani lakini waliofanya kila hila ni wapinzani wenzao.
  Amemaliza kwa kusema chuki, ubinafsi na umimi vinaharibu demokrasia ya vyama vingi hasa kwa tu-vyama twetu hutu tunatotafuta dola.
  Source: page yake ya facebook.
   
 2. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Fita haina macho mura!
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwani ukimpiga ngumi cuf ni ukweli umempiga ccm indirectly
   
 4. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siasa za chadema ni siasa za kijinga kabisa, uongo wa kuzua unamwisho wake. tatizo cdm ni ukristo ndio maana mgombea wake hatakiwi.
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  kumbe uislam ndo dini ya kugombea uuongozi huh
   
 6. mirisho pm

  mirisho pm JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 2,483
  Likes Received: 3,306
  Trophy Points: 280
  hiv mtatiro ile kauli mbiu yenu ni ip tena? ni hakiii? au ni kiduuumu cuf na ..m au..
   
 7. Master jay

  Master jay Senior Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hivi majuzi mmesema CDM ndo chanzo cha maandamano ya waislam, eti wameshawishi, mara mnaibuka et ni chama cha wakristo, hv ni udini gan mnaouzungumzia hapa?? Nafikiri wewe ndo mdini. Kwani ni lazima uchangie humu jf? Huna hoja kaa kimya. Kwanza ww ndo mdini, wenye dini zao hawana udini
   
 8. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ndio elimu ya vijana wa CHADEMA , vijiweni style
   
 9. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ccm hao wamejifanya cdm
   
 10. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  eh mkigoma na wewe ni mdini mno kha!!
   
 11. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ndio maana unakula ban kila Mara na sijui Kama Leo utaikosa
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hivi vita vya CUF na Chadema ni faida kwa CCM.
   
 14. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,160
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni hila ya CCM na CUF ili kuipaka Chadema matope.
   
 15. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chama cha Umbea na Fitina (CUF)
   
 16. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,775
  Likes Received: 6,108
  Trophy Points: 280
  Chama cha Udini na Faraka
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,896
  Trophy Points: 280
  cuf ni mke wa ccm.
  ukimuangusha cuf ni sawa na kumuangusha ccm.
  mkuu naona leo mmetapakaa kwenye kurasa za mbele za magazeti mnatandikana makonde.

   
 18. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wazee wa V4C! wamesahau waliyoyatenda mwanza....
   
 19. G

  GECHANYA Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shida yetu kubwa watanzania ni kutokua na sera safi, siasa safi, na uzalendo kwa taifa letu kwani hata hoja za msingi tuna ingiza upuuzi kuanzia mwanzo hadi mwisho. Vijana wa Tanzania tuwe makini katika mambo ya taifa na tuepukane na magonjwa tunayo ambukizwa na wazee waliyo ifilisi nchi hii?????????????
   
 20. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Mkigoma; eleza hicho chama kilisajiliwa lini na kwa nani?? Nyie ndio mnaotaka kupoteza amani ya taifa hili. Chunga sana kauli zako.
   
Loading...