Hujafa Hujaumbika: Tumchangie Manawa Bukwimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hujafa Hujaumbika: Tumchangie Manawa Bukwimba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Oct 28, 2012.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  [h=5]Picha hii inamuonesha Kamanda Manawa Bukwimba. Ni mmoja kati ya vijana wenye ndoto za kuiona Tanzania ikistawi katika mfumo wa Demokrasia ya Vyama Vingi. Ni mwana-Chadema. Aliumia mguu kwenye bodaboda. Soma maelezo(nimeyatoa facebook) hapa chini. Tunaomba mchango wako kufanikisha matibabu ya huyu dogo. Sisi sote waTZ. itikadi zetu tuweke pembeni tafadhali. umoja wetu ndiyo usalama wetu.

  Ng'wanangwa

  manawa.jpg


  Joseph M Samky Samky

  [/h][h=5]Ndugu zangu bado hali ni ngumu, ndugu yetu anahitaji msaada wa hali na mali ili kuunusuru mguu wake huu. Kwa sasa amelazwa hospitalini kibaha na hapo ndipo anapo patiwa matibabu kwani alipofika pale mguu wake ulikuwa katika halimbaya sana yaani angechelewa tena zaidi ya wikimoja wange shindwa kumsaidia!
  Walicho kifanya Pale hospitalini kibaha nikuusafisha huu mguu na kumpatia dawa za kukausha kidonda baada ya muda ndipo wamfanyie upasuaji tena kwaajili ya kuu unga huo mguu huku akiendelea kukaa hospitalini hapo.

  Gharama zinazo hitajika ilikuendelea kupatiwa hayo matibabu ni kubwa sana sana!! kwa kweli yeye mwenyewe hawezi kuilipa hata kwa dawa!
  Lakini pia kwa staili tunayo toa michango yetu ili kumsaidia huyu ndugu yetu hatuwezi kumsaidia hata kidogo!!

  Ndugu zangu tumekuwa wazito mno kumsaidia huyu ndugu yetu na kamanda mwenzetu.Naomba niendelee kukuomba/kuwaomba muendelee kutoa michango yenu hata kama ulishatoa mwanzoni please na kuomba endelea kutoa tena kwa kadiri MUNGU alivyo kujalia. Lakini wewe ambae hauja toa kabisa please nakuomba toa hapa tuna weka kumbukumbu kesho na wewe utakuwa muhitaji nilazima tuli fahamu hili ndugu zangu!!. Naomba tuma shilingi 2000/3000/5000/ yaani kiasi chochote kile unacoona wewe kina faha.
  Naomba ufahamu yakua hakuna watu walioko maalum kwaajili ya kulifanikisha hili kama sio mimi na wewe!!

  PLEASE, PLEASE naomba tushirikiane katika hili bila kujali utalipwa nini au huyu bwana ulimfahamu au la!! Namba zakutuma hiyo pesa ni 0766-666969 Salmer DeJong SantiWenger huyu ni mtu anaye aminiwa kabisa. Na nyingine ni 0719-569381 Manawa Bukwimba

  NB: Ukimtunia Salma jaribu kumfahamisha ni kwaajili yanini kwakuwa yeye anapokea michango inayo husu masuala mbalimbali na kutoka kwa watu tofauti tofauti kutokana na uaminifu wake.  [/h]
   
 2. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Ng'wanangwa imefika hiyo ngoja tujikusanye ili tuokoe jahazi.
   
Loading...