Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtu wa Pwani, Oct 17, 2012.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Habari zilizogaaa kila kona sasa hivi unguja kuwa Sheikh Farid wa Uamsho ametekwa na watu wasiojulikana na hadi sasa hajulikani yuko wapi.

  Mengi tuthabarishana. Ila kwa sasa hali ni tee maana watu washaqnza kujikusanya kila pahala.

  ==========
  MODERATOR:

  JF imefuatilia na inatoa uhalisia wa kinachoendelea kama ifuatavyo:

  • Kwa mujibu wa Katibu wake, Abdallah Said Ally, amesema alikuwa na dereva wake maeneo ya Michenzani akitokea nyumbani kwake Mbuyuni, ndipo akakutana na gari moja ambalo dereva halifahamu na akashuka mwenyewe kwenye gari lake na kuingia katika hilo gari na kuanzia hapo hadi sasa hajulikani alipo.
  • Katibu huyo wa Uamsho na wenzake wamekuwa katika juhudi za kutuliza jazba za wafuasi wao na sasa wanawasiliana na polisi kujua alipo kiongozi wao.
  • Sheikh Farid 'amepotea' muda ule ule ambao inadaiwa mwenzake (Sheikh Ponda) alikamatwa (saa 5 usiku wa kuamkia leo). Juu ya sakata la Sheikh Ponda fuatilia - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/339328-sheikh-ponda-akamatwa-dar.html
  • Hata hivyo, wananchi wa hapa Zanzibar wanasema polisi, UAMSHO na serikali wangesubiri wanafunzi wamalize mitihani ya Form 4 kabla ya wao kuanza malumbano yao!

  MORE UPDATES:


  PICHA YA KINACHOENDELEA ZANZIBAR:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kazi ipo kwa baadhi ya waislamu!! ye ni uamsho au?? labda karokea MRC - mombasa!! poleni wa visiwani!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Very good Dr kikwete anafanya kazi
   
 4. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wanajipanga kuchoma makanisa...
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mnaweza muokota mzoga huyu alshabab wanahusika msipo lipa kikomboleo
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Andika vzr basi hata kama hujapata habar ya kamili
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,447
  Likes Received: 7,187
  Trophy Points: 280
  Mpaka ijumaa ifike tutaona mengi
   
 8. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hii habari nilieweka mwanz kwa nn jee. Mnataka watu wasihabarishwe au [SUP][/SUP]
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mtu wa Pwani nadhani kama ni hivyo watakuwa wanamfanyia kama ya Dr Ulimboka saizi.

  Poleni sana wana uamsho.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  SAFI SANAAAAA! chezea mfumo kristo eeeeeh! atajuta kuufahamu!
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  kuteka ni kitendo cha kihalifu, mleta mada jipange uje na data za kutosha.
   
 12. s

  salmar JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Habari ilionifikia mudaa huu inasema haonekani Naaskia ustadh faridi hajulikan alipo maduka yashaanza kufungwa.mjini. Naendelea kufuatilia nitakujulisheni kinachojiri
   
 13. L

  Lua JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huku ponda kule faridi aaahhh yaani lazima pachimbike.
   
 14. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Wamewalea wanafanya mikutano ya uchochezi wa wazi wanawaogopa. Sasa wameenda mbali na kuchoma makanisa. I can assure you, wakristo hawatanyamaza kama ikitokea tena. Ngoja tusubiri tamko la maaskofu. Najua hawataamasisha fujo, lakini si wajinga au wanyonge!
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Safi sana wanataka kutufarakanisha watanzania.
   
 16. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Anyongwe
   
 17. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Ni kulea upuuzi. Nakumbuka kama sikosei, kuna jamaa USA walitangaza jamhuri na kupewa muda kujisalimisha na kufuta kauli yao. walikuwa wamejiweka katika kambi fulani, what happened serikali ya marekani ilivamia wapuuzi hao na kuwaangamiza wote. farid wanamlea. Yatkuja makubwa.
   
 18. m

  man lesha Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  wametekana wao wenyewe, hicho ni kcngzio
   
 19. r

  raymg JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vp makanisa hayajachomwa moto?
   
 20. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wachome tu lakini tunataka nchi yenye amani.

  Makanisa yanaweza kujengwa lakini sio rahisi kujenga amani iliyoptea.. wacha wachoche makanisa yote Tanzania bado dini ya kikristo itaendele kuwepo na Uislamu utakuwepo.
   
Loading...