Mchungaji Msigwa amesema waziri Kagasheki anawakumbatia majangili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji Msigwa amesema waziri Kagasheki anawakumbatia majangili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kinyongo, Oct 28, 2012.

 1. k

  kinyongo Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Iringa Mjini na Waziri kivuli wa Maliasili na Utalii akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam ambapo amemtaka Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa jakaya Mrisho kikwete kumuwajibisha Waziri wa maliasili na Utalii Mhe, Kagasheki kwa kuwa anaficha Majangili na pia anashindwa kusimamia na kulinda wanyama wa Tanzania.

  source maasinda.blogspot.com
   
 2. Young Tanzanian

  Young Tanzanian JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,740
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katumwa na naibu huyo
   
 3. I

  IDIOS Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mmmmm!!!
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hawa mawaziri wapya hata mwaka hawana washaanza uhuni eeh
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna haja ya kulitolea ufafanuzi yale meno ya tembo yalitokea Tz bandari na akina nani wahusika!
   
 6. i

  iMind JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Namuheshimu sana mh. mch Msigwa lakini kwa hili sikubaliani naye. Tatizo la Msigwa ni kutokubali kanzi inayofanywa na kiongozi yeyote wa ccm kwa kuwa yeye ni Waziri wa kambi ya Upinzani hivyo anapinga kila jambo.

  Katika bunge lililopita alitoa data za uongo na baadae Lukuvi akamuumbua. Tatizo la ujangili ni mtanbuka siyo tu la Wizara ya maliasili. Na kumbuka hawa wanyama hawajui mipaka. wanatembea hata nje ya hifadhi ambako hakuna askari 24 hrs.

  Badala ya kulauni mh. Kagasheki ni vyema kama Waziri kivuli angechukua jukumu kuhamasisha jamii inayozunguka hifadhi kulinda hizi rasilimali zetu. Jukumu la ulinzi wa rasilimali siyo tu la waziri wa maliasili.

  Je yeyr kama waziri kivuli na na raia wa Tanzania amefanya nini? Ndo maana wakati nwingine nakatishwa tamaa na viongozi wa upinzani
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  CCM ni sawa na mbwa anayekula kinyesi chake.

  NB: weka mbali na watoto.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. B

  Benazir Buto Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We jamaa nawe hujielewi,msigwa afanye nini na kutumia vifungu gani vya sheria? Yeye yuko pale kama mwangalizi tu,hata wangeiba mbele yake hangekuwa na neno, yeye ni kama usalama wa taifa kazi yake ni kutoa ripoti ya alichokiona sio kuwajibika...kasome vizuri hatujapeleka zuzu huko hebu heshimu kazi zake..huo ni moto mwingine usicheze karibu tafadhari
   
 9. S

  Sabato masalia JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Msigwa hapo umechemsha, kwani Kagasheki ndio kwanza najipanga hivi juzi kateuwa mkurugezni mpya wa wanyama pori tumfanyie subira wala si kumshutumu.
   
 10. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  serikali haina nia ya dhati kupambana na ujangili...mfano ni kesi za ujangili...huwa zinaishia hewani nani sereikali yenyewe ndio inaziendesha....msigwa yupo sahihi kabisa......jangili anajulikana zaidi ya miaka 10 anashikwa mara nyingi tuu alafu hafungwi...na serikali inamjua..huo ni ukweli kabisa...1000%
   
 11. D

  Divele Dikalame Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msigwa ni longolongo tu, kazi yake kukurupuka Kagasheki oyee chapa kazi mkuu achana na wazushi hawa akina Msigwa waliokosa usaidizi wa roho mtakatifu, kila kukicha kupika majungu wakikatiwa wanafunga mdomo.. Heri wenye upendo maana hao watarithi nchi
   
 12. S

  Sabato masalia JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Namkemea Msigwa kwa jina la kristo aache majungu, tumwache Kagasheki afanye kazi yake Mungu mbariki Kagesheki
   
 13. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Ukitumwa kwenye rescue mission unahitaji kuwa strategies za haraka.Sasa unataka apewe muda gani ktk emergency?Hizi tabia za kuwajibia maswali viongozi wazembe sijui zitaifikisha wapi hii nchi.
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ningependa kuona humu tukijadili hoja ya msingi na si kupindisha kile kilichozungumzwa hapa wala haina haja ya kumshambulia mtu,tukumbuke nchi hii ni yetu sote na hakuna mkimbizi ambaye anataka kutuchukulia nchi yetu hivyo kila mwenye uchungu na nchi hii hawezi kuvumilia kuona rasilimali zetu zikipotea bila kupata maelezo ya kina toka vyanzo husika.

  Wenzetu kashfa tu ya kukamatwa kwa zile pembe waziri husika angejiuzulu ila hapa kwetu kwa kuwa tumezoea kuoneana aibu ndio maana wapo watu humu wanaona sawa tu kwa yale mabaya yote yanayoendelea wakifikiri uwaziri ni kazi ya milele wakati kwa wenzetu hata kama waziri kakaa kwa wiki mbili anatoka anapewa kazi mtu mwingine.

  Watanzania tuache kuleana.
   
Loading...