Mpya: Matokeo ya uchaguzi kata ya Mlangali Ludewa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpya: Matokeo ya uchaguzi kata ya Mlangali Ludewa.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by NO EXCUSE, Oct 28, 2012.

 1. N

  NO EXCUSE JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  CDM imeshinda.
   
 2. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  weka matokeo mkuu, imeshinda kivip?
   
 3. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,160
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Mbona huu uzi haujitoshelezi? Tupe source hali kadhalika na hesabu ya kura ilivyokuwa.
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hureeeee...pipozzzzz.........tupe matokea 2meshinda kwa kura ngapi mkuu!
   
 5. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  jaman mbona waturusha roho, we need changez, natmai watu wa ludewa wamepevuka na kuyachukia magamba, plz more update
   
 6. T

  Tabby JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,901
  Likes Received: 5,543
  Trophy Points: 280
  Mungu isaide Tanzania! Tukumbuke Mungu wetu!
   
 7. S

  Soki JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Fafanua Mkuu.....toa data...
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Hadi hapo ni furaha tupu!
  Tupia data mkuu.
   
 9. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aiseeeeeee babaangu 2pe matokeo vizuri ili 2jidai kwa magambaaaa
   
 10. S

  SILVANUS NJENGA Senior Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  NAN KAMSHINDA NANI TAYARI UMETUJULISHA, haya sasa tuambie nani kapata jumla ya kula ngapi na vitu kama hvyo!!!!!!!!!.
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,629
  Trophy Points: 280
  ni kweli. mia
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kwamba tumeshinda mlangali, lakini tunataka matokeo kwa idadi ya kura
   
 13. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  hapa tayari,
  tuhamie kata nyingine zilizobaki
   
 14. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hongera ,sasa waseme chama cha kaskazini
   
 15. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  safi sana mkuu,lakin utusaidie takwimu tumeshinda kwa kura ngapi?!
   
 16. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  fact and figure please
   
 17. S

  Soki JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hivi mbona magamba hapa sioni wakifurahia ushindi wao?

  Naona wana tatizo la kisaikolojia kutokana na progress ya CDM!!
   
 18. bysange

  bysange JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  wakuu leo kule mlangali (ludewa)mawasiliano c shwari lakini cdm wamepeta na kuwagalagaza ccm kwa kura zaidi ya 288.nita wa juza zaidi,cdm oyeeeeeeeeeee
   
 19. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,934
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Kamata mwizi men! Kikwete ameshindwa kazi wacha tumwonyeshe vile mambo inapaswa ikae
   
 20. M

  Mtoto wa tembo Senior Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Arusha daraja mbili tumeshinda,idadi ya kura sio ya uhakika ila tumewapiga kwa kura zaidi ya mia nane.nipo mwanza alakini hizi habari ni za uhakika.kule kwa dogo janja mambo ni magumu kata ya bangata hali yetu ni mbaya alakini ngoja tusikilizie mpaka mwisho.
   
Loading...