kwanini rais Jakaya anafanya mkutano Stand same jioni sana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini rais Jakaya anafanya mkutano Stand same jioni sana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Oct 29, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Wana jamvi kuna jambo la kushangaza limetokea leo.JK ktk ziara yake mkoani Kilimanjaro,leo alipita pia wilayani same.Wilaya hii kidogo imejitenga na umbali ulipo kwenda mji mkubwa wa karibu si wa kubeza kwa usalama au chochote kinachohitaji dharura.Cha kushangaza raisi alionekana akielekea same jioni kabisa, na magari mengi sana yalisimamishwa hasa yale yaliyokuwa yakitokea upande wa same kuelekea kaskazini,mengi yakiwa mabasi yakitoka mikoa ya Tanga,Dar,Dodoma na mombasa.Abiriria walilazimika kusubriri sana kabla msafara haujapita kw akasi kubwa sana huku uendeshaji ukiwa wa kihuni sana tofauti na usalama wanaotaka tuaminisha.

  Cha kujiuliza ni kwanini rais ajiweke ktk hatari ya kusafiri usiku ktk ipande cha barabara ambacho si kizuri sana huku akijua kuwa giza linaingia?Cha kusikitisha pale stand ya same apalikuwa na wanafunzi wengi sana ambao walikuwa wamechoka sana na hapakuw ana watu wazima wanaonekana zaidi ya wapiga debe wa stand na viongozi kidogo wa CCM au wasafiri walioshuka wakisubiri pokelewa au kkupanda basi kwenda nje ya same.
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Labda aliambiwa na wazee wa upare afanye hivyo!
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Hajui wazee wa kipare hawaaminiki?Sasa hawakuwepo stand.Walikuja vijana was hule sijui hawajamzomea baadaye?Hao waandaaji sijui hawajajifunza kuwa wanafunzi wengi hawapendi magamba.
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wazee walibak milimani kumpa ulinzi umesahau yalompata mwanza?...
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Halafu hizo reckless driving ktk msafara wake ndio wamemdanganya kuwa ni usalama?Timing zao ni za kitoto sana.Sijui hizi tabia za kuwafurahisha maboss tutaacha lini.Sijapenda sana uendeshaji ule ingawa speed ni muhimu.
   
 6. c

  chakochetu Senior Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la miji kutokuwa na Mipango Mji,aliona hapo ni rahisi kupata watu angalau ionekane ameongea na wananchi.
  Kama watu wengi wanaishi milimani,alishindwa kwenda milimani.
  au 'alitaka watu wajue kwamba alikuwa SAME.!!!!
   
 7. Huntsman

  Huntsman JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 628
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 60
  Labda kaenda kuchimba Dawa.
   
 8. m

  masomo JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni chaguo la mungu.
   
Loading...