Dr Slaa kuunguruma Ziba Igunga kesho

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
603
340
mods naomba ubadilishe heading isomeke Live updates: Dr Slaa kuunguruma Ziba Igunga leo.

majira ya saa saba mchana kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu
mkuu wa Chadema Dr Slaa atahutubia mkutano wa hadhara ktk kijiji cha
Ziba wilaya ya Igunga.Dr Slaa atafika Ziba akitokea Kayenze uyui Tabora
alikokuwa akihitimisha kumnadi mgombea wa udiwani wa CDM.
Nitakuwa live kuwaletea habari.
Source; Katibu mwenezi CDM Igunga.Diwani Vicent.
 
Leo

Hana jipya na nadhani hata mwenyewe atabaini kuwa mwitikio wa Wananchi kuhudhuria mikutano Yake umepungua. Wananchi wa Ziba na Vijiji Jirani vya Ulaya, Iborogero, Burangamirwa, Uchenjegele, Chomachankola, Miguwa, Mbogwe, Nkinga, Mwisi, n.k. Chapeni Kazi zenu za kujiletea Maendeleo badala ya Kwenda kusikiliza hotuba za silaa zisizokuwa na tija
 
Hana jipya na nadhani hata
mwenyewe atabaini kuwa mwitikio wa Wananchi kuhudhuria mikutano Yake
umepungua. Wananchi wa Ziba na Vijiji Jirani vya Ulaya, Iborogero,
Burangamirwa, Uchenjegele, Chomachankola, Miguwa, Mbogwe, Nkinga, Mwisi,
n.k. Chapeni Kazi zenu za kujiletea Maendeleo badala ya Kwenda
kusikiliza hotuba za silaa zisizokuwa na tija
kwa taarifa tu Wananchi wa Ziba na Vijiji Jirani vya Ulaya, Iborogero,
Burangamirwa, Uchenjegele, Chomachankola, Miguwa, Mbogwe, Nkinga, Mwisi,
n.k. watakuwepo kwa wingi kumsikiliza rais wa watanzania aliyedhulumiwa 2010.
 
Leo

majira ya saa saba mchana kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu
mkuu wa Chadema Dr Slaa atahutubia mkutano wa hadhara ktk kijiji cha
Ziba wilaya ya Igunga.Dr Slaa atafika Ziba akitokea Kayenze uyui Tabora
alikokuwa akihitimisha kumnadi mgombea wa udiwani wa CDM.
Nitakuwa live kuwaletea habari.
Source; Katibu mwenezi CDM Igunga.Diwani Vicent.

kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu
mkuu wa Chadema Dr Slaa
MHE. MBOWE HAPO YEYE WADHIFA WAKE UKO WAPI MHE. DIWANI VICENT, PROTOCOL IMEZINGATIWA KWELI AU. MHE. MBOWE UMEIONA HII. SHINGO HAIPITI KICHWA.
 
kiongozi
mkuu wa upinzani nchini na katibu
mkuu wa Chadema Dr Slaa

MHE. MBOWE HAPO YEYE WADHIFA WAKE UKO WAPI MHE. DIWANI VICENT, PROTOCOL
IMEZINGATIWA KWELI AU. MHE. MBOWE UMEIONA HII. SHINGO HAIPITI
KICHWA.

Mh Mbowe ni kiongozi mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.
 
kwa taarifa tu Wananchi wa Ziba na Vijiji Jirani vya Ulaya, Iborogero,
Burangamirwa, Uchenjegele, Chomachankola, Miguwa, Mbogwe, Nkinga, Mwisi,
n.k. watakuwepo kwa wingi kumsikiliza rais wa watanzania aliyedhulumiwa 2010.

Tena wakati Huu Ni msimu wa ngoma maeneo hayo nani aache kuangalia Utamaduni wake akamsikilize Mchungaji aliyeshindwa kuchunga Kondoo wa Bwana na kukimbilia kuchunga mbwa mwitu, atawaweza kweli. Halafu hajaoa.
 
Tena wakati Huu Ni msimu wa
ngoma maeneo hayo nani aache kuangalia Utamaduni wake akamsikilize
Mchungaji aliyeshindwa kuchunga Kondoo wa Bwana na kukimbilia kuchunga
mbwa mwitu, atawaweza kweli. Halafu hajaoa.

Hakuna cha ngoma wala nini mbele ya Dr Slaa. lazima shughuli kama hizo zisimame ili kumsikiliza mkombozi wa watanzania.
 
Hana jipya na nadhani hata mwenyewe atabaini kuwa mwitikio wa Wananchi kuhudhuria mikutano Yake umepungua. Wananchi wa Ziba na Vijiji Jirani vya Ulaya, Iborogero, Burangamirwa, Uchenjegele, Chomachankola, Miguwa, Mbogwe, Nkinga, Mwisi, n.k. Chapeni Kazi zenu za kujiletea Maendeleo badala ya Kwenda kusikiliza hotuba za silaa zisizokuwa na tija
Lazima utakua umetoka mirembe wewe
 
Leo itakuwa ni siku kuu ya kukumbukwa kwangu mimi, maana kufika kwa Dr Slaa kunatokea sawasawa na tukio muhimu sana kwangu hapo Zibha.
Natamani ningekuwepo kusherehesha matukio hayo muhimu, ila vijana wa Zibha nawafahamu jinsi walivyo na hamasa hivyo halitahalibika jambo.
Tuko pamoja makamanda, kitaeleweka tu.
 
mkuu najiandaa kuwaletea picha za matukio kwa mkutano wa leo

Usije ukaturushia Picha za Kwenye ngoma, maana Huu Ni msimu wa ngoma maeneo hayo, ukatudanganya eti Dr. Mshale kavuta umati wa watu, tutahakiki Picha zako. Nami nipo jirani na Ziba na nimeshazunguka Vijiji Jirani Wananchi wanasema Hawana muda mchafu wa Kwenda kusikiliza hotuba zisizo na tija za Dr. Mkuki
 
Leo itakuwa ni siku kuu ya kukumbukwa kwangu mimi, maana kufika kwa Dr Slaa kunatokea sawasawa na tukio muhimu sana kwangu hapo Zibha.
Natamani ningekuwepo kusherehesha matukio hayo muhimu, ila vijana wa Zibha nawafahamu jinsi walivyo na hamasa hivyo halitahalibika jambo.
Tuko pamoja makamanda, kitaeleweka tu.

Kamuzu, je vijana hao unaowategemea wasipojitokeza angalia isije ikafikia kujitundika. Taifa bado linakuhitaji.
 
Back
Top Bottom