Nilichojionea wakati wa utowaji maoni tume ya katiba mpya kwa Wawakilishi - Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilichojionea wakati wa utowaji maoni tume ya katiba mpya kwa Wawakilishi - Zanzibar

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mwambao, Oct 27, 2012.

 1. M

  Mwambao Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeangalia CD iliyorikodiwa sijui na nani wakati wawakilishi wa baraza kama watu binafsi wakitowa maoni juu ya katiba mpya waitakayo kama sehemu ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  Lakini kwa kweli kilichonihuzunisha mimi na mpaka sasa nasikia aibu ndani ya nafsi yangu ni jinsi ya viwango vya elimu vya baadhi ya wawakilishi ambao wengi ni Form Three na wengine Form Four ila baadhi ya wachache sana ndio wana elimu ya juu yaani shahada kama sheria na biashara. Kwa kweli nikijiuliza kiwango cha hawa walio wengi form 4 na 3 nikitizama kiwango chao cha elimu na kazi wanayofanya haifanani kwanza ni rahisi kudanganywa na wataalamu hasa wachumu ambao ni maofisa mipango wanaandaa budget za serikali vipi huyu mwakilishi wa Form 4 na 3 anaweza kufifanyia analysis budget na miswaada maana pia kuna kamati kama PAC vipi wanaweza kuchambua ripoti .
  Kwa kweli kichwa kiliniuma sana walipokuwa wakitaja viwango vya elimu zao kweli tutafika daaaaa we acha tu

  Wana jamii naomba tuchangie hili
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kuna mwaka mtu mmoja tu alipata div form six Zanzibar nzima
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  Mwambao, takashi,

  ..walioendesha harakati za uhuru wa Tanganyika walikuwa na elimu ndogo zaidi ya hao wawakilishi wa ZNZ, yet walisikilizwa hoja yao na tukapewa uhuru.

  ..wa-ZNZ wamechoka na muungano, na wanaeleza waziwazi.

  ..hivi hizi CHUKI wanazoeneza waziwazi dhidi yetu wa-Tanganyika mnaona raha gani kuzivumilia?? Kuna shida gani wakipewa nchi yao?

  ..Mimi nilitegemea na sisi wa-Tanganyika tutapaza sauti kwamba muungano uvunjwe. We have nothing to loose.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo mfumo kristo...Hawataki kuona Muungano unvunjika kwa sababu agenda yao itakua imefeli...
   
 5. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Tatizo sio mfumo kristo tunawaonea huruma ndugu zetu weusi maana wote wanaodai muungao uvunjike ni wazanzibari waarabu waomani ambao kwa namna moja au nyingine ndio wale waliopinduliwa sasa wanakuja kivingine.

  We angalia viongozi wa uamsho 90% waarabu, Wachochezichozi wote (90% waarabu hujiulizi)?

  Nia yao ni moja tu kuvunja muungano kutangaza taifa la kiarabu sijiu kininini waulize wazanzibari weusi kama kwa nafsi yao wanapenda muungano uvunjike utapata jibu halafu muulize mzanzibari muarabu kama wanapenda muungano uvunjike utapata jibu, wengi wa weusi wanashurutishwa may be kwa kuwa wameajiriwa na hao wazanzibari waarabu thats why siku ukivunjika tu tegemea upemba na uunguja.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  nani anatakiwa kuuvunja muungano?
   
 7. k

  kajirambeni New Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo si watu wanaogombea Ubunge au Uwakilishi, tatizo ni mfumo (Katiba) inayoruhisu yeyote anayejua kusoma na kuandika kuwa na nafasi ya kugombea. Tunahitaji viongozi wenye upeo sio wale wanaofata upepo tu. Pamoja na ukweli huo, tunashuhudia katika nchi hii hata hao professors wakiendeshwa na hao wenye elimu ndogo. sijui tunakwenda wapi watanzania sisi
   
 8. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  We waache tu...muungano ukivunjika hawa waishia kuwa watwana tu, mabwana wao watatoka Oman...!
   
 9. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii kasumba ya Uarabu na Uafrika/Uweusi sisi tushachoka nazo. Hazina tija kwa maendeleo ya Zanzibar. Kila siku umasikini unazidi kuota mizizi na hali ya maisha inakua mbaya zaidi na zaidi. Hawa viongozi wanaojidai kutetea Uweusi/Uafrika kwanini wananufaika wao tu,na familia zao. Kwanini nafasi za uongozi ziwe zinarithishwa kwa watoto wa viongozi tu?

  Kabla ya kutukataza tusidai mabadiliko ,wanatakiwa watimize majukumu yao ya uongozi. Miaka 50 ya uhuru bado tunahangaika kutafuta maji safi,umeme wa kutosha ,huduma za afya na mazingira duni tunayoishi. Kama serikali imeshindwa na haya basi usitukataze sisi tunaodai mabadiliko. Mimi sina hata chembe ya Uarabu na nasema tumechoka na lazima tupumue.
   
 10. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kumbe ni kweli umeona kuna uarabu na ueusi. Hivi shule mwapafomu vizuri nyie maana nilikuwa nasikia Zainzibar inaongoza kwa vijana kutumia madawa ya kulevya na 0713. Shule dunia ni shida sana kwa watoto wa Kizanzibar zaidi ya madrasa elimu dunia nii shinda ndio maana na ufaulu uko chini cha ajabu wakifeli wanalalamika wamefelishwa.

  Ningekuwa miimi nina mamlaka kweli niingeufunjilia mbali, ingawa najua hata ukivunjika hao weusi watabaki kuwa watumwa wa waarabu maana wanafikiri wanavyoaminishwa ndivyo vitakuwa, matokeo yake wengi watakimbilia huku bara kama walivyojazana kariakoo.
   
 11. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  sasa kama mmechoka nani anawalazimisha? hata sisi huku Tanganyika tumechoka kubeba zigo lizilobebeka! Kaoleweni huko Oman
   
 12. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  We mwenyewe kwani una kiwango gani cha elimu.Mbona uandishi wako inaonekana ni kama mtoto aliyefeli std 7.
  Ikiwa umeshindwa kuelewa hoja za wawakilishi nani atakuamini kuwa una elimu kubwa kuwapita wao.
  Ukitaka kujua ukali wa hoja zao na elimu za wawakilishi muulize Jaji Warioba aliyelazimika kuuliza maswali kama ya mtoto asiyeelewa somo darasani.
   
 13. M

  Mandi JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wacha kuwadanganya wana jamii zanzibar ni yawote wazawa ambao ni mchanganyiko wa watu wa rangi tofauti hata wajukuu wa mababu zenu kutoka tabora ni wazanzibar.hata wewe unatoka kongo nashangaa unajiita mtanzania na unalani kuitwa mtanganyika.mjasiri haachi asili.sovereign zanzibar.say no union
   
 14. M

  Mandi JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  big up kwa kumwambia ukweli.pia jaji warioba katika makutano yake na wawakilishi amejisahau kua yeye ni mkusanyaji maoni na wala sio mwenye kuchuja maoni matokeo yake ameanza kuonesha uzaifu wakupinga hazarani kwamba tunataka kuuvunja muungano.togeza we say no union.tuwacheni tupumuwe
   
 15. k

  kipimo JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ningependa kikwete na shein wasikie haya, meli free toka dsm kwa mwezi iwarudishe wazenj na kuwaleta wa bar, itasaidiia!
   
 16. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,098
  Likes Received: 1,483
  Trophy Points: 280
  kwanini mnapenda kila jambo kulinganisha na elimu kwani hao wanaotusainisha mikataba mibovu hawajaenda shule.Siasa siyo kazi ya taaluma hivyo kila mtu ana haki ya kuingia kazi za taaluma zinaeleweka kwa hiyo siyo kosa wawakilishi kuwa na elimu ndogo waliowachagua waliona wanafaa ndio maana wakawachagua
   
 17. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa kwani nani anawalazimisha kuendelea kubeba huo mzigo usio bebeka?
   
 18. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi zile phD ya SHEIN na BILAL za bandia ? Hii ya KIKWETE vipi?
   
 19. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mfumo kristo tumeushika pabaya sasa unatoa cheche ...
   
 20. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Sasa kama ya woote makanisa mwayachomea nini! na baa je! mwazichomea nini! kama ya wooote mngeacha kuharibu mali za wazanzibari wenzenu kila mmoja mngemuachia uhuru wake yakhe! kwa maana anayehukumu ni Mungu pekee! au sivyo ndugu yangu yakhe!
   
Loading...