Maswali kwa Nape: Shahada feki mlizokamatwa nazo zilitoka wapi?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Napenda kuwauliza ccm na msemaji wao wa chama bwana Nape katika uchaguzi. Wa madiwani uliofanyika Jumapili kuna zaidi ya shahada 100 zilikamatwa na wanachama wenu mliowatuma kukupigia kura chama chenu.

Hiki chama bila wizi na rushwa hakiendiii?

Kwanini ulikataa kuzungumzia swala la rushwa kwenye uchaguzi wa vijana na ukawa mkali kunani?

Vipi wale mafisadi mliowapa miezi mitatu na sasa almost mwaka na mpo kimya?
 
mmmmh huyu atakuhjibu nini Mpwa, heri hata ungekaa kimya tu, ataishia kuleta hadithi za Abunuasi real I tell you
 
Return of the Undertaker,,,,mi nadhani ungemuuliza Nape,,,yeye naye shahada yake ni ipi na alimaliza chuo kipi,,,maana naanza kuhisi labda kuna viongozi wa CCM wana shahada za kufundisha wizi wa shahada including Comrade Nape....jamani 2015 si mbali na lazima tuwe na tume huru
 
chama bila rushwa hakiendi.ni sawa na CDM ISIVYOENDA BILA YA HELIOCOPTER
 
Napenda kuwauliza ccm na msemaji wao wa chama bwana Nape katika uchaguzi. Wa madiwani uliofanyika Jumapili kuna zaidi ya shahada 100 zilikamatwa na wanachama wenu mliowatuma kukupigia kura chama chenu.

Hiki chama bila wizi na rushwa hakiendiii?

Kwanini ulikataa kuzungumzia swala la rushwa kwenye uchaguzi wa vijana na ukawa mkali kunani?

Vipi wale mafisadi mliowapa miezi mitatu na sasa almost mwaka na mpo kimya?

Hapo kwenye red, kwani mkuu vuvuzela lina uwezo wa kusema? Vuvuzela kazi yake ni kupulizwa tu ndiyo litoe mlio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom