Picha: Nassari katika uzinduzi wa kampeni usa river | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Nassari katika uzinduzi wa kampeni usa river

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Oct 30, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Hapo waseme anatafutwa na polisi. Sijawahi kuona mtu anatafutwa na polisi halafu anahutubia jukwaani tena kwa kibali cha polisi, mbele ya polisi.
  Polis wetu waache kutumika kisiasa.
  [​IMG]
  Kadi zilizorudishwa na magamba waliojiunga na chadema usa river
  [​IMG]
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kazi nzuri sana mkuu Mungi!
  Siri kubwa iko na daftari la Wapiga kura!
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kitaelewe tu...
   
 4. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  watasema sana lakini let us wait n see....viva kamanda
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ni kweli Mkuu, hata ukiangalia waliopiga kura Daraja mbili zaidi ya 80% ni akina mama. kuna changamoto za kuwashawishi vijana kujiandikisha kupiga kura mwakani watakapokuwa wana update daftari letu.
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Msihofu watu wengi wanaokerwa na haya watajiandikisha na vijana wengi si mali ya ccm
   
 7. C

  Concrete JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Safiii Safi sanaaaaaa
  Kamanda, tusonge mbele kwa mbele.

  Viva CHADEMA
   
 8. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hakuna kulala mpaka kieleweke
   
 9. B

  Ba'mdgo JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna uchaguzi gani tena, au uzinduzi wa kampeni za udiwani zilizopita? naomba kujulishwa tafadhali.... ila big up kamanda mdogo
   
 10. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Ushindi upo tu. Kikwete mwenyewe kawachoka mafisadi, wengine kawapeleka lupango. Sasa kaja na katiba mpya ambayo bingwa wa mafisadi Nkapa aliliogopa kwani alijua hilo linaweza kuing'oa ccm. Kikwete kaandaa mazingira ya chi kutawaliwa na wapinzani.
   
 11. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Uchaguzi wa serikali za mtaa kamanda.
   
 12. m

  majebere JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Naona kadi mpya mpya tu.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Umeona wapi kadi za ccm zinapauka? kadi za ccm zinatengenezwa ulaya kwa kodi yako
   
Loading...