Dr. Slaa: Tutapinga haraka kusudio la kukata rufaa ubunge wa Igunga

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
603
340
Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni
kuwafanya wanaigunga wakose mwakilishi maana wanajua uchaguzi ukirudiwa
watashindwa.Tumegundua njama zao tutaipindua hii mara moja,usalama wa
taifa mliopo hapa pelekeni taarifa hizi. Sasa hivi mambo yetu tunayapeleka kisheria zaidi ndiyo maana natembea na wanasheria wangu alisema.
 
Attachments

  • Dr+Slaa+akihutubia+mkutano+Ziba+Igunga.jpg
    Dr+Slaa+akihutubia+mkutano+Ziba+Igunga.jpg
    36 KB · Views: 323
Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni
kuwafanya wanaigunga wakose mwakilishi maana wanajua uchaguzi ukirudiwa
watashindwa.Tumegundua njama zao tutaipindua hii mara moja,usalama wa
*taifa mliopo hapa pelekeni taarifa hizi. Sasa hivi mambo yetu tunayapeleka kisheria zaidi ndiyo maana natembea na wanasheria wangu alisema.
JEMBE KAZINI wapeni live magamba tumewachoka,PEOPLEEEEES.............P....,,,,
 
wana haki ya kukata rufaa sidhani kama kuna namna ya kuipinda hiyo kisheria. ccm wanafanya hivi kwa ajili ya kujiandaa pia
 
Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni
kuwafanya wanaigunga wakose mwakilishi maana wanajua uchaguzi ukirudiwa
watashindwa.Tumegundua njama zao tutaipindua hii mara moja,usalama wa
taifa mliopo hapa pelekeni taarifa hizi. Sasa hivi mambo yetu tunayapeleka kisheria zaidi ndiyo maana natembea na wanasheria wangu alisema.
Picha ya Dr. Slaa akihutubia ya wasikilizajimje iko wapi,au wapo kiduchu mnaona aibu
 
Mkuu mkigoma ni vizuri ukatofautisha kusudio la kukata rufaa na rufaa yenyewe.Dr Slaa analopinga ni kupeleka kusudio mahakamani na kulitelekeza.alisema sumbawanga rufaa ya kesi ilikuwa ya nyuma lakini imemalizika wanajiandaa na uchaguzi.Igunga wanataka kuchelewesha kwa makusudi na wameligundua hilo.
 
Last edited by a moderator:
Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni
kuwafanya wanaigunga wakose mwakilishi maana wanajua uchaguzi ukirudiwa
watashindwa.Tumegundua njama zao tutaipindua hii mara moja,usalama wa
taifa mliopo hapa pelekeni taarifa hizi.
Sasa hivi mambo yetu tunayapeleka kisheria zaidi ndiyo maana natembea na wanasheria wangu alisema.

Hana lolote huyu, alitaka tu ashambulie vyombo vya usalama kama kawaida yake.
 
Mkuu
ni vizuri ukatofautisha kusudio la kukata rufaa na rufaa yenyewe.Dr Slaa analopinga ni kupeleka kusudio mahakamani na kulitelekeza.alisema sumbawanga rufaa ya kesi ilikuwa ya nyuma lakini imemalizika wanajiandaa na uchaguzi.Igunga wanataka kuchelewesha kwa makusudi na wameligundua hilo.

Amesema wanafanya mambo kisheria asubiri sasa sheria ifuate mkondo wake ana wasi wasi gani?
 
Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni
kuwafanya wanaigunga wakose mwakilishi maana wanajua uchaguzi ukirudiwa
watashindwa.Tumegundua njama zao tutaipindua hii mara moja,usalama wa
taifa mliopo hapa pelekeni taarifa hizi. Sasa hivi mambo yetu tunayapeleka kisheria zaidi ndiyo maana natembea na wanasheria wangu alisema.

Anafananisha kesi hii na ile ya kwake ya kuona mke wa mtu, anafikiri ombi hilo litatupwa kama ambavyo la kwake lilitupwa.
 
wana haki ya kukata rufaa sidhani kama kuna namna ya kuipinda hiyo kisheria. ccm wanafanya hivi kwa ajili ya kujiandaa pia
SLAA anafikiri kesi hii ni sawa na ile ya kwake ya kuoa mama mshumbuzi, si unajua ombi lake la kutaka hiyo kesi ifutwe lilitupiliwa mbali.
 
Chadema na ccm wakumbuke wanaoumia ni wananchi.
Huyu SLAA analeta hasira za Kimasai kwenye siasa, kwani wanaokwenda mahakamani kupinga rufaa hawakufuata sheria? anapingana na sheria.
 
Wanajf leo ndio maamuz (rulling) ya rufaa ya mh. lema,??? mwenye taarifa ya uhakika atujulishe!!
 
Mkuu

Amesema wanafanya mambo kisheria asubiri sasa sheria ifuate mkondo wake ana wasi wasi gani?

Mkuu kumbuka kuna kucheleweshwa kwa sheria kwa makusudi pia.Wapo wabunge waliofunguliwa kesi zikaachwa mpaka vipindi vyao vya ubunge vikapita,ukaja uchaguzi wakashinda tena hukumu ikitoka wataondolewa ubunge wa sasa? maana kesi zipo mahakamani mpaka leo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom