Baada ya uchaguzi wa madiwani 29 yabainika daftari la wapiga kura lina ksaoro kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya uchaguzi wa madiwani 29 yabainika daftari la wapiga kura lina ksaoro kubwa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Lu-ma-ga, Oct 30, 2012.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Jana wakati napitia threads mbalimbali humu JF nilikutana na kipande cha elimu kikieleza kuwa kuna kituo kimoja kati ya sehemu zilizohusika na uchaguzi kuwa kilikuwa na wapiga kura 280 lakini kati ya hao waliojitokeza kupiga kura ni 88 na kati ya hao chadema walipata kura 64 na ccm kura 24.Nikajiuliza hao 192walikwenda wapi??? Baada ya elimu hiyo nilichojifunza ni kwamba;
  1. Huenda yaliyojitokeza 2010 ya kuwa na wapiga kura 20million na wakajitokeza 8million linaweza kututesa sana 2015
  2. Kuna umuhimu wa ku-filter idadi ya wapiga kura ili kujua kama kuna ghost voters au kitu kingine
  3. Watanzania tunatakiwa kupiga kelele sana juu ya kuhakiki daftari la voters
  4. watanzania tudai tume huru itakayo-address mapungufu yote hayo
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu mambo hayo yote yapo by design ili kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani. Ni lazima tutatumbue kuwa haya ni mapambano, hivyo CDM wanapaswa kupambana hata kwa kupandikiza mchwa chini ya mbuyu ili hatimaye mbuyu uweze kuanguka wenyewe.

  Labda nimalize kwa maneno ya MM 'SIYO jukumu la Chama tawala
  kuboresha upinzani ili upinzani
  uweze kushika madaraka badala
  yake. Ni jukumu la chama tawala
  kutumia mbinu mbalimbali za
  kisayansi kuudumaza upinzani na kuhakikisha hawapati nafasi ya
  kutawala. Kwa maneno mengine
  CCM haina jukumu la kuisaidia
  CHADEMA iimarike. Jukumu la CCM
  ni kuivuruga Chadema,
  kuidhoofisha na kuhakikisha ukifika uchaguzi mkuu au
  mwingine wowote inafanya
  vibaya kuliko uchaguzi wa kabla
  yake'.
   
 3. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sina hofu cdm itashinda 2015
   
Loading...