Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha mapinduzi,kimetufanyia haya,ambayo kwa hakika yameonekana mazuri machoni mwa wengi ndiyo maana leo wanapambana kukutetea. 1. umetua fikira zetu ,kwa kutupa Elimu tegemezi ambayo kila...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mh Joshua Nassari amekanusha tarifa zilizoandikwa na magazeti ya Uhuru na Habari Leo kuwa jana alifyatua risasi na kuzua tafrani katika uchaguzi wa kumtafuta...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi napenda chama changu cha CHADEMA kichukue Madaraka 2015! Ila kutokana na mizengwe ya serikali iliyopo madarakani CCM.......najua nini kinaweza kutokea kwani wapo tayari kuua basi zima lenye...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Nianze kwa kuomba radhi kwa wanaJF wenye allergy na EDWARD N. LOWASSA. Najua wapo wadau wengi humu jamvini ambao wakisikia LOWASSA wanakumbuka UFISADI na wakitamka UFISADI wanakumbuka...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
wakat wa bunge la bajeti waziri mwakyembe kwenye bajeti yake alitoa ahadi ya utekelezaji wa miradi ikiwemo malipo ya fidia kwawananchi kupisha ujenzi wa reli eneo la tangasisi Tanga pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari kutoka kijijini, Kuna mwamko mkubwa ambao haujawahi kutokea na nimeona nami nitoe mchango wangu japo kidogo. Baadaye kesho nitawasilisha mchango wangu huo ili kusaidia japo kiduchu katika...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Jamani.. katika pita pita yangu nasikia kuna kashfa kubwa fulani ya masuala ya tenda na uendeshaji wa hili dubwasha. Naomba mnaojua mtusaidia kulichambua nani analisupply uhai wake, kwa vipi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wafanyakazi na watanzania wote amka tufanye maombi, ni usiku wa manane sasa! Ili muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria za mifuko ya hifadhi ya jamii ipelekwe bungeni katika mkutano wa bunge...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Uchaguzi mdogo wa ubunge huko Igunga utaamuliwa kwa namba. Utaamuliwa kwa idadi ya watu watakaojitokeza kupiga kura na siyo watu wanaojitokeza leo hii kwenye mikutano ya kampeni. Utaamuliwa na...
13 Reactions
24 Replies
4K Views
"Still, I want my President to come and fix things. Head of State is a real job, not just an opportunity to go dress shopping on the public account. The symbolic powers of leadership cannot be...
1 Reactions
2 Replies
917 Views
Nasikisikia tu kuwa kuna mikoa mipya ya Simiyu na Katavi wakati fulani nilisikia Njombe na Geita pia ni mikoa sasa kama kuna mtu ana ramani mpya inayoonyesha mikoa yoote mipya ya Tz na wilaya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani hii haikai sawa hasa kwa huyu mjamaa (EL) ambaye anadaiwa kuutaka urais kwa udi na uvumba, na anayeripotiwa yuko katika mkakakti kabambe wa kupanga safu yake katika chama chake...
8 Reactions
88 Replies
6K Views
Katika matokeo ya Madiwani yaliyokuwa yanasubiliwa na wengi yameonyesha kuwa bado CCM ni Chama ambacho bado kinakubalika kwa wengi, licha ya majigambo mengi kwa viongozi wa chadema kabla ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Baba wa marehemu anasimulia mtoto wake alikamatwa siku ya sikukuu mosi akipeleka ng'ombe wake malishoni na akiwa na pesa shilingi elfu 80 ambazo shilingi elfu 30 alichangiwa na baba yake. Pesa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Anasema chama hicho kimepoteza nguvu kukabili wapinzani, adai Oparesheni Sangara ya Chadema inawatesa. Asema misingi yote ya TANU, ASP imetoweka. Mwanasiasa mkongwe huyo alitoa kauli hiyo...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemlipua Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akidai kuwa hana ubavu wa kupambana na rushwa kwa kuwa chama chake kiliingia madarakani kwa rushwa katika...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Dear Nyerere, tangu ufe mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, Shekh Ponda ni IGP, na pia rais anaishi Airport na pia wanasema tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sikiliza radio ujerumani ya kiswahili,utaona kamanda anavyo jizonga zonga. Kamanda ajitetea AUDIO | DW.DE Wananchi pamoja na baba mzazi alie uliwa kijana wake na jeshi la police AUDIO | DW.DE
0 Reactions
0 Replies
929 Views
vijana wa Tanzania kama kweli tunataka mabadiliko lazima tufanye yafuatayo Ø :evil:Kuacha unafiki (let ndio yetu iwe ndio na sio yetu iwe sio) Ø...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
kwa miezi kadhaa sasa ujenzi wa barabara mjini arusha umekuwa ukiendelea kwa kasi .hii ilikuwa ni mbinu ya kushawishi wapiga kura wa arusha mjini kuipigia kura ccm. Matokeo ya jana ya udiwani...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Back
Top Bottom