Wasafi ndani ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasafi ndani ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tutor B, Oct 30, 2012.

 1. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Wanachama na viongozi ndani ya CCM wanaojiona ni safi inawezekana ni kweli. Lakini kwangu mimi nawaona watu hao ni kama ifuatavyo:
  Mtu unaenda bafuni, unaoga na kurudi ndani, unavaa nguo yako safi na kujipuliza manukato safi, kweli unanukia, unaenda hotelini na kununua chakula kizuri tena kwa bei aghali, unabeba chakula chako hicho na kwenda dample, unaanza kula chakula hicho.
  Hivi kwa yeyote mwenye akili timau akikukuta unakula chakula chako hicho karibu na uvundo wa dample atautafisilije utanashati wako?

  Nipe jibu mwana JF.
   
 2. M

  Mndokanyi JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM ni kikundi cha watu wachache kilichochota mali za umma,wenye imani ya kutawala daima ili kulinda hizo mali walizochota.Ila kwa sasa hivi wanaona hali ni ngumu,wanabaki kujipa matumaini kwa kuwa wanajua,siku moja sheria itachukua mkondo wake.
   
 3. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Aliwai kuandika m2 kuhusu plan B ya CDM ili kuing'oa CCM; sijui majibu yalipatikana au? Ikitokea kwenye kura wakaendeleza tabia yao ya wizi na vurugu kama ilivyo kawaida yao; tufanye nini? Hawa jamaa siku ya kura wanaweza kupiga mabomu ya machozi na kukimbia na na mabox ya kura zetu; likitokea hilo tufanye nini wana CDM?
   
 4. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  No comments...
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hata jalalani kuna vitu visafi vinavyopatikana huko mfano.mabaki ya mkaa.
   
 6. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Mkaa weyewe ni mchafu; iweje mabaki yake yawe masafi mkuu?
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Why No comment ?
   
 8. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Hakuelewa kinachoongelewa!
   
 9. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Wewe ndo hajaelewa nilichomaanisha, no comments ina manaa kubwa
  ya kuelewa jambo linaloongelewa na ukahisi limekutosheleza hivyo
  ukawa huna cha kuongezea au kupinga...
   
 10. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Because I don't have anything to add on it...
   
 11. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Sawa Bishop!
   
Loading...