President Joyce Banda criticised by Malawians on the border wrangle with Tanzania!

Ngida1

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
586
206
The Democratic Progressive Party (DPP) has attacked Joyce Banda's administration, seven months after being in power,
arguing it has failed to run the country properly.
On the dispute with Tanzania on the border DPP said that it was surprised that President Banda has taken
the boarder wrangle issue to the United Nations surpassing several continental and regional bodies such as the African Union, SADC and COMESA.
"Additionally, the DPP joins the Malawi Law Society in condemning the government's decision, coming at a time when the country is experiencing extreme economic hardships, to hire expensive lawyers from the United Kingdom just to draft a paper to be presented to Tanzania for negotiations when we have so many learned Malawians.
"The DPP believes that African challenges are best solved by Africans. The DPP proposes that a high powered team be formed to negotiate with our Brothers from Tanzania".


ZANZIBAR NI KWETU: JB criticised by Malawians for taking the border issue to the United Nations

 
Maddam president aliongozwa na jazba, na ulimbukeni wa kuamini ngozi nyeupe ndo wapo bora kwenye sheria kuliko weusi wenzake
 
ZANZIBAR NI KWETU: JB criticised by Malawians for taking the border issue to the United Nations

Ndio tabia ya viongoz barani afrika kudhani kuwa un ndo suluhisho la matatizo yao
 
Acha wagombane wenyewe kwa wenyewe kwanza ili tuwamalize vizuri. Huyu mama akili yake inaendeshwa na wanaotafuta mafuta ziwani sasa anafanya mambo kama mtu aliyekunywa kimpumu!
 
This shameless puppet cannot do better than that.

Kiboko yake ni Prof.Peter Mutharika tu

Huyu Mama ameonyesha uwezo mdogo sana wa kuongoza.Ni fedheha nyingine ya Africa.Natamani siku moja nianzishe kikosi maalumu cha kuangusha serikali vibaraka kama hizi huku Africa.
 
Kama aliweza kukubali ushoga nchini mwake iwe known officially hata haya maamuzi yake sina wasiwasi nayo maana yatazaa yale yale tu
 
Labda anadhani hiyo paper ikiandaliwa na mzungu itawatisha Watanzania...fikra mgando.
Huyu mama very soon ataonyesha true colors zake.
 
Huyu mama ni kil.za vibaya sana. Ku prove hilo kwenye ziara yake uingereza alipiga magoti wakati anamsalimia malkia. Kwa mujibu wa protokali hautakiwi ku bow kwa kiongozi wa kitaifa mwenzako!. Nyerere alisha mshikisha fimbo malkia huyo wakati alipomsalimia bila kuvua glove zake kwanza!
 
Acheni kumtukana mama yenu!

Hajatukanwa ni kuambiwa ukweli tu, yeye aliporuhusu ndoa za jinsha moja ulimchukuliaje, maana msifia mvua imemnyeshea yawezekana alishakaonja hako kamchezo akakapenda na kuona ni vyema wananchi wake nao wafwaudu. Hizi sheria za kusema rais akifa makamu wake achukue madaraka kwa kweli siyo nzuri matokeo yake ndio kama haya, siamini kama wamalawi wangempia kura huyu mama awe rais wao lkn udhaifu wa sheria umewaghalimu, nasi sheria yetu inatamka hivi tuombe yasitukute haya.
 
Ndo maana Yesu hakuchagua mtume wa kike! These people are weak.

No Dont go that way...Yeye binafsi ndiyo week

There are poweful women kama mama yangu na mama yako mzazi.Wapo akina Dambisa Moyo,Ngozi okonjo Iweala wa Nigeria,Cond Rice,Sirleaf Johnson,Graca Machel n.k
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom