Nukuu bora: Tanzania ni bora kuliko ukristo na uislam.

Status
Not open for further replies.

ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,937
938
Katika siku ambayo mwili umesisimka kwa uzalendo ni leo baada ya kusoma msimamo wa mzee wa Upako kuwa Tanzania ni BORA KULIKO UKRISTO NA UISLAM. Ahsante kwa kutukumbusha.
 
Mbora ni yule ambae anaefanya na kufuata yale mwenyezi mungu aliyoamrisha..dini ya haki mbele ya mungu ni u******mu
 
Hayo yalipita! huko nyuma Waislamu walijaribu kuweka mbele nchi na dini yao nyuma lakini wenzao Wakristo walitanguliza ukristo kwanza halafu ndio nchi!

Sasa wakati umefika wa kuelezana ukweli kama wenzetu mtakuwa mnatangaza uzalendo majukwaani halafu kwenye baraza la mitihani ukristo mbele, hapo Waislamu hawatakubali na liwalo na liwe!
 
Kweli wakristo wajanja, pamoja kwamba waziri wa elimu ni islam na rais wao lakini bado waislam hawana imani. Naona hata Mombasa, Nigeria, Mali na Zanzibar wate wanalaumu wakristo.
 
Mkuu vipi kuhusu yule mtoto wa kiislamu aliyeandika bongo flavour kwenye mtihani wa 4m4?

Mbona sijasikia tamko la mashehk ubwabwa.?
 
Mbora ni yule ambae anaefanya na kufuata yale mwenyezi mungu aliyoamrisha..dini ya haki mbele ya mungu ni u******mu
hapo kwenye red kama ni ya haki mbona unaogopa kuitaja kwiwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwi
 
Kweli wakristo wajanja, pamoja kwamba waziri wa elimu ni islam na rais wao lakini bado waislam hawana imani. Naona hata Mombasa, Nigeria, Mali na Zanzibar wate wanalaumu wakristo.

Anaesahihisha mtihani sio Rais wala Waziri!
 
kuna wakati najikuta nawaza sana wakati nimetoa michangomikubwa kanisani kanisani na misaada mingine,nikikumbuka kuwa hizi dini zililetwa na meli na sijui zilitokea wapi je ni mungu wa kweli na kwanini hakujionesha huku afrika kwanza sie ndio tuwapelekee wazungu na waarabu na nikija kuangalia aim halisi ni waarabu:mafuta,kanzu,madini.wakristo/wamissionary:kuiba rasilimali zetu nakututawala hapa naishiwa na nguvu kabisa maana kila aliyeileta dini ana jambo baya nyuma yake wizi na unyang'anyi .hamna aliyekuwa ana nia kweli dini ienee kwa wote ,swali linakuja je:ni mungu yupi was behindi all those people? au wao ndio walitumia akili zao za kibinadamu nakugeuza mambo 2:sijawahi mwona niliyeambiwa ni Mungu au mtume am living in imagination and fantasy that there is GOD,and his prophecy i never see any,and no one goes there where they so calld heaven/peponi nakurudi kutuambia wapo hao viumbe never tunakufa tunazikwa imepita tunaambiwa roho inasubiri hukumu siku ya mwisho,haiji inapita miaka heyheyeheyehy watu weupe waliona mbali sana kabla yetu na walituweza sana ,all in all naishi tu hapa duniani and i belive thereris no life after death,ukifa na lako basi tena!!!!!!!!!samahani kama nitawakwaza wengine nyie endeleeni kuamini tu.
 
IMANI NI NINI?

Waebrania 11:1 inajibu " Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarijiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana". Ule mstai wa sita pia unasema "Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza , kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao".

Ni kuyasema yasiyokuwako kana kwamba yamekuwa pasipo shaka moyoni (Warumi 4:17),

Ni kutangaza mwisho wa jambo tangu mwanzo wake pasipo hofu kama afanyavyo Mungu (Isaya 46:9-10),
 
Hayo yalipita! huko nyuma Waislamu walijaribu kuweka mbele nchi na dini yao nyuma lakini wenzao Wakristo walitanguliza ukristo kwanza halafu ndio nchi!

Sasa wakati umefika wa kuelezana ukweli kama wenzetu mtakuwa mnatangaza uzalendo majukwaani halafu kwenye baraza la mitihani ukristo mbele, hapo Waislamu hawatakubali na liwalo na liwe!

Huyo sheikh aliyekukaririsha huu uharo hata akitawadha mara mia mbili kwa siku hapati udhu
 
Siogopi na wala sitoogopa...............DINI YA HAKI MBELE YA MWENYEZI MUNGU NI UISLAMU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom