Je Wabunge wapo kwa maslai ya Taifa, wao au wananchi walio wachagua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Wabunge wapo kwa maslai ya Taifa, wao au wananchi walio wachagua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kwamtoro, Oct 30, 2012.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Ndio hamu na shauku yangu na wewe mwanachi na hasa ukiwa mfanyakazi kufahamu bunge la Tanzania linaisimamia serikali au serikali inalisimamia bunge kwa wao kusimama kidete kupinga sheria ya fao la kujitoa irudishwe kwani inakingana na haki za kibinadamu. Au kama Tanzania wameiga mkataba wa ILO ambao kimsingi hawakuridhia basi watuwekee fao la kujikimu pindi mwananchi akiwa hana ajira. Sasa ni muda sahihi wa kupima uwezo wa bunge kiutendeji bila kuweka maslai ya chama pamoja na mafisiiii sadi.
   
Loading...