Kitendo cha professor muhongo kukacha kula hotel alikopangiwa.. Ni mbinu nyingine ya kujilinda..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendo cha professor muhongo kukacha kula hotel alikopangiwa.. Ni mbinu nyingine ya kujilinda..?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sosoliso, Oct 30, 2012.

 1. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Kwenye Gazeti la mwananchi la leo kurasa ya 10 kuna habari inayosema Professor Muhongo alikataa kwenda kula chakula alichoandaliwa kwenye Hotel ya Mount Meru na kwenda kula kwa Mamalishe..

  Habari inasema alipofika karibu na geti la kuingia hapo alibadili uamuzi na kuamuru apelekwe mahali atakapopata chakula cha kitanzania huku akisema haoni sababu ya kula vyakula vya bei mbaya wakati kuna watanzania hawana umeme..! Hata hivyo aliwaruhusu maofisa alioongozana nao waende wakale pale Mount Meru Hotel..

  Inasemekana hata wakati alipokuwa Dodoma Mke wake alimleta mpishi toka Dar kwa ajili ya kuhakikisha Professor Muhongo anapata chakula toka kwenye “mikono salama”..

  Swali kubwa la kujiuliza hapa.. Professor Muhongo anaonekana dhahiri “ana-cover his back”.. dhidi ya asiowafahamu.. Kina nani..? Jee anafahamu nini kuhusu mustakabali wa maisha yake..? Ameshadokezwa chochote kuhusu usalama wa maisha yake..? Serikali yake inahakikisha vipi usalama wake kutokana haya yanayotokea kwenye wizara ya Nishati na Madini..? Maana sio siri Professor Muhongo amejitengenezea maadui wengi ndani ya muda mfupi toka apewe uwaziri na kuyafanya yale ambayo ameyafanya..!

  Nawasilisha..
   
 2. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Haya bana
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Polonium ni hatari muone Dr Mwakyembe hana nyusi wala nywele.
   
 4. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,412
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake!
   
 5. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Tanzania kila kitu kinawezekana...
   
 6. tafakari kali

  tafakari kali JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ccm wanauwana na anajua hilo. Ongere kwake watanzNia tupo nyuma yake.
   
 7. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha.. Kwa hiyo Prof. anachukua tahadhari mapema.. Wasije wakam-polonium..! Ila ni kweli Mkuu.. Maana amekata ulaji wa network ya mafisadis.. Nipo nyuma yake kwa sasa..!
   
 8. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,110
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Kwa msimamo wake kama hajaungwa mkono na CCM ya Kikwete tumtegemee kurudi elimu ya juu (vyuoni) baadaye akiwa amechoka sana....huwa najiuliza kama vile labda angekataa hii kazi? siasa itamshusha sana Profesa huyu na msomi wa ukweli
   
 9. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,296
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  bora amekataa,maana ccm ni noma
   
 10. M

  Mea2 Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  siku hizi hakuna raha ya kuwa kiongozi tz unaishi kwa mashaka mashaka kama konokono
   
 11. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Kutokula kile kilichoandaliwa na TANESCO was a smart move.
  Sekta ya madini na nishati ndiko waliko mafisadi waliokubuhu, kama alivyofanyiziwa Mwakyembe yanaweza kumpata Dr Muhongo.
   
 12. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,544
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Mungu atamlinda na mafisadi wote. Aendelee na moto huo huo wa kuwabana mafisadi hadi watokomee kuzimu
   
 13. M

  MTK JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Duh dont read too much from that single days decision by the good professor!! lakini kutokana na maamuzi yake tangu aingie nishati na Madini; he has definitley stepped on the toes of too many big wigs!! na pia akiwakumbuka kina Mwakyembe, Mwandosya na Ulimboka ana kila sababu ya kuchukua tahadhari kwa usalama wake.
  Prof Muhongo stay vigilant.
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Ni kweli anapambana na mafisadi wenye nguvu ndani na nje ya uwanja acha ajipange kabisa,maji kunywa,chakula....leso,sabuni zake za kuogea hata maji ya kunawa na nguo zake dry cleaners kote kote ajipange sana...mafisadi watu wabaya kabisa.
   
 15. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kweli mkuu,ila huko kwa mama lishe anauhakika gani hawawezi mpata?wakiamua kumnasa hana ujanja atanaswa kama ndege mjanja kwenye 2ndu bovu!
   
 16. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  anabadilisha mama lishe! leo kwa mama amina kesho kwa mama Ciello.....kwa baba lishe Ciello.
   
 17. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hakika Prof,Muhongo anahaki ya kujilinda,tangu ameingia wizara ya Nishati na Madini amefanya mapinduzi makubwa sana,amekata mirija ya mafisadi wakubwa hivyo ajue anawindwa sana na hao mafisadi.
   
 18. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Tahadhari na ninampongeza....
   
 19. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Waliotunga mgao wanaweza kumdhuru. Wanahesabu mabilioni walioyapoteza kwakutokuwepo kwa mgao hewa wa umeme.
   
 20. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa maelezo jana alifanya kama kustukiza vile.. Maana yake hata kama wanamtafuta hawapi muda wa kutengeneza racket.. Ingawa mwisho wa ciku kama ulivyosema.. watampata tu hawa wakimtaka.....
   
Loading...