CCM walikuwa hawaamini kama watachomoka

eltontz

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
886
438
CCM walikuwa hawaamini kama watachomoka kwenye huu uchanguzi , ndo maana wanaona wameshinda wakati wamepoteza baadhi ya kata; Hii ni ishara nzuri kwamba kisaikolojia wana CCM na viongozi wao; washaiona CDM ni tishio ndo maana hata kupata hizi 22 wamefurahi kweli. Kiakili walitegemea wakamatwe zaidi - CDM lets capitalize on this.

Zikichukuliwa jumla ya kura zote za CDM (kata 29) - 2010 & 2012 na CCM halikadhalika na kulinganisha ; ndo tutaona kama kazi iliyofanywa na CMD ni ndogo au kubwa.
 
Back
Top Bottom