Kipigo hiki kwenye udiwani ni funzo kwa siasa nyepesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipigo hiki kwenye udiwani ni funzo kwa siasa nyepesi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mmwaisoba, Oct 29, 2012.

 1. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza tumshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuilinda nchi yetu mpaka sasa ni tulivu tu ingawa kunawanaotaka isitawalike. Pili nachukua nafasi hii kuwapongeza wana CCM kwa kuendelea kuaminiwa na wa Tanzania kuwapa ridhaa ya kuwaongoza. Kwa upande wa Upinzani ushindi wa kimbunga wa CCM KWENYE UDIWANI NI JIBU LA SIASA NYEPESI NYEPESI. KUMEKUWA NA KUJIAMINI KULIKO PITILIZA KUHADAA ETI WANASUBIRI KUKABIDHIWA NCHI MWAKA 2015. NADHANI HAITAKUWA HIVYO KWANI BADO KUNA KAZI KUUBWA.
   
 2. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu amewamulika wahadaaji wa nchi na kuwapa pigo laaibu nadhani hawatarudia. Hii biashara ya kutegemea vyombo vya habari na makongamano hailipi
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,740
  Trophy Points: 280
  Kweli na wewe ni mwepesi hadi brain! Mbona hauja onesha siasa unazo sema nyepesi?
  Nzito ni zile za shyrose na mama simba?
  Uvccm na mwenyekiti wao?
   
 4. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280


  bila shaka utakua ni njaa kali na uliekosa matumaini
  ungekua ni mwenye kujitambua na unaechukia kunyonywa jasho lako usingekua mshabiki kias hiko
  sidhani kama we ni miongoni mwa wale tunaoguswa na hili zindiko la nssf ambalo limepewa baraka na hao unaowapigia upatu
  hebu ziba kibatari ulale ndugu,,
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,740
  Trophy Points: 280
  Hebu jaribu kuonesha wanavyo hadaa!

   
 6. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanadhani siasa ya kukamata dola ni rahisi watatukana tukija ulingoni ni kichapo tuu
   
 7. msombwe

  msombwe Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona wamekuwa wapole, mungu awabariki sana wabaki kuwa wenye amani na utulivu. Amen
   
 8. k

  kiwaya Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna nia njema na nchi km hadi leo unaamini mkombozi wako ni CDM! Kaka jikomboe mwenyewe, wewe utabaki na majungu wenzako wanapiga bao
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mmwaisoba umetumia masaburi au utumbo kufikiri? Yaani nchi inaparaganyika chini ya CCM bado wewe unajipa matumaini? Kweli jina baya ni tatizo. Mwaizoba kweli kweli. Ila ipo siku utauona ukweli. Pole sana mwanangu usiye riziki kiakili.
   
 10. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
  Kutoka kata 26,mpaka 22,ni ushindi wa kishindo? Na kutoka kata 2,mpaka 5,ni kushindwa kwa aibu?
   
 11. k

  kombah Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mimi nashangaa hiyo takwimu yako sioni mantiki kwani hizo kata karibu zote zilikuwa za ccm,mimi nawapongeza chadema maana wamedhubutu kutwaa viti hivyo hongereni chadema mnakuwa kwa kasi mpaka ccm wanawasiwasi
   
Loading...