MJUE Lowasa

peri

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,579
1,164
SIFA ZA LOWASA

Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.

Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.

Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.

Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.

Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.

Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.

Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.
 
Katika chama chao, tuhuma bila kuthibitishwa hazina uzito sana na kuthibitisha suala la rushwa ni vigumu sana
 
Jaribu kudadavua vizuri,mimi nilidhani umeleta profile yake tumjue ikiwa na ni jinsi gani huo ukwasi aliyonayo kaipata.
 
SIFA ZA LOWASA

Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.

Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.

Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.

Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.

Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.

Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.

Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.

Sio mdini.

lowasa_monduli_na_waislamu_p1_560_416_c1.jpg
 
Katika chama chao, tuhuma bila kuthibitishwa hazina uzito sana na kuthibitisha suala la rushwa ni vigumu sana

kiongozi makini hatakiwi hata kutuhumiwa kwa rushwa achiambali kuitoa au kupokea.

Lowasa Hana uthubutu wa kuikemea kwasababu sio msafi.
 
SIFA ZA LOWASA

Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.

Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.

Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.

Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.

Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.

Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.

Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.

nasikia hajuwi kiingereza.
 
inawezekana, ila tujiulize, je hiyo sio njia ya kutafuta uungwajh mkono ktk kulifikia lengo?

Hata kama ni kweli, akiwa rais atakuwa wa wote. Na yakupasa kujua kuwa, hakuna mtu atakayeweza kuwa rais kwa kupata kura za waislamu tu au wakristo tu. Ni wote ndo tutakaomchagua rais wetu. Kwahiyo mimi sioni kama EL anafanya vibaya
 
Kila jaamii huongozwa na yule ambae yuko best kwa yale ambayo jamii husika huyafanya...

jamii ya waadilifu huongozwa na muadilifu kuliko wote

jamii ya wezi huongozwa na mwizi kuliko wote

jamaa ya majambazi na watoa rushwa..huongozwa na the best among them.....
 
Tufikilie kupata kiongozi nje ya CCM, kwani CCM na Rushwa ni damudamu. Niambieni nani aliye CCM hana mawaa ya rushwa.
 
Sio mdini.

lowasa_monduli_na_waislamu_p1_560_416_c1.jpg
Kwa nini usione kwamba anajua udhaifu wa waislam na kwa kuwa anataka kura zao, anajua pa kuwaingia ni kuvaa kanzu tu ili wakuone si mdini? Kanzu ni vazi la kiislam? Hujui kwenye kampeni mtu anajitahidi kubuni mbinu za kuvutia jamii zote ili aonekane anajali? Kukusanyika na wanaoonekana ni waislam na kuvaa kanzu si kigezo cha kutokuwa mdini. Zaidi ni mkakati wa kutimiza malengo yake yanayohitaji supports za watu wa jamii mbali mbali. LAKIN YOTE HAYO HAYAFUTI TABIA ZAKE ZA WAZI ZA U-RUSHWA, UFISADI,TAMAA YA URAISI NA UBINAFSI. Angekuwa na uchungu na TZ tungeona wakati amerabishwa uwaziri-mkuu. HAKUNA LOLOTE LA MAANA ALOLIFANYA ZAIDI YA KUSHIRIKIANA NA JK KUFANIKISHA MIKAKATI YA KIFISADI.
 
SIFA ZA LOWASA

Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.

Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.

Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.

Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.

Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.

Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.

Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.

Anamkosesha usingizi Tajiri yako Bernard membe kwenye mbio za urais
 
Kwa nini usione kwamba anajua udhaifu wa waislam na kwa kuwa anataka kura zao, anajua pa kuwaingia ni kuvaa kanzu tu ili wakuone si mdini? Kanzu ni vazi la kiislam? Hujui kwenye kampeni mtu anajitahidi kubuni mbinu za kuvutia jamii zote ili aonekane anajali? Kukusanyika na wanaoonekana ni waislam na kuvaa kanzu si kigezo cha kutokuwa mdini. Zaidi ni mkakati wa kutimiza malengo yake yanayohitaji supports za watu wa jamii mbali mbali. LAKIN YOTE HAYO HAYAFUTI TABIA ZAKE ZA WAZI ZA U-RUSHWA, UFISADI,TAMAA YA URAISI NA UBINAFSI. Angekuwa na uchungu na TZ tungeona wakati amerabishwa uwaziri-mkuu. HAKUNA LOLOTE LA MAANA ALOLIFANYA ZAIDI YA KUSHIRIKIANA NA JK KUFANIKISHA MIKAKATI YA KIFISADI.

Sawa. Ni mawazo yako!
 
Ingependeza kama ungeleta open topic watu wakupe data ili umjue lowasa. ulichokifanya ni kuweka hisia zako kwa kuja na hewa hapa. Acha majungu njoo na data, huna toa huu ukakasi. Ndani ya ccm ni lowasa wa kusaidia, simaanishi mwenye uwezo pekee bali mwenye uwezo wa kupenya na kutusaidia kwa mazingira ya sasa ya ccm if at al ccm takes over again. the truth. Say yes to EL
 
Mbali na utajiri wa kurithi kwa taarifa yako pesa nyingi kaipata kwenye uuzaji wa tanzanite,hizo za kuhusishwa na ufisadi ni kidogo sana,hamna kama yeye ndani ya c.c.m nzima
Hana ujasiri wa kueleza chanzo cha utajiri wake....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom