1826 days left


muonamambo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
771
Likes
51
Points
45

muonamambo

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
771 51 45
Zimebaki siku 1826 tu ili tupate uhuru. Ni siku hiyo Tanzania mpya itazaliwa .siku hiyo mito maziwa na rasilamali za nchi zitashukuru kwamba hazinyonywi tena.siku hiyo utawala chaguo la watu wakielekezwa na Mungu wao utakuwa madarakani tayari kuileta Tz yenye neema. siku hiyo inahitaji maandalizi nami nimeanza sasa.tujiunge pamoja kusoma mapungufu yalotokea sasa ili baada ya siku 1826 tushereheke kwa pamoja.wao wana pesa sisi tuna Mungu
 

Forum statistics

Threads 1,204,895
Members 457,584
Posts 28,174,924