Tuzungumzie maendeleo ya nchi na watu wake na sio ushindani wa kisiasa.


M

moonred

Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
5
Likes
0
Points
0
M

moonred

Member
Joined Nov 19, 2012
5 0 0
Hivi sasa karibu kila chombo cha habari yaani magazeti,radio,television,mitandao ya kijamii n.k inazungumzia malumbano ya kisiasa ama baina ya vyama au makundi ya urais 2015 n.k kila kukicha vichwa vya habari ni malumbano tu.jamani hebu tubadilike.turipoti mambo ya maendeleo,kuhamasisha wananchi kushiriki katika mambo mbalimbali yanayohusu mustakbali wao na ya watoto wao,kutoa tahadhari ili kuepukana na magonjwa hatari kama ukimwi,malaria,kutoharibu mazingira n.k. Kama mambo ya kushika dola basi tusuburi 2015.nchi inateketea.kwa kutambua hali hii ndiyo maana hata majirani zetu wanatumia mwanya huu kutaka kutuangamiza.mfano mgogoro wa mpaka na malawi.wao wamegundua kuwa nchi yetu ni malumbano na kukashifiana tu.naomba tubadilike.
 
LUCAS KISIMIR

LUCAS KISIMIR

Member
Joined
Sep 11, 2012
Messages
29
Likes
0
Points
0
LUCAS KISIMIR

LUCAS KISIMIR

Member
Joined Sep 11, 2012
29 0 0
Naheshimu sana wazo hili. WaTanzania tusipgawe na siasa za CHADEMA kutaka kushika madaraka ya nchi hii. Tujadiliane masuala ya kujenga nchi yetu kwa kuwa Mungu ni mwaminifu ha
tatuacha tuangamizwe na CHADEMA.
 
M

mwinukai

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
1,448
Likes
45
Points
145
Age
35
M

mwinukai

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
1,448 45 145
Utawezezaje kujadili kufika mbinguni ama kuacha dhambi bila kumtaja Mungu na Shetani ?
 
L

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
1,754
Likes
822
Points
280
L

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2012
1,754 822 280
mtoa mada nakushukuru saana kwangu mimi wewe ni miongoni mwa ma-great thinker. nimewafuatilia saana wanasiasa wetu, nashawishika saana kuwasifia , mh LOWASSA NA MH ZITO mara nyingi watu hawa nimefuatilia saana mazungumzo yao juu ya taifa letu, daima hawako ktk malumbano, wanazungumzia taifa letu linamatatizo gani? nini kifanyike ili tuweze kufanikiwa, lkn baadhi ya watu wamekaa kusikiliza leo huyu atasema nini? nimpinge vipi? MWL NYERERE anasema kuwa yeye alitawala nchi hii kwa miaka 27, kuna mazuri na mabaya aliyoyafanya tatizo sasa watu hawaendelezi yale mazuri wamekalia kushutumu tuu .miaka inakwenda. tubadilike tujenge taifa.
 

Forum statistics

Threads 1,251,186
Members 481,615
Posts 29,761,628