HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PPM, Nov 11, 2010.

 1. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Anna Makinda amechaguliwa kwa Kura 221
  Anna Abdala 14
  Kate Kamba 15
   
 2. MashaJF

  MashaJF JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama ndio hivyo inaonekana mpango fulani utatimia...manake nahisi alisimia kubwa ya hawa waliofanya maamuzi haya ni wapiga kura wa kuteua jina moja la kusonga mbele na wapiga kura ya uspika, usisahau na asilimia kubwa ya wabunge wa kuteuliwa ni vibaraka wao!!!
   
 3. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  haya bwana
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wacha aje akalie kiti moto cha uspika ila asije anza lia lia
   
 5. d

  drgeorge Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna marefu yasiyo na ncha, uwezo wa anna makinda tunaujua, haiba yake tunaijua kwa hiyo hakuna jipya, uwezo wake hautishi. hata hivyo hatujui mchakato wenyewe ulivyokwenda huko ndani na ccm imegawanyika vipande vipande, si haba Mabere Marando akaibuka kidedea uspika.

  haya yote tisa kumi, wewe na mimi tuna wajibu wa kufanya kwa ajili ya Tanzania ya kesho. kwa sasa elimu ya uraia zaidi. Mpaka watoto wachanga waelezwe ubaya wa mafisadi.
   
 6. R

  Rwechu Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13  Wewe mwongo kwenye CC wajumbe wako 30 tu wewe hao 250 umewato awapi?

  Shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  kumbe ndio zao?!!

  ndo wameamua kumpa huyo sio?
   
 8. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Angalia akili zako zinazokutuma, haujui hata kinachoendelea nchi hii leo, CC iliisha jana hiyo ni kura za wabunge wa ccm zilizofanyika leo DOM
   
 9. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Punguza hasira,wewe ulitakiwa uhoji source ya information yake.
  Ila nijuavyo leo wabunge wote wa CCM walikaa kuchagua jina moja kati ya matatu la kugombea Uspika.
   
 10. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu mama hafai kiduchu. Shame. Kwanza hua anakandamiza Upinzani bila point yamaana. She is rude and not even a woman anyway... so the record of never having had a woman still stands..lol
   
 11. R

  Rwechu Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Do samahani PPM nilidhani unaongelea majibu ya jana, ila heading yako ingesomeka "Anna makinda ashinda uteuzi wa uspika kupitia chama cha mapinduzi. but sorry
   
 12. kauzu

  kauzu Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Taarifa kutoka tbc inasema ameshinda kwa kura 200+ kuwania uspika wa bunge akifuatiwa na KATE KAMBA
   
 13. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  haya yote tisa kumi, wewe na mimi tuna wajibu wa kufanya kwa ajili ya Tanzania ya kesho. kwa sasa elimu ya uraia zaidi. Mpaka watoto wachanga waelezwe ubaya wa mafisadi.

  Dr George it's true ni kweli tuangalie kesho na kutoa elimu ya uraia ili ifikapo 2015 nchi iongozwe na watu wenye nia njema. Leo hii ukiwatajia watoto wangu CCM wanasikia kichefuchefu. Hiki Chama kitakufa na kitasahauliwa milele
   
 14. r

  rmb JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani hakuna cha kushangaa hapo lazima ingekuwa hivyo tu!
   
 15. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Kila mtu alijua kwamba yeye ndo atapendekezwa na CCM
   
 16. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  ahsante tumewasikia! hoja nyingine?
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mchezo uliisha chezwa zamani; hii nyingine ilikuwa danganya toto tu!!
   
 18. h

  hebronipyana JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  pole mama,kazi unayo,mimi nao na un apwaya.
   
 19. M

  Msharika JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  huyu mama ni dikteta sana na atashindwa.
   
 20. J

  Jafar JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  tusubiri mpambano wa kweli
   
Loading...