Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,502
- 38,353
Wakuu leo wakati napitia nakala ya gazeti la Mwananchi nimekumbana na habari na picha ya askari wetu wa JWTZ wakiwa katika mazaoezi makali "Ongeza Nguvu" yaliyofunguliwa na mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Said Mwambungu katika viwanja vya jeshi Chabruma brigedi ya Tembo.
Nimejiuliza maswali kadhaa kwanini Ruvuma na si Arusha au Pwani !.Mkoa wa Ruvuma unapakana na nchi ya Malawi ambayo tuna mgogoro wa mpaka wa ziwa Nyasa.Je Dada Joyce Banda kaonyesha jeuri ya kukataa diplomasia ichukue mkondo wake ?.
Kama hali ya mpaka wetu na Malawi si nzuri kwanini tunapeleka askari wetu Congo,huku si kutapanya nguru na rasilimali zetu wakati nchi yetu inakabiliwa na kitisho cha Malawi ?.
Naomba kuwasilisha.