Mwandosya anatutia hasara ya mamilioni kwa mwezi

Mwandosya anatutia hasara ya mamilioni kwa mwezi

arigold

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
600
Reaction score
341
Mwark Mwandosya. Hali yake ki afya dhaifu
lakini pension yake iko kwa nini asi resign, ili apishe vijana wenye afya kufanya kazi?

Kwa nafasi yake kama waziri ambaye hana kazi inabidi alipiwe:

Nyumba
Ulinzi
Mkewe
wanae
Nyumba
Bills
Hoteli
Pesa za usumbufu
Matibabu
Usafiri
Dereva
Usafiri wa FIRST CLASS akipanda ndege
Simu
madereva

Namshauri JK futa cheo chake huyu mzee, mpeni pensheni yake na PSPF yake kisha wananchi wapumzishwe.

Sioni sababu ya kumgharamia mtu ambaye muda wote yuko Apollo Hospital, India

wenye kujua mwongozo wa Utumishi watueleze hii kweli ni haki waziri kugharamiwa almsot mwaka mzima?

Katiba mpya iweke wazi mambo haya.

Hali halisi ya wodi za hospitali zetu ni hiii:

306681_10151063016359743_1581996414_n.jpg
 
Mwark Mwandosya. Hali yake ki afya dhaifu
lakini pension yake iko kwa nini asi resign, ili apishe vijana wenye afya kufanya kazi?

Kwa nafasi yake kama waziri ambaye hana kazi inabidi alipiwe:

Nyumba
Ulinzi
Mkewe
wanae
Nyumba
Bills
Matibabu
Usafiri
Dereva
Usafiri wa FIRST CLASS akipanda ndege
Simu
madereva

Namshauri JK futa cheo chake huyu mzee, mpeni pensheni yake na PSPF yake kisha wananchi wapumzishwe.

Sioni sababu ya kumgharamia mtu ambaye muda wote yuko Apollo Hospital, India

wenye kujua mwongozo wa Utumishi watueleze hii kweli ni haki waziri kugharamiwa almsot mwaka mzima?

Katiba mpya iweke wazi mambo haya.

Mkuu ukifa wewe na nduguzo wote itakuwa afadhali zaidi maana taifa halita taabika kuwasomesha nduguzo na kutunza midomo tegemezi kama yako.

Mimi nikutakie RIP kwaunafuu kwa Taifa, au vipi?
 
Ilo nalo neno, subiri ujibiwe na serikari sikivu ya CCM....

V
SENGEREMA
 
Maslahi anayoyapata Mwandosya hayatetereshi uchumi wa nchi, leta ishu za kushambulia ufisadi mwache mzee wa watu apumzike
 
Kaka mbona mjiuzuru hayuko madarakani na baado anaendelea kula hurua si afadhali hata huyo aliyeko kwenye ajira,kumbuka hata huko Apollo baada anafanya kazi,mwacheni Prof. bana,kuna mawaziri wengi pamoja na kuwa ni wazima hawana kazi wala tija kwa manufaa yetu,kwa mfano waziri anayesimamia ''mifuko'' anafaida gani?wengine ndio hao wanosema kama tuna ushahidi na fedha za Uswizi tuwapelekee ushahidi kwenye viyoyozi vyao huko Magogoni
 
Mkuu wa nchi asiye na uchungu na nchi yake ni janga la kitaifa.

Dawa pekee ni katiba mpya.
 
Kila mtu ana umuhimu wake katika jamii,ikumbukwe kuwa pesa anayolipwa Prof.hailingani na thamani ya utu na heshima alionayo.
 
Kila mtu ana umuhimu wake katika jamii,ikumbukwe kuwa pesa anayolipwa Prof.hailingani na thamani ya utu na heshima alionayo.

Kama raia wengine wa nchiin hii wasio na kipato wanakufaa kwa magonjwa kutokana na huduma mbovu za afya hapa nchini.Kwanini nao kama viongozi tena wenye kipato wasijitegemee kwa matibabu?

Tatizo letu tunaona uhai wa kiongozi una thamani kuliko wa mlala hoi.

Bila uwepo wa wananchi wa kawaida hawa vingozi wangekuwepo kwa ajili ya nani?
 
Mchango wa mtoa mada nimeupenda maana ameutoa live bila chenga (hii ndio inatakiwa kutoa kile kilichoko moyoni though kipo tofauti na wengi), mie observation yangu kwenye hizo posho za mke, watoto n.k hivi zipo zote kwa mawaziri. Anyway, ila kwa upande wa afya ya Mwandosya kiukweli naweza kusema kwamba kama mwanadamu kwanza tuna imani anaweza kurudi katika afya yake pia huenda mchango wake ni mkubwa katika serikali hivyo mwenye nchi ameona awe nae karibu kama serikali (EXECUTIVE) ili juhudi za kumpa kazi nyingine zikiendelea
 
.... sababu ya kumgharamia mtu ambaye muda wote yuko Apollo Hospital, India

wenye kujua mwongozo wa Utumishi watueleze hii kweli ni haki waziri kugharamiwa almsot mwaka mzima?

Katiba mpya iweke wazi mambo haya.

Acha uvivu kwa nini usisome na hatimae utuletee sheria ya utumishi inasemaje? wewe siyo daktari lakini unaonekana unauhakika na unauthibitishia umma kuwa prof hawezi pona!!!! kimsingi wewe mkeo akipata maradhi utamrudisha kwao kwa kuwa hawezi tena ama kwa maana ya akatibiwe kwao? na mtu akiumia kazini ama kupata maradhi akiwa ofisini nini wajibu wa mwajiri wake? lakini sheria inasema mtumishi akiugua mfululizo kwa miezi sita na akathibitishwa na daktari basi mwajiri atamsiaafisha kazi kwa ugonjwa? ingawa kwa hali halisi sheria hii ni kali na si fair kwani ni sawa na kusema serikali imeona wewe ni wa kufa tu then inakuachia ili "rest in peace"
 
arigold Tatizo lako unaonekana ni mvivu wa kufikiri, upende usipende Prof. Mwandosya ni muhimu sana kwenye nchi hii kuliko unavyofikiri wewe na hivyo vimilioni unavyovisema ni vidogo sana kuliko anavyolipwa huko Marekani kwa utaalamu wake tu.

Ndugu yangu nchi hii haiendeshwi kama unavyofikiri wewe, kuna watu wenye akili na hekima zao wanaotoa ushauri kipi kifanyike. Kama hujui umuhimu wa Prof. Mwandosya subiri Mwezi Mei, 2015 utajua.

Edward Lowasa alimpa sumu ili kumuua au kumpunguza kasi ya 2015 sasa ataona mwenyewe. Mtu mwenye hekima huwa halipizi kisasi kwa maovu anayotendewa.
 
Last edited by a moderator:
kimsingi wewe mkeo akipata maradhi utamrudisha kwao kwa kuwa hawezi tena ama kwa maana ya akatibiwe kwao?
Hapana, mkeo akipata maradhi huwezi kumrudisha akatibiwe kwao. Lakini vile vile huwezi kwenda kuchumbia mwanamke mgonjwa, ukamuoa halafu ukampeleka kwenu atibiwe na ndugu zako, mtibu mwenyewe.

Kikwete alijua Mwandosya anaumwa kabla hajamteua Waziri, na kuumwa kwake alijua anatibiwa na gharama ya Wananchi, ndio maana alimpa Waziri asiye na wizara maalum.

Yani hao wanawake waliojazana kwenye hospitali hapo ambapo hata pa kulala hakuna, hela yao ndio inachangishwa wanaenda kutibiwa kina Mwandosya. Hivi hawana huruma hawa watu? Hawaoni aibu hawa kina hawa Mwandosya?
 
Hapana, mkeo akipata maradhi huwezi kumrudisha akatibiwe kwao. Lakini vile vile huwezi kwenda kuchumbia mwanamke mgonjwa, ukamuoa halafu ukampeleka kwenu atibiwe na ndugu zako, mtibu mwenyewe Kikwete alijua Mwandosya anaumwa kabla hajamteua Waziri, na kuumwa kwake alijua anatibiwa na gharama ya Wananchi, ndio maana alimpa Waziri asiye na wizara maalum.

Yani hao wanawake waliojazana kwenye hospitali hapo ambapo hata pa kulala hakuna, hela yao ndio inachangishwa wanaenda kutibiwa kina Mwandosya. Hivi hawana huruma hawa watu? Hawaoni aibu hawa kina hawa Mwandosya?

Ebu jikumbushe kwanza hapa.
Education (Prof. Mark James Mwandosya)

  • University of Birmingham - UK PhD (Electrical & Electronics Eng.) 1974 - 1977

  • Aston University - UK BSc. (Engineering) Hons. 1971 - 1974

  • Dar es Salaam Technical College A-Level Education 1969

  • Malangali Secondary School O-Level Education 1965 - 1968

  • Chunya Middle School Primary Education 1961 - 1964

  • White Fathers Chunya Primary School 1959 - 1960

  • Majengo Pri 1957 - 1958[SUP][1][/SUP]
Angalia kwenye bluu
Umuhimu wa mtu ni akili kwanza. Wewe katika maisha yako umewahi wasikia watu wangapi ambao baada ya kumaliza elimu yao ya shahada akaunganisha kusomea Phd bila kupitia PG au Masters. Hapa ndipo utakapoona umuhimu wa huyu Prof. Mwandosya tofauti na wengine.
 
Acha uvivu kwa nini usisome na hatimae utuletee sheria ya utumishi inasemaje? wewe siyo daktari lakini unaonekana unauhakika na unauthibitishia umma kuwa prof hawezi pona!!!! kimsingi wewe mkeo akipata maradhi utamrudisha kwao kwa kuwa hawezi tena ama kwa maana ya akatibiwe kwao? na mtu akiumia kazini ama kupata maradhi akiwa ofisini nini wajibu wa mwajiri wake? lakini sheria inasema mtumishi akiugua mfululizo kwa miezi sita na akathibitishwa na daktari basi mwajiri atamsiaafisha kazi kwa ugonjwa? ingawa kwa hali halisi sheria hii ni kali na si fair kwani ni sawa na kusema serikali imeona wewe ni wa kufa tu then inakuachia ili "rest in peace"
Okey, unaweza kuorodhesha kazi anayoifanya tangu ateuliwe kuwa waziri asiye na wizara maalum?!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama raia wengine wa nchiin hii wasio na kipato wanakufaa kwa magonjwa kutokana na huduma mbovu za afya hapa nchini.Kwanini nao kama viongozi tena wenye kipato wasijitegemee kwa matibabu?

Tatizo letu tunaona uhai wa kiongozi una thamani kuliko wa mlala hoi.

Bila uwepo wa wananchi wa kawaida hawa vingozi wangekuwepo kwa ajili ya nani?

Umeonaeeh!ukweli lzm usemwe
 
Back
Top Bottom