• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kwanini baba wa taifa hakuwahi kumpa kinana uongozi wa chama??

Mzalendo2015

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Messages
4,601
Points
2,000
Mzalendo2015

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2012
4,601 2,000
Baada ya uteuzi wa Sekretariati mpya ya Chama Twawala-CCM na Kinana kuibuka kama Katibu Mkuu mpya wa CCM kwa mara ya kwanza watu wamesifia sana uteuzi huo kutoka kila kona ya nchi hii hasa wanachama wa Chama Cha Mafisadi-CCM.

Mimi nataka tu niwakumbushe hawa wanachama wachovu wa CCM kwamba Kinana alikuwepo tangu enzi za Baba wa Taifa lakini hakuwahi kupewa wadhifa wowote ndani ya TANU wala CCM. Hapa ndipo mahali pakuanzia kutafakari uteuzi huu wa Kinana. Abdurhaman Kinana alikuwa mwanajeshi wa cheo cha Kanali mpaka alipostahafu mwaka 1972 baada ya kuitumikia JWTZ kwa miaka 20 tu. Baada ya hapo hakusikika tena kwenye medani za siasa wala za Jeshi. Sikumbuki hata kamaalishiriki vita vya Nduli Iddi Amini miaka ya 1978/79 sina hakika!!!

Bila shaka Mwalimu(Baba) wa Taifa hili alikuwa akimjua Kinana vizuri sana kuanzia URAIA wake,UZALENDO wake kwa Tanzania na WELEDI wake katika siasa za Tanzania. Nina hakika Mwalimu alikuwa anajua vizuri sana kuhusu URAIA wa Kinana ambaye hapana shaka huyu jamaa ana ASILI ya SOMALIA. Hili mwalimu alilijua na ndiyo maana hakuwahi kumpa nafasi yoyote kubwa katika nyanja za kisiasa maana KINANA'S CITIZENSHIP IS QUESITIONABLE!!!!

Sasa napenda kuwauliza Wana CCM na mwenyekiti wao Kikwete huyu Kinana amepata wapi uzalendo wa kuwa Katibu Mkuu wa Chama chenu cha Mafisadi???Je, wanaweza kututhibitishia pasipo shaka kuwa Kinana ni Raia halisi wa Tanzania? Je, katika vita vya kumwoa Nduli Idd Amini, huyu Kinana alikuwa wapi maana hata kama alistahafu Jeshi mwaka 1972 nijuavyo sheria za Jeshi mahali popote duniani vita vikiripuka hata wanajeshi waliostahafu huitwa kuungana na wenzao ili kuitetea nchi yao. Now CCM tell us Kinana's role in the Tanzania/Uganda war!

Nje ya hapo Kinana hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chama chenu cha Mafusadi maana hana Uzalendo wa nji hii.

Nawasilisha.
 
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Messages
2,798
Points
2,000
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2008
2,798 2,000
Acha uongo wewe. Kinana hakustaafu jeshi mwaka 1972 kwani hakujiunga mwaka 1952.
 
Mzalendo2015

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Messages
4,601
Points
2,000
Mzalendo2015

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2012
4,601 2,000
Acha uongo wewe. Kinana hakustaafu jeshi mwaka 1972 kwa hakujiunga mwaka 1952.
''...........Si hilo tu, wapinzani wanapaswa kutambua kwamba, historia yake ya uaskari alioutumikia miaka 20 hadi mwaka 1972 akifikia cheo halisi cha jeshi cha Kanali ikimhusisha na mafunzo mahususi ya kimkakati ni sehemu ya mambo ambayo yanatawala nidhamu ya kazi ya aina ya kipekee iliyomfanya Kinana akawa jemedari wa mapambano ya CCM tangu mwaka 1995 hadi leo............''

Hii ni nikuu kutoka maneno ya Absolom Kibanda kwenye uzi huu wa JF wenye kichwa cha habari: Absolom Kibanda: Namuogopa Abdurhaman Kinana!!!

Sasa wewe mheshimiwa ianonekana kwa vile Kibanda kamsifia Kinana pamoja nakutaja miaka hiyo hiyo ya Kinana Jeshini hukusema muongo. Mimi niliyesema ukweli kuhusu Kinana unaniona muongo!!!!You must be sick in your head!
 
K

Kanundu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
891
Points
0
K

Kanundu

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
891 0
Kwa Wana - MAGAMBA huyo jamaa eti ndiyo MSAFI kuliko wote. Sijui hao wachafu wakoje!!!!!!!
 
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Messages
2,798
Points
2,000
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2008
2,798 2,000
Uongp wako ni muda uliyotaja kwamba alistaafu jeshi mwaka 1972 iliyoomaanisha kuwa alijiunga mwaka 1952. Kama umekopi na kupesti kutoka kwa Kibanda hapo ndo ulipokosea kwa sababu ulipaswa kujiridhisha usahihi wa figure. Pia uongo wako unajidhihirisha kwa kushindwa kutambua kuwa Kinana alijiunga na jeshi zama za Mwalimu na hadi akafikia cheo alichostaafia, inadhihirisha imani ya Mwalimu kwake pamoja na uzalendo wake. Pia kumbuka kuwa, ni imani aliyokuwa nayo Mwl kwa Kinana, ndiyo iliyosababisha apewe jukumu la kumnadi Mkapa ambaye alikuwa ni chaguo la Nyerere.

Ili ufanikiwe, nakushauri uende vyuoni ambako kutokana na kulemaa na madesa, wanaweza wakaiamini hoja yakp.
 
makoye2009

makoye2009

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Messages
2,642
Points
2,000
makoye2009

makoye2009

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2009
2,642 2,000
Baada ya uteuzi wa Sekretariati mpya ya Chama Twawala-CCM na Kinana kuibuka kama Katibu Mkuu mpya wa CCM kwa mara ya kwanza watu wamesifia sana uteuzi huo kutoka kila kona ya nchi hii hasa wanachama wa Chama Cha Mafisadi-CCM.

Mimi nataka tu niwakumbushe hawa wanachama wachovu wa CCM kwamba Kinana alikuwepo tangu enzi za Baba wa Taifa lakini hakuwahi kupewa wadhifa wowote ndani ya TANU wala CCM. Hapa ndipo mahali pakuanzia kutafakari uteuzi huu wa Kinana. Abdurhaman Kinana alikuwa mwanajeshi wa cheo cha Kanali mpaka alipostahafu mwaka 1972 baada ya kuitumikia JWTZ kwa miaka 20 tu. Baada ya hapo hakusikika tena kwenye medani za siasa wala za Jeshi. Sikumbuki hata kamaalishiriki vita vya Nduli Iddi Amini miaka ya 1978/79 sina hakika!!!

Bila shaka Mwalimu(Baba) wa Taifa hili alikuwa akimjua Kinana vizuri sana kuanzia URAIA wake,UZALENDO wake kwa Tanzania na WELEDI wake katika siasa za Tanzania. Nina hakika Mwalimu alikuwa anajua vizuri sana kuhusu URAIA wa Kinana ambaye hapana shaka huyu jamaa ana ASILI ya SOMALIA. Hili mwalimu alilijua na ndiyo maana hakuwahi kumpa nafasi yoyote kubwa katika nyanja za kisiasa maana KINANA'S CITIZENSHIP IS QUESITIONABLE!!!!

Sasa napenda kuwauliza Wana CCM na mwenyekiti wao Kikwete huyu Kinana amepata wapi uzalendo wa kuwa Katibu Mkuu wa Chama chenu cha Mafisadi???Je, wanaweza kututhibitishia pasipo shaka kuwa Kinana ni Raia halisi wa Tanzania? Je, katika vita vya kumwoa Nduli Idd Amini, huyu Kinana alikuwa wapi maana hata kama alistahafu Jeshi mwaka 1972 nijuavyo sheria za Jeshi mahali popote duniani vita vikiripuka hata wanajeshi waliostahafu huitwa kuungana na wenzao ili kuitetea nchi yao. Now CCM tell us Kinana's role in the Tanzania/Uganda war!

Nje ya hapo Kinana hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chama chenu cha Mafusadi maana hana Uzalendo wa nji hii.

Nawasilisha.
Mzalendo2015,

Naunga mkono hoja. Hapo kwenye nyekundu hapo ndipo kwenye matatizo!
Tunataka CCM na Serikali yao wawathibitishie Watanzania kama kweli Kinana-Katibu Mkuu wa CCM ni Mtanzania au ni Msomali!
 
Mzalendo2015

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Messages
4,601
Points
2,000
Mzalendo2015

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2012
4,601 2,000
Uongp wako ni muda uliyotaja kwamba alistaafu jeshi mwaka 1972 iliyoomaanisha kuwa alijiunga mwaka 1952. Kama umekopi na kupesti kutoka kwa Kibanda hapo ndo ulipokosea kwa sababu ulipaswa kujiridhisha usahihi wa figure. Pia uongo wako unajidhihirisha kwa kushindwa kutambua kuwa Kinana alijiunga na jeshi zama za Mwalimu na hadi akafikia cheo alichostaafia, inadhihirisha imani ya Mwalimu kwake pamoja na uzalendo wake. Pia kumbuka kuwa, ni imani aliyokuwa nayo Mwl kwa Kinana, ndiyo iliyosababisha apewe jukumu la kumnadi Mkapa ambaye alikuwa ni chaguo la Nyerere.

Ili ufanikiwe, nakushauri uende vyuoni ambako kutokana na kulemaa na madesa, wanaweza wakaiamini hoja yakp.
ChiefmTZ

Wewe inaonyesha tu ni walewale wenye mawazo mgando!

Achilia issue ya copy/paste,ninachotaka kusema ni kwamba mbona Kibanda hukumwambia muongo kwa kauli ileile? Nashangaa unakomaa na hiyo miaka ya kujiunga na kustahafu kwa Kinana Jeshini. Kuna ajabu gani kama alijiunga mwaka 1952 na akastahafu mwaka 1972??? Hoja yako kuwa Mwalimu alikuwa na imani na Kinana ni dhaifu na haina mashiko. Kujiunga na Jeshi hakuhitaji kuteuliwa na Rais labda unapokwenda kuwa Meja Jenerali au Brigadier. Kinana kaishia Ukanali tu. Kuwa Meneja wa Kampeni za Mkapa si kielelezo tosha kwa Mwalimu kuwa na Imani na Kinana! Anybody can be a campaign Manager maana ni kazi ya muda tu.Kama umenielewa hoja yangu ni kwanini Nyerere hakuwahi kumteua Kinana kushika Ukatibu Mkuu wa TANU/CCM au basi hata huo Umeja Jenerali/Brigadie alipokuwa Jeshini wakti wa Mwalimu???? Get my point.

Wana habari wana msemo,''NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK''. Sasa wewe kama unahakika na Umri wa Kinana, kwa maana ya Mwaka aliozaliwa, Shule/vyuo alivyosoma na Mwaka alioingia Jeshini tuwekee hapa kwenye mtandao. Usitake tu kubishana kwasababu unataka kubisha. Just bring the evidences to close the argument!!!

Kubwabwaja tu maneno kama Kasuku aliyekariri hakusaidii.
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,932
Points
1,500
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,932 1,500
Kwani wakati wa nyerere watu wote waliajiriwa?kwa hiyo ni peke yake ndio hakuajiriwa?acha kujivisha upofu hali unaona
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,932
Points
1,500
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,932 1,500
Mzalendo2015,

Naunga mkono hoja. Hapo kwenye nyekundu hapo ndipo kwenye matatizo!
Tunataka CCM na Serikali yao wawathibitishie Watanzania kama kweli Kinana-Katibu Mkuu wa CCM ni Mtanzania au ni Msomali!
hakuna ubaguzi ndani ya ccm,awe mhindi,mchina mwarabu kinachopimwa ni uzalendo wake.katka ccm hawaangalii uchaga wala ukatoliki wala ukanda anaotoka mtu
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,932
Points
1,500
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,932 1,500
Wakati anaacha jeshi alikuwa na malengo yake so tuanzie hapa akiwa katibu mkuu,tuna imani ataisambaratisha kambi ya upinzani hapa nchini
 
Jackbauer

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
5,918
Points
1,225
Jackbauer

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
5,918 1,225
Pia uongo wako unajidhihirisha kwa kushindwa kutambua kuwa Kinana alijiunga na jeshi zama za Mwalimu na hadi akafikia cheo alichostaafia, inadhihirisha imani ya Mwalimu kwake pamoja na uzalendo wake. Pia kumbuka kuwa, ni imani aliyokuwa nayo Mwl kwa Kinana, ndiyo iliyosababisha apewe jukumu la kumnadi Mkapa ambaye alikuwa ni chaguo la Nyerere.
hebu jibu hoja acha kujidai mjuaji.
Kwa nini Mwalimu hakumuamini Kinana kiasi cha kumpa nafasi kama aliyonayo leo hii?
 
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
1,488
Points
2,000
brasy coco

brasy coco

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
1,488 2,000
me naona unajadili ujinga tu, sasa Uraia wa kinana na CCM wapi na wapi bwana, Kinana ni Raia wa Tanzania na hata kama asingekuwa Raia wa Tanzani basi asingeweza kuwa katika Jeshi la Tanzania na hata kama angezaliwa Somalia akaja kuishi Tanzania na kupata Uraia wa TZ hakuna ubaya kuwa kiongozi, sio kwa sababu hakuchaguliwa na Nyerere basi ndo awe hafai sasa si muda wake hujafika kwani wangapi Nyerere hajawachagua na leo viongozi?? Kwan lazima kiongozi achaguliwe na nyerere?? Yeye Nyerere kwani Nchi ya baba yake au ya kwake??? Hii Nchi ya Watanzania bwana na wala haiitwi Nchi ya Wananyerere kwa hiyo stop kutpa fikra mgando, na Uteuzi wa Chama chochote cha siasa watajua wenyewe kama wewe Chadema ya CCM ya nini??? Acheni kuzingua bwana me sioni Tatizo la Kinana mwacheni mwaka wake Nyota imeng'aa acha ale Bata.
Kila mtu na msimu wake, yuko wapi Mrema mbona aliwika sana kipindi cha Mkapa na upinzani mkubwa lakn sasa hivi hana upinzani, so mambo yanabadilika hata Chadema sasa hivi ndo chama chenye Upinzani sana lakin baadae kitakuja chama kingine wala usijal ni mabadiliko tu. tulia kama moja
 
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,834
Points
2,000
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,834 2,000
Kwa ufupi CCM hata Osama angekuwa hai na wakimwona anawafaa wangemteua ktk sekretarieti yao. Sio tu kwamba wako desprate mno kubaki madarakani lakini pia ni jinsi wasivyo na morals & national ethos.

Mara ngapi kwenye chaguzi CCM imewapa "uraia" na kadi za kura wakimbizi na wageni haramu? CCM is the national disaster
 
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Messages
2,798
Points
2,000
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2008
2,798 2,000
ChiefmTZ

Wewe inaonyesha tu ni walewale wenye mawazo mgando!

Achilia issue ya copy/paste,ninachotaka kusema ni kwamba mbona Kibanda hukumwambia muongo kwa kauli ileile? Nashangaa unakomaa na hiyo miaka ya kujiunga na kustahafu kwa Kinana Jeshini. Kuna ajabu gani kama alijiunga mwaka 1952 na akastahafu mwaka 1972??? Hoja yako kuwa Mwalimu alikuwa na imani na Kinana ni dhaifu na haina mashiko. Kujiunga na Jeshi hakuhitaji kuteuliwa na Rais labda unapokwenda kuwa Meja Jenerali au Brigadier. Kinana kaishia Ukanali tu. Kuwa Meneja wa Kampeni za Mkapa si kielelezo tosha kwa Mwalimu kuwa na Imani na Kinana! Anybody can be a campaign Manager maana ni kazi ya muda tu.Kama umenielewa hoja yangu ni kwanini Nyerere hakuwahi kumteua Kinana kushika Ukatibu Mkuu wa TANU/CCM au basi hata huo Umeja Jenerali/Brigadie alipokuwa Jeshini wakti wa Mwalimu???? Get my point.

Wana habari wana msemo,''NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK''. Sasa wewe kama unahakika na Umri wa Kinana, kwa maana ya Mwaka aliozaliwa, Shule/vyuo alivyosoma na Mwaka alioingia Jeshini tuwekee hapa kwenye mtandao. Usitake tu kubishana kwasababu unataka kubisha. Just bring the evidences to close the argument!!!

Kubwabwaja tu maneno kama Kasuku aliyekariri hakusaidii.
R u a journalist? If yes plse pm me
 
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Messages
2,798
Points
2,000
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2008
2,798 2,000
By the way , huna ushahidi wa hoja yako bali ni academic assumption
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,512
Points
2,000
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,512 2,000
Mkuu sasa endapo mwalimu Nyerere angemteua Kinana ktk nafasi kubwa kama hiyo hujui kama tembo wetu wangeisha?
 
M

mwinukai

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
1,448
Points
1,225
M

mwinukai

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
1,448 1,225
hakuna ubaguzi ndani ya ccm,awe mhindi,mchina mwarabu kinachopimwa ni uzalendo wake.katka ccm hawaangalii uchaga wala ukatoliki wala ukanda anaotoka mtu
Ukatoliki siyo wakuchezewa chezewa kama unavyofikiri. Heshimu dini za watu
 
M

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
4,010
Points
2,000
M

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
4,010 2,000
Hivi mwalimu alitakiwa kumteua kila mtu kushika nyadhifa kubwa?Mbona hakumteua JK au Mkapa kuwa makatibu wakuu wa CCM!Hii ni hoja dhaifu sana hebu kaiandae vizuri ndo uilete hapa kwa GT!
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,932
Points
1,500
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,932 1,500
Ukatoliki siyo wakuchezewa chezewa kama unavyofikiri. Heshimu dini za watu
sawa mkuu,nlikuwa namkumbusha mleta mada ajue kuwa watanzania tunajua hata yale mnayoyafanya vyumbani kwenye giza.asidhani akiona mtu amekaa kimyaa ni mjinga,amekustiri tu,tupo pamoja mkuu
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,932
Points
1,500
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,932 1,500
Low mind discuss people,simple mind discuss events, great mind discusss ideas!!!!
 
Forum statistics

Threads 1,402,912
Members 531,005
Posts 34,409,377
Top