Huyu mgeni wa ITV binafsi simwelewi kabisa!!!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
ITV leo asubuhi kuna mgeni wamemualika anazungumzia mambo ya mapunduzi ya uchumi, kila baada ya sekunde anamtaja Kinana eti ni mwanamapinduziwa uchumi kwa kuwa amezungumzia tu kufufua kiwanda cha kubangu korosho huko Lindi. Anachoongea mpaka muda mwingine nakuwa simwelewi kabisa. Yaani mwanasiasa kuongea tu kuwa kiwanda cha korosho kifufuliwe basi ashakuwa mwanamapinduzi wa uchumi?
Kama hawa ndio wachambuzi mnaowaleta hapo ITV basi jiangalieni sana maana akiulizwa hiki anajibu kile mpaka wasilizaji tunakuwa hatujui anachokizungumzia. Kamfagilia huyo kinana mpaka sasa inakuwa kero maana binafsi sijaona alichokifanya kinana.
Poleni sana ITV najua mnapata tabu na huenda mngependa kipindi kiishe!
 
Ni shabiki maandazi, anamshobokea Kanana. Haeleweki kabisa

mpaka anaker...kweli ni shabiki mandazi maana kila sekunde kinana...kinana....kinana...mpaka sasa inakera...baada ya kuongelea issues anaongelea watu...kweli ccm ina vichwa! nahisi kama vingine ni vya kufugia nywele tu!
 
yaani eti kinana ndio suluhisho la kutatua matatizo ya uchumi wa tz...si amekuwa mjumbe wa NEC mpaka kazeeka ina maana huko alikuwa hawezi kuchangia mbinu za kuokoa uchumi? kweli yule mgeni hamnazo,,,
 
Nilimsikiliza nikajua ni wale wale majangili! Kila sekunde kinana kinana kinana! Eti kinana ataimairisha uchumi wa nchi,...kinana kwake yeye ni kila kitu,nafikiri katumwa na kinana
 
mtego wa noti - unatumia jenerator? huku mtaani umeme umekatika tangia saa 11 alfajiri...!
 
Kweli huyo ni wale wabishi wa kwenye kahawa wanawadanganya wasiojua wenzao baada kuwa kundi kubwa la wasiojua wanampitisha awe kiongozi wao,sasa yule ni kiongozi wa watu wa Tanga kufufua uchumi wa mkoa wao wa Tanga,maajabu kabisa!!
 
ITV leo asubuhi kuna mgeni wamemualika anazungumzia mambo ya mapunduzi ya uchumi, kila baada ya sekunde anamtaja Kinana eti ni mwanamapinduziwa uchumi kwa kuwa amezungumzia tu kufufua kiwanda cha kubangu korosho huko Lindi. Anachoongea mpaka muda mwingine nakuwa simwelewi kabisa. Yaani mwanasiasa kuongea tu kuwa kiwanda cha korosho kifufuliwe basi ashakuwa mwanamapinduzi wa uchumi?
Kama hawa ndio wachambuzi mnaowaleta hapo ITV basi jiangalieni sana maana akiulizwa hiki anajibu kile mpaka wasilizaji tunakuwa hatujui anachokizungumzia. Kamfagilia huyo kinana mpaka sasa inakuwa kero maana binafsi sijaona alichokifanya kinana.
Poleni sana ITV najua mnapata tabu na huenda mngependa kipindi kiishe!

mkuu ni msomali mwenzake! Nashangaa hao majamaa si waende wakaimarishe uchumi wa somalia kama wanaweza!!? Huyu jamaa na kinana wake wamechelewa sana yaan,! ccm naona sahivi inapigiwa debe mpaka na al-shabab,lakin hao wanataka tembo zetu tu hakuna kingine!
Ooh poor ccm!
 
ITV huwa wana wageni wa ajabu, sijui ni lazima awepo mtu hata kama hana uwezo wa mada husika, ITV mnaboa bwana.
 
Analogy TV mwisho 31st December 2012...! Sijui AiiiiiiiiiiiiiiiiiiiTiiiiiiiiiiiiiiiiiiiViiiiiiiiiiiiiii itapatikana king'amuzi kipi?
 
ITV huwa wana wageni wa ajabu, sijui ni lazima awepo mtu hata kama hana uwezo wa mada husika, ITV mnaboa bwana.
hata mimi nilikuwa najiuliza hilo swali mpaka nikataka niwapigie simu kumbe kipindi ni recorded...ni bora wangetuwekea mchiriku kuliko kutuwekea mtu eti wanamwita mtaalamu wa mapinduzi ya uchumi!
 
labda kwa kuwa amewahi kumiliki dry cleaner za kisasa mda mrefu AR labda tumuweke wenye levo ya mwanamapinduzi wa ukoo wake taifa itakuwa ngumu mnooooooooooooooooooooo
 
kama wanamapinduzi ni akin kinana basi hata hakuna haja ya kuwa na wanamapinduzi...mtu kila siku anasafirisha meno ya mdudu wetu mpaka basi halaf anakuwa mwanamapinduzi? eti namlinganisha kinana na nyerere, sokoine, kawawa na msuya...kweli leo ITV mmetuweza kwa kuupotezea muda asubuhi asubuhi...
 
mgonjwa ambaye yuko icu anayo mawili, kupata ahueni au kuchukua namba
 
Toka lini ITV wakaalika vibrant Speakers?
Na toka lini waandishi wao wakauliza maswali yenye hoja na mguso kwa waTanzania wote?
Toka lini waandishi hawa wakaweza kulimit wazungumzaji wageni wao kubaki ndani ya
hoja ya msingi? Pengine huyo mtu hana tatizo, tatizo liko kwa Chombo cha habari na
wanaohusika katika kutafuta wageni!
ITV na CCM plus mafisadi kuna uhuiano????

Back
Top Bottom