Mh. Dr. Magufuli ni lini ujenzi wa barabara za Mbezi Luis hadi Tegeta unaanza?

Mkungo

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
223
250
Naomba utuambie kwa kifupi tu ni lini barabara za lami zifuatazo zinaanza kujengwa kama ulivyoainisha kwenye bajeti ya 2012/13?
1. Mbezi Luis-Goba-Tangi mbovu
2.Goba-Wazo Hill
3. Junction ya Wazo/Goba hadi Kimara mwisho
4. Goba-mlimani City kupitia Makongo.
Tunauliza kwa sababu ni miezi mitano imepita hatuoni chochote kinachoendelea.
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225
Naomba utuambie kwa kifupi tu ni lini barabara za lami zifuatazo zinaanza kujengwa kama ulivyoainisha kwenye bajeti ya 2012/13?
1. Mbezi Luis-Goba-Tangi mbovu
2.Goba-Wazo Hill
3. Junction ya Wazo/Goba hadi Kimara mwisho
4. Goba-mlimani City kupitia Makongo.
Tunauliza kwa sababu ni miezi mitano imepita hatuoni chochote kinachoendelea.

Tunasubiri MKOPO na Wafanyakazi toka CHINA...
 
Top Bottom