Sheria ya rushwa ibadilishwe haraka sana


K

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Likes
1
Points
0
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 1 0
HII SI HAKI MTU KAIBA MABILION YA FEDHA ET ANALIPA FIDIA YA MIL 5... UJINGA HUU "Jopo la mahakimu watatu waliokuwa wakiisikiliza kesi ya wizi wa Sh3.8 bilioni za EPA linaloongozwa na Jaji Samuel Kalua, Jaji Beatrice Mutungi na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu, Ilvin Mugeta, katika hukumu yao waliyoisoma juzi waliwahukumu wafanyakazi hao kifungo cha miaka mitatu jela ama kulipa fidia ya Sh5 milioni.

Baada ya kumalizika kusomwa kwa hukumu hiyo, Ester Komu alifanikiwa kulipa fidia ya Sh5 milioni na kuachiwa huru wakati wenzake Iman na Kalika walipelekwa gereza la Segerea hadi jana walipokamilisha maamuzi ya hukumu hiyo kwa kulipa Sh5 milioni na kuachiwa huru."

HIII HSERIA YA RUSHWA NA.11/2007 VYEMA IKABADILISHWA HARAKA NA KUONGEZA HUKUMU ADHABU YA CHINI KABISA IWE MIAKA 30 ....
 
K

kasimba123

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2010
Messages
1,385
Likes
245
Points
160
K

kasimba123

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2010
1,385 245 160
only in tz
 
Asnam

Asnam

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Messages
4,262
Likes
52
Points
145
Asnam

Asnam

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2012
4,262 52 145
kupigwa risasi hadi kufa ndo sheria bora zaidi,jitu limevimbiwa pesa unaliambia mil5 kweli si bora wangeacha tu.TZ Inakera na kuchefua kwa sheria zilizopo hebu wabunge walitizame hili kwa makini kwani wao ndo wanaotunga hii kitu.
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
22
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 22 0
Na hawa mahakimu inabidi sasa waanze kusaidia kutokomeza rushwa kuzifanya hukumu zao ziwe deterrent. Mahala pa faini au kifungo, basi watoe hukumu ya kifungo tu bila faini.

Jk ndiyo alibadilisha sheria hii kwa kuweka faini/fidia. lengo kubwa ni kuwaokoa mafisadi wenzake na hivyo kuendeleza kansa hiyo. nashauri CDEM ikiingia wab adilishe -- risasi inaweza ikasaidia.
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,181
Likes
8,932
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,181 8,932 280
Kama majangili wameshaingia hadi nafasi za juu kabisa za chama, sahau hilo kutokea chini ya utawala wa hiki chama. Fisadi au jangili gani hajipendi?
 

Forum statistics

Threads 1,237,832
Members 475,675
Posts 29,302,699