Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

INGAWA kuna baadhi ya wenzetu waliuona msimamo wa kiongozi wa nchi, dhidi ya kuwepo kwa sarafu moja ya Afrika Mashariki kama jambo la maana, lawama zinapaswa kupelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete...
3 Reactions
7 Replies
7K Views
Wakuu wote JF yaani Great Thinkers, - Ninaamini kwamba kilichotokea majuzi Dodoma ni only a big set back lakini sio mwisho wa vita na mafisadi, sio siri kwamba wapiganaji wetu kwa sasa spirit...
1 Reactions
94 Replies
9K Views
KAMWENE,hali ya siasa Njombe imezidi kubadilika baada ya uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji kufanyika tarehe 2.12.2012.Katika moja ya kijiji ambacho CCM ilidhani ingeshinda kwa kishindo kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naweza kuandika ujumbe mreeeeefu wenye maneno meeeengi yasiyo na maana na yenye maana kwa kukuelezea kitu kidogo sana ila sitofanya hivyo, kwa maneno machache naomba nikuambie mtanzania mwenzangu...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
SIASA Na Godfrey Kahango,Chunya Posted Ijumaa,Decemba7 2012 saa 14:43 PM KWA UFUPI Mbunge Sugu azidi kuihenyesha CCM mkoani Mbeya MBUNGE wa Jimbo la Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi maarufu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Solicitors 6 St Andrew Street London EC4A 3AE T 020 7353 5005 F 020 7353 5553 DX 333 Chancery Lane www.carter-ruck.com Press Release Date: 30November 2012 Sarah Hermitage Libel...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu tunashuhudia namna ambavyo nchi yetu inavyoendeshwa hovyo-hovyo ambapo hali za wananchi kimaisha zinazidi kuwa mbaya na kutisha. Rais wetu, yeye yupo 'bize' katika kuimarisha...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa BAVICHA taifa ndugu John Heche ametoa wito na kuwaomba wanahabari kuchuja mambo ya kuandika yenye TIJA na maendeleo ya TAIFA tofauti na ilivyo sasa ambapo wanahabari wanaandika kitu...
3 Reactions
91 Replies
7K Views
KUJIRUDIA kwa matukio ya polisi kutumia silaha za moto dhidi ya raia, kumepokewa kwa hisia tofauti, huku Mwanasheria Mkuu wa Kwanza wa Serikali, Jaji Mark Bomani akilitaka jeshi hilo kuacha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nchi yetu ya Tanzania ina hitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi ili kuweza kuleta maendeleo na maisha bora kwa kila Mtanzania.Nchi hii imekuwa ikiendeshwa kwa kauli mbiu mbalimbali ambazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka alipoteuliwa alianza kazi kwa mbwembwe nyingi, akikomalia propaganda ya kujivua gamba lkn kadiri Siku zilivyoyoyoma akawa kimyaaaaaaaaaa!!! Akimwacha Nape anahangaika vyake. Nasikia pia...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
HARAKATI mpya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinazoratibiwa kwa ukaribu na Katibu Mkuu wake Abdulrahaman Kinana, katika kukabiliana na nguvu za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimejaribu kutizama na kusikiliza huu Wimbo wa Kigoma kwa kweli Zitto nimemkubali kuwa ni bwana mikakati. Hii kampeni ni ya Kimataifa namna shooting ilivyochukuliwa, picha zilivyochanganywa, umati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je kuna ukweli wowote maana kuna habari nimezisikia eti Rais anapofanya kazi binafsi za watu ambazo si za Serikali lazima alipwe kwanza.Mfano ikiwa kama umejenga chuo chako,shule,hospital na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAMAcademic Staff Assembly TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tunapenda kuwajulisha kuwa Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) kwa ushirikiano na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
SIKU chache baada ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, kumtaka Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Itikadi na Uenezi ya CCM kuacha kupiga mayowe na badala yake awaeleze wananchi hatua...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu, nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV, wameonesha sehemu ya maandalizi ya sherehe za maadhimisho ya uhuru yatakayofanyika 9/12. Kilichonichosha ni kaulimbiu ya mwaka huu, nayo ni...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Katika taifa letu la Tanzania rushwa imeenea katika maeneo mengi hususani kwenye utoaji huduma kwa wananchi (service delivery). Kila taifa hutumia njia tofauti kukabiliana na rushwa, baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa sababu ilichokisema Mnyika ni sahihi, basi sasa Mawaziri wamepata upenyo wa kuzikataa ziara za CCM kwamba sheria inawabana, hii ndio njia pekee ya wao kuepukana na zomea zomea. Soma hapa hoja...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Fri, Dec 7th, 2012 Headlines / Tanzania | By In2EastAfrica Reporter Pretoria - President Jacob Zuma has arrived in Dar es Salaam, Tanzania, to take part in the SADC Extra-Ordinary Summit...
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…