HECHE: Nape sio saizi ya Dr. Slaa

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
MWENYEKITI wa BAVICHA taifa ndugu John Heche ametoa wito na kuwaomba wanahabari kuchuja mambo ya kuandika yenye TIJA na maendeleo ya TAIFA tofauti na ilivyo sasa ambapo wanahabari wanaandika kitu chochote hata vingine visivyokuwa na msingi bali kujielekeza katika watu binafsi kujitafutia umaaarufu kupitia majina ya viongozi wakubwa ameyasema hayo akichambua hoja ya NAPE KUSEMA kuwa DR SLAA ANA KADI YA CCM, HECHE ameyasema hayo jana akiwa katika mazungumzo hapa eneo la KWEMBE ambako alikuwa na mualiko wa vijana jana alisema
KUHUSU HOJA YA KADI KUTOKUWA NA MASHIKO
.......

ndugu zangu unaposikia mtu anaanzisha maada ya katibu mkuu kuwa na kadi ya CCM hii inatusaidia nini sisi wananchi kutatua matatizo ya kukoswa maji?,elimu,huduma za afya , miundombinu, ardhi kuporwa,raslimali kuuzwa? hivi dr slaa akiwa na kadi ya CCM ndio maendeleo ya nchi yanazorota? au amewazuia ccm kutekeleza mambo ya msingi kwa sababu ya yeye kuwa na kadi ya ccm?
kadi ya CCM aliyokuwa nayo dr slaa alinunua au alichukua bure?
kama dr slaa angerudisha kadi hiyo ndio ingepata mtu mbadala na shupavu wa kuokoa nchi katika wale walio CCM ambaye sasa anakosa umakini kwa kukoswa kadi hiyo?

KATIBA ya chama( CCM) inasema ukijiunga na chama kingine unajifuta uanachama wa ccm auotomatically`mimi namshangaa Nape ndugu zangu ukiwa hauna akili kichwani ukipata uongozi haikusaidii kuongeza akili bali inakuanika zaidi jinsi usivyokua na upeo au ulivyomtupu, Dr slaa amegombea mara 3 ubunge kwa tiketi ya CHADEMA na amegombea urais na kuibiwa hapa alikuwa anagombea akiwa mwanaCCM?

AMUONYA NAPE ,,,,.....natoa wito rasmi na hili ntalitangaza kwenye vyombo vyote vya habari na kuwaeleza wananchi waelewe kuwa
NAPE hajawahi na haitatokea afikie level ya katibu mkuu wa CHADEMA kwa sababu
1 SIFA KUU iliyompatia Nape hata nafasi aliyonayo kwa sasa ni kulipwa FADHILA ya baba yake mzee Mosses Nnauye aliyekuwa Kampeini Meneja wa Kikwete kura za Maoni za CCM mwaka 1995

2 Nape huyu hajawahi hata kushinda cheo chochote cha kuchaguliwa na wananchi au hata na wana CCM wenzake
vyeo vyote alivyonavyo kapata kwa upenyo wa jina la baba yake huyu alikuwa mtoto wa mzee mosses ndio wale wale!sasa iweje ajifananishe au apate wapi uhalali wa kumjibu ama kumuattack DR! (SLAA!)sio kweli maana DR cv yake ni ya kushinda tena vyeo vya kugombe tunafahamu kuwa

Dr amekuwa mbunge miaka 15!jimbo la KARATU
Dr amekuwa makamu mwenyekiti wa chama
Dr amekuwa katibu mkuu wa chama
namtaka nape agombee hata uenyekiti wa mtaa ndio tuone kama atatoboa maana hata fomu ya wagombea nadhani hajui ilivyo asijifananishe na wanasiasa
mimi nadhani hawa watu wa kuteuliwa ama VYEO VYA KUBAMBIKWA WANAOSEMA OVYO KAMA CHIRIKU TUWAPUUZE KABISA NDUGU ZANGU
NASISITIZA PIA KUWA NAPE NI VUVUZELA KAMA ATAONA SI KWELI TUKUTANE NITAMUANIKA
alimaliza heche huku akishangiliwa na watu waliokuwepo 2012-11-22 13.15.06.jpg
 
Attachments

  • DSC00923.JPG
    DSC00923.JPG
    1.9 MB · Views: 197

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,964
8,245
Umesomeka mkuu, Tanzania raha sana kama ukishindwa kuitumia nyota ya baba yako kujijenga kisiasa basi tena, siku si nyingi watz wataelewa na kuchukua hatua kwamba si kila mtoto wa kada wa chama ana akili na mawazo kama ya baba yake
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,553
2,330
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
 
MKALIKENYA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,196
484

Dr Slaa hakushindwa kwenye kura za maoni za CCM alishinda, kama watu kama wewe ndio wametumwa kuitetea CCM(MFU) umu basi mazishi yake yamekaribia.
 
Qedalong

Member
Mar 16, 2012
30
10
Yes ni kweli Dr. Slaa alikimbia CCM kwasababu ya ushindani uliopo kati ya nani anafahamika baina ya wagombea wa CCM na nani mwenye hela ndefu siyo baina ya nani mwenye uwezo na kwa ajili ya wananchi.
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,553
2,330
Dr Slaa hakushindwa kwenye kura za maoni za CCM alishinda, kama watu kama wewe ndio wametumwa kuitetea CCM(MFU) umu basi mazishi yake yamekaribia.

Sawa asante sana kwa kuweka rekodi sawa sawa.
 
chama

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
8,001
2,414
Angemalizia kwa kusema Mwenyekiti Mbowe kapewa cheo kwa fadhila ya baba mkwe mbona amalisahahu hilo!
 
Ndalwa

Member
Dec 4, 2012
34
24
Very strong speach from comred HECHE,Nape akapambane na Mnyika ubungo....do,maji marefu kwa Mnyika itakuwa The Dr Slaa...Nape sharobalo wa kundi la Membe tunajua.
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,553
2,330
Angemalizia kwa kusema Mwenyekiti Mbowe kapewa cheo kwa fadhila ya baba mkwe mbona amalisahahu hilo!

Mpuuzi yeye mwenyewe kuwa mwenyekiti wa BAVICHA ilibidi vijana wangapi wanyimwe haki ya kushiriki uchaguzi? kifupi kwenye kupeana madaraka yeye ni mnufaika wa kwanza hapa Tanzania, ndio maana kazi yake ni kuimba Slaa, Mbowe kila kukicha.
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,553
2,330
daaah nimesahau huyo chizi Heche si amepachikwa tu kwenye hayo madaraka ngoja tumtafute ben aje kutuhabarisha yeye ameonja machungu ya demokrasia ya chadema

Ben na madogo wengi wa huko CDM ni majobless na wanna be, hawana jeuri ya kusema chochote kwa sababu mwisho wa siku wanalazimika kurudi miguuni kwa Mbowe kuomba nauli. Umasikini ndio adui mkubwa wa demokrasia.
 
chama

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
8,001
2,414
Ben na madogo wengi wa huko CDM ni majobless na wanna be, hawana jeuri ya kusema chochote kwa sababu mwisho wa siku wanalazimika kurudi miguuni kwa Mbowe kuomba nauli. Umasikini ndio adui mkubwa wa demokrasia.

Acha matusi mkuu yaani unataka kuniambia kamanda wangu ben ni jobless?
 
Last edited by a moderator:

Badourah

Member
Jun 10, 2012
68
8
Wadhifa alonao Nape CCM, Slaa hajawahi hata kuota na uanachama wake hai mpaka leo.

Magwanda mmeingizwa mkenge, kumbe Padri bado ni mwanachama hai wa CCM. Poleni sana.
 
Oct 18, 2012
87
22
Mpuuzi yeye mwenyewe kuwa mwenyekiti wa BAVICHA ilibidi vijana wangapi wanyimwe haki ya kushiriki uchaguzi? kifupi kwenye kupeana madaraka yeye ni mnufaika wa kwanza hapa Tanzania, ndio maana kazi yake ni kuimba Slaa, Mbowe kila kukicha.

vijana wengi wa chadema wanamkubali Heche ukiachana na ninyi mlio kwenye payroll ya zitto
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,159
19,149
Ben na madogo wengi wa huko CDM ni majobless na wanna be, hawana jeuri ya kusema chochote kwa sababu mwisho wa siku wanalazimika kurudi miguuni kwa Mbowe kuomba nauli. Umasikini ndio adui mkubwa wa demokrasia.

you have big balls to defend the dying ccm buddy,but first go brush your stinking greedy mouth
 
ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,210
554
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
mkuu hivi unajua kura za maoni mwaka 95, slaa aliongoza? Kupitia ccm? Nape amepewa cheo kwa sababu ya baba yake na si vinginevyo!
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,553
2,330
you have big balls to defend the dying ccm buddy,but first go brush your stinking greedy mouth

Defend? CCM existence does depend on a stupid post on any stupid forum, it was put in power through people's voice and with people's will it shall go down...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Top Bottom