Nape: Huwezi kuwatumikia mabwana wawili

PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
2,821
Points
1,195
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
2,821 1,195
SIKU chache baada ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, kumtaka Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Itikadi na Uenezi ya CCM kuacha kupiga mayowe na badala yake awaeleze wananchi hatua zinazofanywa na serikali yao kuondoa umaskini, ni dhahiri sasa kada huyo ameanza kuweweseka kisiasa.

Nape ambaye aliibua mjadala ambao hata hivyo alishindwa kuuthibitisha kuhusu madai kuwa Dk. Slaa anamiliki kadi ya CCM na anaendelea kuilipia ada ya uanachama, ameamua kuhamishia siasa za uzushi na matusi kwenye mtandao wa kijamii.

Katika maoni yake aliyoandika kwenye ukurasa wa mtandnao wa Jamii Forum, Nape ameendelea kuupotosha umma kwa kuwaponda waliomtetea Dk. Slaa katika uzushi huo na kuzua uongo mwingine kuwa gazeti la Tanzania Daima linamilikiwa na operesheni ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) inayoendeshwa na CHADEMA.

“Nazitambua juhudi za wafuasi wa babu (akimaanisha Dk. Slaa) na mashabiki wake katika kujaribu kumtetea ionekane ni jambo la kawaida sana kwake kuwa na kadi ya CCM mpaka leo.

“Juhudi za kutumia ‘social media’ na magazeti mengine hasa gazeti la M4C (TanzaniaDaima) kujaribu kumtetea Dk. Slaa na wakati huo kunikejeli na kunitukana japo kuwa kwa matusi ambayo lazima nikiri si mapya,” aliongopa Nape.

Katika utetezi wake huo, Nape anajikologa akisema katika matamshi yake hakuna mahali alipohusisha kuwa na kadi na uanachama wa mtu.....hivyo wanaojaribu kubwabwaja kuwa sijui katiba ya CCM, wanakurupuka kwa sababu ndogo sana.

“Kukaririshwa lazima kumtukana Nape hata bila kupima kwa makini hoja....nilichosema Dk. Slaa na baadhi ya vigogo wa CHADEMA wana kadi za CCM na baadhi yao wanazilipia mpaka leo,” alisema.

Aliongeza kuwa hajazungumzia uanachama wao, kwamba anajua kuwa kwa katiba ya CCM ukishakuwa mwanachama wa chama kingine uanachama wako CCM unakufa hapohapo.

“Ni kweli kuwa hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya kuwa na kadi ya CCM kwa Dk. Slaa na maendeleo ya wananchi maskini, lakini Dk. Salaa anatafuta kuwa kiongozi wa nchi anapaswa kuishi yale anayoyasema na kuwa mwaminifu kwa nafsi yake mwenyewe,” alijitetea.
 
F

Fukuyama

Senior Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
121
Points
195
F

Fukuyama

Senior Member
Joined Mar 15, 2012
121 195
Nadhani muda umefika kwa waandishi wa habari kuwa ni chanzo cha mabadiliko ya uchumi, siasa na kijamii katika Taifa letu. Hizi Mada za majibizano yasiyokuwa na tija tuyaweke pembeni hazina manufaa kwa mtanzania yoyote, zinatujazia nafasi na zinatuwekea ukakasi wa kuzisoma.

Hii habari ya nani mwanachama wa chama gani anamiliki kadi ya chama gani, si za kuzungumza leo kwenye karne hii ya mabadiliko ya kasi. Tuache propaganda na uenezui usiyo na tija kwa walalahoi. Andikeni nini kinatakiwa kufanyika Tanzania ili kuondoa/kupunguza wimbi hili kubwa la umaskini lililotanda miongoni mwetu.. Waandishi wa habari tumien weled wenu wa uandishi kuelimisha na kuwaambia watu hali halisi na mustakabadhi wa Taifa. Tuna mambo mengi sana tunategemea kuyaona waandishi wa habari kama kioo cha jamii wakiyapigia kelele na kuyakeme kwa kutumia kalamu zenu kwa mfano.

 • Umaskini
 • Unyanyapaa,
 • Ufisadi
 • Uonevu wa polis kwa raia wasio na hatia na kwenu ninyi waandishi wa habari
 • Ubadhifu wa rasilimali za Nchi kwa kutumia watoto wa vigogo kumiliki share kubwa kwenye makapuni ya madini
 • Bidhaa mbalimbali kupanda bei kila kukicha( Petrol) na mazao.
 • Msongamano wa magari jijini
 • Msongamano wa wawagonjwa mawodini katka mahospitali yetu
 • Wanafunzi kufaulu darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika
 • Ufinyu wa maabara na library katka shule zetu za kata na zisizo za kata.
 • Vurugu zinazobabishwa na vikundi vya watu kwa kisingizio cha dini.
 • Katiba mpya
Nadhani kama waandishi wa habari mkikazia haya mambo na mkayaanika na kuyaandika kwa mapana yake, basi hata muda wa kusoma mawazo yanayoandikwa na wenye uchu wa madaraka na ufinyu wa mawazo, poor vision people na ubinafsi humu JF hatampata kamwe. Tufike mahali tuwe na uchungu na uzalendo kwanza then ubinafsi baadae..

Asanten
 
M

mwanakidagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
208
Points
0
M

mwanakidagu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
208 0
katibu mwenezi wa CCJ.pia ukiwa katibu mwenezi wa CCM.
wahenga walisema ukiwa mnafiki ujanani,ukiwa mzee kama wasira lazima uwe mchawi.
Chagua moja ubaki katibu mwenezi wa CCJ au uendeleze kampeni ya kumnadi marehemu CCM .chama kilichofikwa na umauti kwa kusheheni wanafiki kama wewe.ambapo licha ya propaganda zako 2015.utakuwa katibu mwenezi wa hivi vyama viwili.
Nakuandikia kwa kuwa hujawahi kukanusha maneno thabiti ya kamanda FREDIRICK MPENDAZOE. ALIYEKUANIKA HADHARANI PALE VIWANJA NZOVWE MBEYA.KUWA WEWE NI MWENEZI WA CCJ.
AMA LA KANUSHA HUMU JF.
 
J

JAPHETtumpa

Senior Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
136
Points
195
J

JAPHETtumpa

Senior Member
Joined Feb 25, 2012
136 195
Nape hana babu?
hivi kweli kwenye ukoo wote wa nape amekosa mtu wa kumuita babu, Inawezekana amekosa hivi anafahahamu tofauti ya umri wa kinana na slaa wote hawa ni makatibu kwa nini asihamishie utani wake kwa wazee wa ccm. kimsingi kama ni mababu wapo wengi ccm
 
N

nemasisi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Messages
1,910
Points
1,250
N

nemasisi

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2012
1,910 1,250
Nape ana chuki na dr slaa kwasbbu alitaka sana awe mgombea wa chadema ubungo, alipogomewa na mnyika kuchukua nafasi ana gubu zito rohoni, mwacheni tu mpaka hapo atakapotulia
 
N

nemasisi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Messages
1,910
Points
1,250
N

nemasisi

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2012
1,910 1,250
Nape ana chuki na dr slaa kwasbbu alitaka sana awe mgombea wa chadema ubungo, alipogomewa na mnyika kuchukua nafasi ana gubu zito rohoni, mwacheni atakua tu
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,353
Points
2,000
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,353 2,000
Nape ni vuvuzela hana lolote jipya wala la maana...sidhani kama cheo cha uenezi na propaganda anakiweza
 
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
13,601
Points
2,000
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
13,601 2,000
kitu cdm walichofanya cha busara kwa shibuda ni kumpuuza..it's time they did the same for this two time loser
 
M

MTK

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
7,946
Points
2,000
M

MTK

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2012
7,946 2,000
Nadhani muda umefika kwa waandishi wa habari kuwa ni chanzo cha mabadiliko ya uchumi, siasa na kijamii katika Taifa letu. Hizi Mada za majibizano yasiyokuwa na tija tuyaweke pembeni hazina manufaa kwa mtanzania yoyote, zinatujazia nafasi na zinatuwekea ukakasi wa kuzisoma.

Hii habari ya nani mwanachama wa chama gani anamiliki kadi ya chama gani, si za kuzungumza leo kwenye karne hii ya mabadiliko ya kasi. Tuache propaganda na uenezui usiyo na tija kwa walalahoi. Andikeni nini kinatakiwa kufanyika Tanzania ili kuondoa/kupunguza wimbi hili kubwa la umaskini lililotanda miongoni mwetu.. Waandishi wa habari tumien weled wenu wa uandishi kuelimisha na kuwaambia watu hali halisi na mustakabadhi wa Taifa. Tuna mambo mengi sana tunategemea kuyaona waandishi wa habari kama kioo cha jamii wakiyapigia kelele na kuyakeme kwa kutumia kalamu zenu kwa mfano.

 • Umaskini
 • Unyanyapaa,
 • Ufisadi
 • Uonevu wa polis kwa raia wasio na hatia na kwenu ninyi waandishi wa habari
 • Ubadhifu wa rasilimali za Nchi kwa kutumia watoto wa vigogo kumiliki share kubwa kwenye makapuni ya madini
 • Bidhaa mbalimbali kupanda bei kila kukicha( Petrol) na mazao.
 • Msongamano wa magari jijini
 • Msongamano wa wawagonjwa mawodini katka mahospitali yetu
 • Wanafunzi kufaulu darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika
 • Ufinyu wa maabara na library katka shule zetu za kata na zisizo za kata.
 • Vurugu zinazobabishwa na vikundi vya watu kwa kisingizio cha dini.
 • Katiba mpya
Nadhani kama waandishi wa habari mkikazia haya mambo na mkayaanika na kuyaandika kwa mapana yake, basi hata muda wa kusoma mawazo yanayoandikwa na wenye uchu wa madaraka na ufinyu wa mawazo, poor vision people na ubinafsi humu JF hatampata kamwe. Tufike mahali tuwe na uchungu na uzalendo kwanza then ubinafsi baadae..

Asanten
Mwanadamu hataishi kwa mkate tu! In life there is a time to take on serious issues, a time to joke, a time to cry, a time to fool around, a time decompress and relax!!!

Man do not take life too seriously afterall you shall never come out of it alive. ha haha ha!!
 
Renegade

Renegade

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2009
Messages
4,610
Points
2,000
Renegade

Renegade

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2009
4,610 2,000
The best way kumshinda Nape ni kum-ignore,
Kumjibu Nape ni bure, hana kitu chochote huyo, Hana Jipya.
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,933
Points
1,500
Age
86
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,933 1,500
Slaa na wafuasi wake wakisikia jina la nape wanapatwa na kizunguzungu
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,933
Points
1,500
Age
86
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,933 1,500
Nape ana chuki na dr slaa kwasbbu alitaka sana awe mgombea wa chadema ubungo, alipogomewa na mnyika kuchukua nafasi ana gubu zito rohoni, mwacheni tu mpaka hapo atakapotulia
ndio mnavodanganyana kwenye vijiwe vya kahawa?
 
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
908
Points
225
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
908 225
Nadhani muda umefika kwa waandishi wa habari kuwa ni chanzo cha mabadiliko ya uchumi, siasa na kijamii katika Taifa letu. Hizi Mada za majibizano yasiyokuwa na tija tuyaweke pembeni hazina manufaa kwa mtanzania yoyote, zinatujazia nafasi na zinatuwekea ukakasi wa kuzisoma.

Hii habari ya nani mwanachama wa chama gani anamiliki kadi ya chama gani, si za kuzungumza leo kwenye karne hii ya mabadiliko ya kasi. Tuache propaganda na uenezui usiyo na tija kwa walalahoi. Andikeni nini kinatakiwa kufanyika Tanzania ili kuondoa/kupunguza wimbi hili kubwa la umaskini lililotanda miongoni mwetu.. Waandishi wa habari tumien weled wenu wa uandishi kuelimisha na kuwaambia watu hali halisi na mustakabadhi wa Taifa. Tuna mambo mengi sana tunategemea kuyaona waandishi wa habari kama kioo cha jamii wakiyapigia kelele na kuyakeme kwa kutumia kalamu zenu kwa mfano.

 • Umaskini
 • Unyanyapaa,
 • Ufisadi
 • Uonevu wa polis kwa raia wasio na hatia na kwenu ninyi waandishi wa habari
 • Ubadhifu wa rasilimali za Nchi kwa kutumia watoto wa vigogo kumiliki share kubwa kwenye makapuni ya madini
 • Bidhaa mbalimbali kupanda bei kila kukicha( Petrol) na mazao.
 • Msongamano wa magari jijini
 • Msongamano wa wawagonjwa mawodini katka mahospitali yetu
 • Wanafunzi kufaulu darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika
 • Ufinyu wa maabara na library katka shule zetu za kata na zisizo za kata.
 • Vurugu zinazobabishwa na vikundi vya watu kwa kisingizio cha dini.
 • Katiba mpya
Nadhani kama waandishi wa habari mkikazia haya mambo na mkayaanika na kuyaandika kwa mapana yake, basi hata muda wa kusoma mawazo yanayoandikwa na wenye uchu wa madaraka na ufinyu wa mawazo, poor vision people na ubinafsi humu JF hatampata kamwe. Tufike mahali tuwe na uchungu na uzalendo kwanza then ubinafsi baadae..

Asanten
Una akili sana,haya ndiyo mambo ambayo watu wenye fikra pevu wanatakiwa kujadili,siyo upuuzi wa VUVUZELA Nnauye Jr &co.
 
mwalimumwema

mwalimumwema

Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
16
Points
0
mwalimumwema

mwalimumwema

Member
Joined Dec 7, 2012
16 0
Hana jipya huko magamba kuna-mababu wangapi? yeye mwenyewe babu tu kama chama lake la kijani+njano. Vijana wote ki-umri na kifikra wapo upinzani specifically M4C. Wamempa cheo gagari awe kivutio lakini badala yake anazidi kuwaharibia.
 
Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
3,877
Points
1,500
Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
3,877 1,500
Nadhani muda umefika kwa waandishi wa habari kuwa ni chanzo cha mabadiliko ya uchumi, siasa na kijamii katika Taifa letu. Hizi Mada za majibizano yasiyokuwa na tija tuyaweke pembeni hazina manufaa kwa mtanzania yoyote, zinatujazia nafasi na zinatuwekea ukakasi wa kuzisoma.

Hii habari ya nani mwanachama wa chama gani anamiliki kadi ya chama gani, si za kuzungumza leo kwenye karne hii ya mabadiliko ya kasi. Tuache propaganda na uenezui usiyo na tija kwa walalahoi. Andikeni nini kinatakiwa kufanyika Tanzania ili kuondoa/kupunguza wimbi hili kubwa la umaskini lililotanda miongoni mwetu.. Waandishi wa habari tumien weled wenu wa uandishi kuelimisha na kuwaambia watu hali halisi na mustakabadhi wa Taifa. Tuna mambo mengi sana tunategemea kuyaona waandishi wa habari kama kioo cha jamii wakiyapigia kelele na kuyakeme kwa kutumia kalamu zenu kwa mfano.

 • Umaskini
 • Unyanyapaa,
 • Ufisadi
 • Uonevu wa polis kwa raia wasio na hatia na kwenu ninyi waandishi wa habari
 • Ubadhifu wa rasilimali za Nchi kwa kutumia watoto wa vigogo kumiliki share kubwa kwenye makapuni ya madini
 • Bidhaa mbalimbali kupanda bei kila kukicha( Petrol) na mazao.
 • Msongamano wa magari jijini
 • Msongamano wa wawagonjwa mawodini katka mahospitali yetu
 • Wanafunzi kufaulu darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika
 • Ufinyu wa maabara na library katka shule zetu za kata na zisizo za kata.
 • Vurugu zinazobabishwa na vikundi vya watu kwa kisingizio cha dini.
 • Katiba mpya
Nadhani kama waandishi wa habari mkikazia haya mambo na mkayaanika na kuyaandika kwa mapana yake, basi hata muda wa kusoma mawazo yanayoandikwa na wenye uchu wa madaraka na ufinyu wa mawazo, poor vision people na ubinafsi humu JF hatampata kamwe. Tufike mahali tuwe na uchungu na uzalendo kwanza then ubinafsi baadae..

Asanten
Mimi naamini kabisa tatizo sio Nape kwani yeye analipwa kwa kuzungumza ila ni WAANDISHI wa habari ambao HAWAPIMI/KUCHUJA habari gani yenye TIJA kwa wananchi anayoisema na hii sio tu kwake Nape.
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,344
Points
2,000
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,344 2,000
Nape anapaswa kuchapwa ile k2 ya 0713....... Koz ndio dawa ya wanasiasa wenye siasa za majitaka.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,928
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,928 2,000
Nape hana babu?
hivi kweli kwenye ukoo wote wa nape amekosa mtu wa kumuita babu, Inawezekana amekosa hivi anafahahamu tofauti ya umri wa kinana na slaa wote hawa ni makatibu kwa nini asihamishie utani wake kwa wazee wa ccm. kimsingi kama ni mababu wapo wengi ccm
Achilia mbali kinana , Moses Nnauye ambaye ni baba yake kama angekuwa hai angekuwa ni Mtoto wa Dr Slaa kiumri ? Heshima ni kitu cha bure ndugu Nape , hivi vyeo vya kuteuliwa visikufanye ushindwe kujiheshimu kaka !
 
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
5,649
Points
1,225
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
5,649 1,225
Achilia mbali kinana , Moses Nnauye ambaye ni baba yake kama angekuwa hai angekuwa ni Mtoto wa Dr Slaa kiumri ? Heshima ni kitu cha bure ndugu Nape , hivi vyeo vya kuteuliwa visikufanye ushindwe kujiheshimu kaka !
Baba yake wa kuzaa wa Nape sio Moses Nnauye bali Mwandosya... Iwapo Nape anapinga aje hapa athibitishe!!! Sasa anaweza kumuita Mwandosya babu?
 
Forum statistics

Threads 1,283,843
Members 493,850
Posts 30,802,759
Top