Zitto huu Mkakati ulokuja nao your UNSTOPPABLE

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
412
90
Nimejaribu kutizama na kusikiliza huu Wimbo wa Kigoma kwa kweli Zitto nimemkubali kuwa ni bwana mikakati. Hii kampeni ni ya Kimataifa namna shooting ilivyochukuliwa, picha zilivyochanganywa, umati wa watu pamoja na maisha ya watu wa Kigoma kwa ujumla utagundua yote hayo yanareflect si watu wa Kigoma tu bali Watanzania kwa ujumla.

Zitto binafsi nikupongeze kwa wenye kuona mbali basi watauona mwaka 2015 unavyoendelea kunipanga na namna mipango yako ilivyo ya kisayansi zaidi kidogo hivi unaweza kuwa kama PM Mstaafu na Mbunge wa Monduli kimkakati.

Waowanakimbizana na the so called M4D wengine wanakula mihela ya michango we unawacheki tu huku ukiwaambia waliko lala wao ndiko ulikoamkia wew. Hivikwa kasi hiyo ya huo wimbo hivi babu Slaa atakukutia wapi kwanza ngoja tumuulize kama ameshalipia hela ya Kadiya CCM manake naye ashalikoroga......

Kwa hili la wasanii na huo wimbo wa Kigoma ZZK umeshatoa somo la kutosha kwa CDM kwamba as we go along your unstoppable comrade. Let them Move while killing people while your moving while paving the way. Keep it up
 
Given

Member
Oct 11, 2010
82
39

Loh! Kazi kwelikweli!
 
Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,403
1,119

Kama unamtakia Zitto mema huwezi kukashfu wanayofanya Chadema kama vile M4C. Kama kweli Zitto anataka kuwa Rais kupitia Chadema, itabidi apate baraka za chama kwa nguvu zote. Wewe hapo ni kama umeropoka tu na sidhani kama Zitto mwenyewe anakubaliana na mawazo yako labda kama nia yake ni kuua Chadema au upinzani kwa sasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom