Naomba unisikilize tu!

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
466
125
naweza kuandika ujumbe mreeeeefu wenye maneno meeeengi yasiyo na maana na yenye maana kwa kukuelezea kitu kidogo sana ila sitofanya hivyo, kwa maneno machache naomba nikuambie mtanzania mwenzangu kuwa 'SIASA IPO KWA AJILI YA KUKUJENGEA (WEWE MWENYEWE) HESHIMA AU KUKUTUMIA WEWE KUWAJENGEA WENGINE HESHIMA!
TAFADHALI NDUGU YANGU MTANZANIA USIKUBALI KUTUMIWA KUWAJENGEA WENGINE HESHIMA!!!

note; na mwenye masikio na asikie!
 
toxic

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
771
158

Huu ni ukweli usiopingika,imesimama hii mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom