Wakuu, nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV, wameonesha sehemu ya maandalizi ya sherehe za maadhimisho ya uhuru yatakayofanyika 9/12.
Kilichonichosha ni kaulimbiu ya mwaka huu, nayo ni UWAJIBIKAJI, .... NA UZALENDO NI NGUZO YA TAIFA LETU.
Nimetafakari mambo yote matatu yaliyotajwa nikaona hayapo, hivyo nguzo ya taifa ni nadharia tupu.