Naomba kuwashawishi wanajanvi kujitokeza kwa wingi na kutoa maoni kwenye tume ya maoni ya katiba mpya na kupendekeza kuwa ili kuziimarisha Serikali za mitaa ambazo ndizo hasa ziko karibu zaidi na...
Hawa Ng'humbi kupitia kwa wakili wake ameomba rufaa iondolewe mahakamani bila gharama.
Ilikuwa ni baada ya maombi aliyotoa mapema kwa Wakili wa mujibu rufani, kwamba aruhuhusiwe kuchomoa na...
Naona sasa CCM imeamua kuzunguka na mawaziri na kuwaita baadhi ya watendaji wa serikali kwenye mikutano yenu. Mimi sijawaelewa mna maana gani na nina maswali machache yanayonisumbua kichwani kama...
Ndugu wana JF.
Mifumo ya EPZ au kama inavyojulikana kwa majina mengine kama SEZ, Freeport, Industrial Zones au majina mengine kama hayo imekuwa ni kichocheo kikubwa cha maendeleo ya viwanda na...
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi...
Nimewasikia wanaharakati wakisema taifa linanyemelewa na janga kubwa iwapo tanzania itaanza kuchimba uranium, mimi siyo mtaalam wa mambo hayo. Naomba kwa faida ya wote tujadili madhara makubwa...
Kwenye gazeti la Mwananchi la jana Jumatano tarehe 05/12/2012 kuna habari zinahohusu Uchaguzi wa kuziba nafasi ya wazi kwa Mwenyekiti wa Kjiji cha Igima Kata ya Igima Tarafa ya Mdandu huko...
Katika mikoa ambayo viwanda vimekufa kama si kuhujumiwa na serikali ya ccm basi ni mkoa wa kilimanjaro,mkoa huu ulikuwa niwa 4 kwa kuwa na viwanda vingi hapa tanzania lakini tangu upinzani...
INGAWA kuna baadhi ya wenzetu waliuona msimamo wa kiongozi wa nchi, dhidi ya kuwepo kwa sarafu moja ya Afrika Mashariki kama jambo la maana, lawama zinapaswa kupelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete...
Wakuu wote JF yaani Great Thinkers,
- Ninaamini kwamba kilichotokea majuzi Dodoma ni only a big set back lakini sio mwisho wa vita na mafisadi, sio siri kwamba wapiganaji wetu kwa sasa spirit...
KAMWENE,hali ya siasa Njombe imezidi kubadilika baada ya uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji kufanyika tarehe 2.12.2012.Katika moja ya kijiji ambacho CCM ilidhani ingeshinda kwa kishindo kwa...
naweza kuandika ujumbe mreeeeefu wenye maneno meeeengi yasiyo na maana na yenye maana kwa kukuelezea kitu kidogo sana ila sitofanya hivyo, kwa maneno machache naomba nikuambie mtanzania mwenzangu...
SIASA
Na Godfrey Kahango,Chunya
Posted Ijumaa,Decemba7 2012 saa 14:43 PM
KWA UFUPI
Mbunge Sugu azidi kuihenyesha CCM mkoani Mbeya
MBUNGE wa Jimbo la Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi maarufu...
Solicitors
6 St Andrew Street
London EC4A 3AE
T 020 7353 5005
F 020 7353 5553
DX 333 Chancery Lane
www.carter-ruck.com
Press Release
Date: 30November 2012
Sarah Hermitage Libel...
Watanzania wenzangu tunashuhudia namna ambavyo nchi yetu inavyoendeshwa hovyo-hovyo ambapo hali za wananchi kimaisha zinazidi kuwa mbaya na kutisha.
Rais wetu, yeye yupo 'bize' katika kuimarisha...
MWENYEKITI wa BAVICHA taifa ndugu John Heche ametoa wito na kuwaomba wanahabari kuchuja mambo ya kuandika yenye TIJA na maendeleo ya TAIFA tofauti na ilivyo sasa ambapo wanahabari wanaandika kitu...
KUJIRUDIA kwa matukio ya polisi kutumia silaha za moto dhidi ya raia, kumepokewa kwa hisia tofauti, huku Mwanasheria Mkuu wa Kwanza wa Serikali, Jaji Mark Bomani akilitaka jeshi hilo kuacha...
Nchi yetu ya Tanzania ina hitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi ili kuweza kuleta maendeleo na maisha bora kwa kila Mtanzania.Nchi hii imekuwa ikiendeshwa kwa kauli mbiu mbalimbali ambazo...
HARAKATI mpya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinazoratibiwa kwa ukaribu na Katibu Mkuu wake Abdulrahaman Kinana, katika kukabiliana na nguvu za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.