Taifa lanyemelewa na janga kubwa; tutavuka?

funguotatu

Member
Jul 13, 2012
85
11
Nimewasikia wanaharakati wakisema taifa linanyemelewa na janga kubwa iwapo tanzania itaanza kuchimba uranium, mimi siyo mtaalam wa mambo hayo. Naomba kwa faida ya wote tujadili madhara makubwa yanayoweza kujitokeza iwapo madini hayo yataanza kuchimbwa nchini. Kama tutapata case study ya nchi mbalimbali itapendeza zaidi hasa malawi, angola na rsa. Nawasilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom