Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa hivi wanafunzi kata ya ilemela mkoa wa mwanza wapo katika maandamano wakiwa na mabango tofauti yenye maandishi "tunataka haki zetu" wakielekea mahakama ya mwanzo wilaya ya ilemela kufungua...
32 Reactions
586 Replies
60K Views
Inasikitisha sana kuona wafanyakazi wa serikali hasa walio chini ya halmashauri wakiwa hawajalipwa mishahara ya mwezi Novemba.sababu zinazotolewa ni kuwa wafanyakazi hawa account namba zao...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mr. Tupa akihojiwa leo asubuhi na kipindi cha Nipashe kuhusu mauaji yanayoendelea mkoani humo amejibu kwa ku-defend zaidi position yake huku akionyesha vifo hivyo ni NOTHING...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Imebaki miaka karibu miaka 2 na miezi 2 hv ili kifike kile kipindi cha kupiga kura na kuchagua chama kitakachotuongoza kwa kipindi cha miaka 5 baadae. nimesema kuchagua CHAMA kwa kuwa kwa mujibu...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
GREAT THINKERS Hebu wana jukwaa sasa tujadili sera za hivi vyama vya upinzani kwa umakini ili tuweze kujua kama vina uwezo wa kutuletea mabadiliko tunayoyataka. Hapa tutajadiliana sera za chama...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, Shaban Matutu amepigwa risasi na Polisi, ambao wanadaiwa walikuwa wanamtafuta mhalifu na kwenda kugonga chumbani kwa Mwandishi huyo. Baada ya...
3 Reactions
211 Replies
20K Views
MAMA SALMA ; source first Lady Salma Kikwete | darhotwire Swali: Ni ipi historia fupi ya maisha yako? Jibu: Mimi naitwa Salma Rashid. Nilizaliwa katika wilaya ya Lindi Mjini, Novemba 30...
2 Reactions
79 Replies
13K Views
Rais anaposimamishwa na wananchi ili kujibu kero walizonazo katika vijiji vyao unapata tafsiri gani hapo? Mara nyingi katika maeneo mbali mbali katika mikusanyiko ya kijamii na has ya kisiasa Rais...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakuna aliye juu ya sheria,ili muafaka ufikie ni muda mwafaka sasa watumishi wa umma kuiga tabia ya mawaziri ya kupanda majukwani na kuhutubia mikutano ya vyama vya siasa mpaka katibu mkuu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania tunachezewa na Rwanda na Uganda kwenye swala la Congo. Rwanda na Uganda wamekuwa waliiba Diamond za Congo kwa muda mrefu sasa na ni wakati wa Tanzania kukaa chini na kabila na kufanya...
4 Reactions
153 Replies
13K Views
Troubled water: Oil search fuels tension over Lake Malawi - CNN.com Serikali ya Tanzania imekitaka kituo cha televisheni cha Kimataifa cha CNN kusahihisha taarifa potofu ilizotoa kuhusu...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Toka kuingia madarakani kwa huyu mbunge kwa tiketi ya CHADEMA, naomba kujua mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbiilinyi...nini umefanya ambacho sisi vijana wa Mbeya tunaweza kujivunia ama hata yeye...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
RUFAA ya kupinga matokeo ya ubunge katika Jimbo la Ubungo iliyokatwa na aliyekuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Hawa Ng’humbi dhidi ya Mbunge wa jimbo hilo John Mnyika itaanza kusikilizwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa wilaya ya Meatu mkoa wa Simuyu Bi. ROSEMARY KIRIGINI amemtishia kumweka ndani Ndg Mandela Kamugisha ambaye ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA. Haya...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
MBUNGE wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu Sugu, ameungana na wananchi wanaotaka Katiba Mpya ifute uwepo wa wakuu wa wilaya na mikoa kwa madai kuwa viongozi hao wamewekwa kisiasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Majuzi tuu nilimsikia waziri wa maliasili/utalii Balozi Khamis Kagasheki akilalamika kuwa nchi ya Qatar inakataa kutoa ushirikiano katika kuchunguza wanyama waliobiwa hapa Tanzania na inagoma...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Je Lema akishinda rufaa atalipwa stahiki zake zote? Nikiwa na maana ya mishahara na marupurupu yake yote Au inategemea na mahakama itakavyo amua. Naomba kujua.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mjadala mkubwa hapa nchini ni juu ya vyama viwili CCM na CHADEMA. CCM kwa nguvu zote wanajitahidi kutuaminisha kuwa adui yao ni adui wa Watanzania wote ambae ni CHDEMA. Wao wanadai CHADEMA...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, jana usiku ITV walionyesha kipindi maalum kikiripoti matukio ya askari wanyama poli kuua raia na ng'ombe wao kwa risasi za moto kupokea rushwa, viongozi wa serikali za vijiji wilaya za...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanabodi, Kumbe propaganda dhidi ya CCM ni mpango wa baadhi wa watu ambao wapo upinzani lakini bado wanamiliki kadi za CCM ili kupima upepo wa wananchi. Ndio maana wao wanamiliki kadi za CCM na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom