Mwaka 2010, baada ya kuangushwa katika kinyang'anyiro cha Ubunge wa Jimbo la Iramba mashariki, na pia kuenguliwa na NEC ya CCM kule Dodoma, Mgana Msindai alihqmia CHADEMA, akapewa kadi. Wakapanga...
Heshima kwenu wakuu.
Kwa mujibu wa taarifa nilizo zipata sasa hivi toka kwa Mawazo Alophonce nikuwa muda huu wanaji andaa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara bunda mjini. Hii ndo ile OPERATION...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Kamanda Godbless Lema ataanza operesheni maalum ya 'Chakaza CCM' katika jimbo la Bunda.
Lema ataongoza operesheni hiyo kwa muda wa siku 6 ambapo atatumia usafiri...
Kwa siku za karibuni inaonyesha CCM wameamua kuingia kwa nguvu zote kukipigania chama kupitia mitandao ya kijamii. Wanajamvi hii itasaidia kuiokoa CCM isianguke?
Hii ni dhahiri sasa baada ya tukio lile la Mgololo Iringa ambapo polisi walipofikia siku zao 40 – baada kujikuta wanaaibika katika jitihada zao za kuitumikia CCM kwa lengo la kuionyesha CDM...
Mwandishi Wetu
Toleo la 271
5 Dec 2012
​
Vigogo waingia ubia na gereji bubu mtaani kuchota mamilioni
LICHA ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuripoti kuhusu...
Watu sio wengi sana na ulinzi haupo kabisa, ndani ya mahakama kwa sasa hatuzidi watu ishirini, Namuona Jembe Lissu na mawakili wengine, Lema bado hajafika. Kesi bado haijaanza!
Updates:
Naaam...
Wakuu nimedokezwa keshokutwa jumamosi hii mji wa kahama utashuhudia maandamano na mkutano mkubwa wa hadhara kushinikiza migodi illiyoko kahama/Shinyanga kuchangia na kutoa huduma za kijamii kam...
Wazo la leo:
Tanzania haiitaji Rais kijana... kwani tunapeleka Ikulu mbeba vyuma au mtunisha misuli au atakuwa na kazi ya kupiga push ups ofisini? Na hatuwezi kumkataa mtu kwa sababu ni mzee...
TAARIFA KWA UMMA
Usafiri wa Treni Jijini Dar es Salaam
Baada ya baadhi ya vyombo vya habari kuandika tarehe 3 Desemba 2012 kauli yangu kuwa usafiri wa treni katika jiji la Dar es salaam kwamba...
Heshima mbele!
Naomba kujua mtu kama alikua CCM akaamua kuhamia CUF je ni lazima ile kadi irudishe?au ni mali yake au anaweza hata kuitupilia mbali au sheria ikoje kwenye umiliki wa kadi.
Katibu Mkuu wa BAVICHA amesema kuwa kama vijana wa Chadema na chama kwa upana wake hawatakuwa tayari kuona serikali ya Tanzania inaendelea kuwa chini ya PANYA na October 2015 ndio mwisho wao...
Jaji warioba katiba yake hasa kwa upande wa muungano huenda ukawa kama misri sababu watu wenye kutaka muungano wa mkataba huwa hoji vipi itaendeshwa nchi kwani yeye hajuwi jinsi ya muungano wa...
Jana nilishuhudia mkutano kati ya wananchi wa shehiya ya chukwani, wilaya ya makharibi Zanzibar wakitoa maoni yao kuhusu muundo wa katiba mpya. walihudhuria watu wa maeneo mengi hadi watu wabara...
Kuna wakati ilikuwa ni vigumu kufikiri kwamba CHADEMA kinaweza kupata kiti cha ubunge kutoka Singida lakini Kamanda Tundu Lissu akadhihirisha kwamba hakuna ngome isiyopitika. Na si ajabu mwaka...
Aaah baada ya kupata kama simu ya nane toka kwa waandishi wa habari juu ya sarakasi za watuhumiwa wa ufisadi(hasa hoja ya CCJ) nikajiuliza, tuzungumzie ufisadi ambao kimsingi ni namna rasilimali...
Novemba 20, 2012
Jumanne tarehe 20 Novemba 2012, baadhi ya vyombo vya habari vimebeba habari zinazohusu matamshi ya Waziri wa Utawala Bora ndugu George Mkuchika kuhusu sakata ya mabilioni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.