Mtaji wa ccm ni ujinga wawatanzania ndio maana sehemu za mjini na kwenye majiji makubwa nchini hawana chao nakwa sasa mbinu zote zimewaishia imebaki moja tu ambyo ni propaganda uchwara...
Ndugu wana jamvi,
Kwa kipindi cha miaka 51 sasa toka tupate uhuru,viongozi kadhaa wamepita lakini kila mmoja alipokuwa anaingia madarakani watu wengi walidhani ni mkombozi ila baada ya kuingia na...
katika mkutano wa hivi karibuni ambapo timu mpya ya CCM ilifika kwa mara ya kwanza katika ofisi za chama DSM baada ya uchaguzi huko Dodoma, maneno ya mangula na kinana yalionyesha kuwa Mukama...
Soma kuanzia page 19 na kuendelea>>>>>>>>>
Politics
Forecast updates
October 10, 2012: Political stability
Zanzibar's vice-president speaks out on Union issue
Event
Zanzibar's vicepresident...
Katika gazeti la Habati Leo limedai kuwa Mbunge za zamani wa Arusha mjini bwana Godbless Lema katangaza kuwa iwapo CDM haitachukua nchi mwaka 2015 basi wataingia msutuni kupigana kama kikundi cha...
Kwa kuwa sasa hivi kamati za ulinzi na usalama zinaonekana kujiingiza katika masuala ya kipolisi, yaani kuwaelekeza polisi nani akamatwe – wale wanaohatarisha ulinzi na usalama, basi ingefaa...
Kwa ufupi ningependa kuwakumbusha wana CHADEMA wote kuwa muda huu ambao magamba wamehamanika kudai kadi yao toka kwa Kamanda Dr. Slaa na kusahau wajibu wao. Kwetu sisi ndio muda muafaka ambao...
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na CCM wilaya ya Simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa CHADEMA Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa...
The successful results of the three-well appraisal programme on the Jodari field offshore Tanzania significantly 'de-risks' the project and underlines is potential, according to 40 per cent...
Huu ni uwanja wa Nape Nnauye. Asiingiliwe. Karibu jukwaani kaka Nape uelezee kwa ufasaha mambo haya:
1. Pesa za Uswisi
2. Kujivua gamba
3. Ahadi za Rais Kikwete na utekelezaji wake
4. Hatua za...
Katika utawala wa Mwl Nyerere kulikuwa na kipindi asubuhi kwenye Radio Tanzania kwamba ''Ulinzi na usalama wa Tanzania ni wa Watanzania wenyewe, kila Mtanzania, kila mzalendo na kila njamaa...
Selemani Amiri Nduboganyi , aliyekuwa m.kiti wa ccm wilaya ya Rufiji na aliwahi kuwa katibu mwenezi wa CCM Wilaya ya Rufiji, ameamua kujivua gamba leo na kujiunga na CDM katika mkutano wa Kibaha...
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na mkuu wa wilaya ya Nyamagana, ambaye pia ni kada maarufu wa CCM amemuamuru kamanda wa polisi wilaya(OCD) kuwakamata mara moja wabunge wa Chadema...
Mbali na kuwa mwanasiasa wa muda mrefu hapa Tanzania,natamani sana kushuhudia muziki wa kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015.Hadi sasa vyama viwili vinaonekana wazi kuwa viko katika mipango...
Habari ndugu zangu wana JF! Upo msemo mmoja wa kiingereza usemao "no research no right to speak", hivi ndivyo ilivyo kwangu binafsi,naomba wadau wenye taarifa za kina kuhusu chama cha ADC...
GAZETI moja la kila siku nchini, hivi karibuni, katika ukurasa wa mbele, lilibeba taarifa yenye kichwa cha habari: "Zitto afichua siri na JK"... "Ni iliyomfanya JK asifike jimboni Kigoma Kaskazini...
Alhamisi, Desemba 13, 2012 12:50 Masyaga Matinyi
*Mawaziri wa JK wagongana kuhusu Tanapa
*Nyarandu alikurupuka kuandikia barua watendaji
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis...
Tarehe 12/12/2012 ndio siku ya mwisho kwa mkurugenzi wa idara ya misitu na nyuki Dr Felician Kilahama kuendelea kukalia kiti baada ya muda wake wa kustaafu kukamilika rasmi,lakini cha ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.