Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni ukweli Tanzania iko hatarini na maisha ya baadae yatakuwa hatari kuliko hata Somalia..... Pima na fikiri kwa undani. Sasa tujadili jambo la kufanya kwa sasa ili tuokoe nchi. - Kwanza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TUME ya Warioba ambayo imepewa mamlaka makubwa kukusanya maoni ya wananchi na kuandika au kurekebisha Katiba, ni kama haikujiandaa vizuri. Ni tume ya watawala, inayoundwa na wajumbe wengi...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Thursday, December 13, 2012 Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) vimeshutumiana vikali kuhusiana na kuvunjika kwa mikutano miwili ya kutoa maoni ya katiba Visiwani Zanzibar...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa natakufahamu ukweli wa nini kilichosababisha mkutano wa CHADEMA maeneo ya Sinza RPC Kanyela
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili ni wazo langu_KAMA inawezekana CHADEMA kiunde tume itakayokuwa inaandaa;kuratibu na kusimamia chaguzi mbalimbali za ndani ya CHADEMA.Democrasia ikianzia ndani ya chama itahamia pia katika...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
napenda kusema pesa za kodi za wazee wetu masikini vijijini tunazo zila kwa sasa tukipe wa na mafisadi au walalia uchumi na maendeleo yetu na taifa letu leo yatakua sababu ya hukumu yetu badae...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
I was recently interviewed by one of the leading social media platforms in East Africa (www.JamiiForums.com). It was a record interview, 8 hours consecutively where I responded to 85 very...
30 Reactions
107 Replies
8K Views
Nimesoma gazeti la leo la Raia Mwema na kukuta kichwa cha habari "Raila Odinga sasa amponza Magufuli" naomba tujadili msitakabali wa Chama cha Mapinduzi. Habari kamili hii hapa: Raila Odinga...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Jimbo la Musoma Vijijini linaloongozwa na Mkono ni jimbo pekee nchini lenye Halmashauri mbili na mbunge mmoja,lina kata 34 vijiji 119 na vitongoji 729.Hakuna jimbo lolote lenye kata zote hizo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ki msingi kwa wote wanaofuatilia kwa makini siasa za nchi yetu wanaweza kuona kuwa kila mgombea mtarajiwa wa urais ameanza kutaja kile anachoamini kuwa ni kipaumbele chake katika kinyanganyiro cha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sio vibaya tukipata muda tukamwona na kumsikiliza Bwana Stephen Wassira baadae leo saa 3 usiku TBC1. Jamaa ni mjenga hoja mzuri wakati mwingine hata kwa kulazimisha tu. Anaongelea miaka 51 ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeona kama sehemu nne mawe ya msingi yamevunjwa ....sasa shida yangu nikujua nani anahusika au yaliwekwa sehemu zisizo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maofisa wake Z'bar watumia vifaa vya CCM mikutanoni *Mwenyekiti na Makamishna waduwaa, wapiga stop WAKATI Tume ya Mabadiliko ya Katiba ipo katika hatua za mwisho kupokea maoni ya wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashangazwa sana na wasomi hawa wa chuo hiki kikongwe na tunaamini kinatoa wahitimu wengi bora wenye kuiletea sifa kubwa taifa letu nmaanisha chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika uchaguzi mkuu...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Angalia makada wa CCM yaani Ma RCs,ma DCs,ma Tarafa,ma Kata nk wanaishugulikia CHADEMA KILA KONA YA NCHI.JK umepiga changa la macho.Hakuna marefu yasiyo na ncha.KUTESA KWA ZAMU madhali...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Tukiangalia Picha hii, ambayo Nape hajaja kuitolea majibu, na ambayo hapa jamvini hukaa muda mfupi, basi CCM wanapaswa kuulizwa kwanini ili siku nyingine wakiitwa wezi wasikatae. Angalia picha ya...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Ndugu wana Jf inapofikia Mkuu wa wilaya anafuatilia Wabunge waliochaguliwa na wana wanchi WENJE NA HIGHNESS tena kwa kuwaagusha mawaziri ni suala la ajabu.Konisaga amewahi kuwa mkuu wa wilaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Thursday, December 13, 2012 Wabunge Chadema kukamatwa *Ni maamuzi ya Kamati ya Ulinzi *Mmoja asema anasubiri kwa hamu Highness Kiwia na Ezekiah Wenje Kamati ya Ulinzi na Usalama ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshangazwa na kustushwa na matamshi yaliojaa upotoshaji, yakimangimeza na fitna za kisiasa yaliotolewa na Katibu Mkuu wa...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Wanabodi heshima kwenu. Mwaka unaishia sisi kama Jf wa jukwaa la Siasa mwaka 2012 chama kikuu cha Upinzani au kinachounda Kambi Rasmi katika Uwakilishi wetu bungeni tulikishuhudia kikiendesha...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom